Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

ukosoma between the lines hata sikumaanisha ila niliqote tu msemo wa bibi @faizafox [emoji16]
Nisamehe basi ila nilikua naweka msisitizo tu ile kiutani kumbe umekasirika na wewe,
Relax basi hata sijamaanisha Aisee sorry!
,[emoji851][emoji851]
wala nmeshangaa tu, mi huwaga sina hasira mwaya
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji457]
 
Mpe mpe huyoooo [emoji16][emoji16][emoji16]

Africa bado Kuna mijitu mijinga jinga mingi sana
 
Mmhh hili neno kabisa , deep thinking hii
 
Mpe mpe huyoooo [emoji16][emoji16][emoji16]

Africa bado Kuna mijitu mijinga jinga mingi sana
Tutaelewana mpaka mwisho wa Uzi,na nashukuru Kuna watu wameanza kufunguka akili maana walikaririshwa vitabu vya dini vyenye story nusu Huku wakisahau waliowaandikia hivyo vitabu walikua wajanja flani pale Nicea comitee wakaweka vitu vyepesi ambavyo wanaweza vipambanua Kwa zama zao ila Leo watu wanaingiza kutafiti wanakutana na mambo makubwa Sana,
Mfano hapo mwanzo tuliaminishwa Pyramids za Giza ni makaburi ya mafarao
Leo wanasayansi wanathibitisha Yale sio makaburi ni power Plants za kuzalisha umeme zilizojengwa na ANNUNAK pre human civilization yaani Yale madude yalikua ni ya zamani Sana kiasi kwamba Hata wa misri waliyakuta yashajengwa miaka maelfu nyuma Yao
Sasa utajiuliza ni technology Gani ilitumika mpaka Leo hayana Hata ufa na ukiingia kwenye chambers kule ndani Bado mpo fresh kama yamejengwa miaka ya 90 tu yaani
Huo ujuzi wa kushangaza Sana,
Ila watu wa dini hasa wakristo wa buza wanaamini yalijengwa na Waisrael waliokua watumwa 😁
Na wakati Babu za Waisrael Mzee Abraham naye aliyakuta
yashajengwa miaka zaidi ya 5000BC nyuma yake kule misri alipoenda na mkewe Sarai mpaka akajifanya ni dadaake na akachapiwa na Pharao!
 
Inafikirisha
 
Still u hav a lot to learn mr Duman
Nimesoma Sana kamanda Tena in deep kuhusu hayo mambo ya ulimwengu wa roho na third dimensions na nimeahafanya majaribio mengi Sana
Imagine nilishawahi kua Hadi mlokole na nilikua nasali Sana Sana yaani nilikua deep in religion but mwisho hiyo wanayoita ulimwengu wa roho na kuongea na roho mtakatifu nikaona ni chai tu maana nilianza kupata kitu kama Hallucinations Kwa kuwa na ma imagination fake fake yaliyo nisababishia msongo wa mawazo tu nikaja pokea Nuru mwishoni baada ya kuona maswala hayo ni ukanjanja nikafunguka akili niaacha kua mtumwa wa vitu vya kufikirika pasipo uhalisia wowote

Leo Ndio nipo hivi
Atheist grade one!
 
Maswali

Hao annunaki siku hizi wako wapi !?

Na walitowekea wapi !?

Chanzo Cha uwepo wao ninini!?

Yaani ilikuwaje kuwaje mpaka waka exist!?
 
Kwanini Abraham Ali form hizi dini !? Lengo na madhumuni kilikuwa Ni Nini !?
 
Labda nikuulize swali kila kitu lazima kiwe na chanzo....je umeshawahi kujiuliza nini chanzo cha MUNGU wako....na je alitokea wapi na je ilikuwaje mpaka akawepo.......nothing is from no where mkali......??????
Hawawezi kujibu , hawa wafia dini Ni mtihani hawatakagi kujifunza beyond the limit
 
ila ili pryamids kubwa ukiingia ndani kn chumba juu kule kina km kaburi,nilipouliza walisema alizikwa farao. Ila mada hii najifunza vitu
 
Aiseee ,[emoji16]
 
Lete uzi chafu yangu ila usisahau kuna KUFA NA KUFUFULIWA,kuna PEPO na JAHANAMU (MOTO)

Ukiwafatilia sana wazee wa sayansi watakutoa kwenye Reli ya Imani ya MUNGU MMOJA.
Hakuna kitu Kama hicho
 
Sasa hizo sihuwa ni illusion tu zinazo sababishwa na kuwa brain washed, akili ya mtu huwa inameza kile anachojazwa kichwani na mazingira ya jamii take inayo mzunguka. So Kama aliwahi kuumwana akamtaja mungu , binafsi sioni tatizo kwasababu jamii yake ili mlisha maneno na mafundisho kuwa Kuna mungu na ndiye mkombozi wake so anapofikwa na Tatizo akili inakuwa inampatia kumbu kumbu ya kuhitaji msaada kwa huyo mungu kwa sababu hicho ndicho ambacho akili ilikuwa imekihifadhi kutokana na mafundisho aliyopewa na jamii yake

Ni sawa sawa nawewe Leo hii unavyo Amini kuwa 1+1 =2 haukuweza kuamini hivyo tu mpaka pale jamii inayo kuzungukwa ilivyokujaza hiyo Imani
 
Kwanini Abraham Ali form hizi dini !? Lengo na madhumuni kilikuwa Ni Nini !?
Abraham yeye hakuform dini ila alikua ana muabudu Mungu El ila baade wajukuu zake nao wakamfanyia ndie Mungu official wa familia Yao baadae Taifa lao,baadae ikaja dini ya Judaism iliyokua inamtukuza El/YHW/Elohim
Hiyo ilikua dini inayoelezea mwanzo wao na mafundisho mengine ya Mesopotamian kama Tarmud wakikopy Hadith na masimulizi ya uumbaji Mwanzo wa mwingiliano wa viumbe vingine ila hayo yote wakikopy Kwa ANNUNAKI writings za Summeria,
Baade ndio dini zetu hizi zikadandia masimulizi na maandiko ya Israelites wakaunda dini ya kikristo baade Uislamu!
 
Hao Annunaki na uwezo wao wote walishindwa kuja kuchukua dhahabu na kuondoka zao mpaka wamtengeneze mtu mmoja ndo awe anawachimbia hiyo dhahabu??

Haya Sasa kabla ya kumtengeneza huyo adampa walikua wanaipataje hiyo dhahabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…