annunaki wakati wanahangaika na uumbaji wa mwanadamu ambaye atawatumikia katika mission gold yao, walipata tabu mpaka wakafikia majaribio 40, na katika procces zote walihitaji mchanganyiko wao na udongo ndio wakafanikiwa kumuumba mwanadamu wa sasa, majaribio 39 yaliyo baki yalilenga ku modify viumbe waliokuwepo ambao kwa muundo wao hawakuweza kuwa wafanya kazi migodini, hivyo walihitaji kuchanganya asili yao na udongo ili kuzalisha mwanadamu wa sasa, swali ni je? hao viumbe walio kuwepo, nna refer samaki, farasi na wengineo, chanzo chao ni nini