hahahahaah unajua Tatizo ni hizi Dini za Abrahamic kuwahadaa Hawa watu na simulizi nusu nusu,na wao walivyo majuha wanaamini kile kilichoandikwa kwenye bible ni kweli tupu na hakuna Cha kuongeza Wala kupunguza
Kumbe hawajui ni jinsi Gani wahuni wa Rome kina Constantine pale Nicea ujanja walioufanya,walichomoa vitabu vyenye Kila kitu,historia zote na mwanzo wa mwingiliano wa jamii za watu na viumbe nyota za mbali
Pia wakafichwa Siri za hii Dunia na historia yake Toka mwanzo,
Wakaja letewa Bible nyepesi yenye story za kubumba na inayoelea Elea bila ufafanuzi wowote
Maajabu yake jamaa washakua Brain washed hawaambiliki Wala hawaoni
Wao na nyumbu hawana utofauti
Hua nacheka na
Kusikitika Sana!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]