Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Kama hujui kitu Kaa Kwa kutulia upate elimu hapa,haya anayoandika Hapa ni kweli na ushihidi upo
Wewe TU kufunguka mbichwa na kutia akilini!
Kama ulikua hujui habari ndio hiyo!
Kwakua unakula na na kunywa basi unaona ndio mwisho wa maisha, kwaiyo unatuletea mielimu yako uchwara apa naku tudanganya. MUNGU atapata kazi kweli kutufuta maupumbavu Kama aya vichwani...
 
Kwakua unakula na na kunywa basi unaona ndio mwisho wa maisha, kwaiyo unatuletea mielimu yako uchwara apa naku tudanganya. MUNGU atapata kazi kweli kutufuta maupumbavu Kama aya vichwani...
Hakuna Elimu uchwara hapa kamanda hiyo Elimu ipo long time before abrahamic Religion,Hizo dini unazojinasibu ni za Mungu wako waanzilishi ni hao Hao Annunak halafu Leo unakuja kunyamba nyamba hapa
Au hujui Abraham na baba yake Terra walitoka Uru ya Ukaldayo Huko Mesopotamia ambako ndio kulikua ustaarabu wa kuabudu Miungu na Mungu wa Abraham anaitwa El Moja ya Miungu Annunak?
Pumbaf kasome historia ndio uje ubishane na Mimi
Eboooo!
😁😁😁😁
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kujambajamba[emoji1787][emoji1787] sawa lakini ujue izo historia unazo leta niza kwao...husiwe una changanya historia mnefili unamletea mweusi unakosea...
 
Hii ndio maana ya elimu haina mwisho?
mkuu ni huku Afrika tu ndio hawajui Hizo mambo Huko mbele Wazungu walishaujua ukweli long ndio maana unaona wengi hawashobokei dini na hawaamini katika nadharia zasza Mungu sababu wanajua mwanzo wao,
Hiyo ilikuja baadae ya kupata ushahidi na maandiko ya kale ya Sumerian, Assyrian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus valley civilization Kwamba Annunak ndio aliyeproject Kila kitu na ndio maana dini wakitumia kama mwamvuli kupimbaza wajinga huku Afrika Ili tuendelee kupigwa Kwa ujuha wetu!
 
Kujambajamba[emoji1787][emoji1787] sawa lakini ujue izo historia unazo leta niza kwao...husiwe una changanya historia mnefili unamletea mweusi unakosea...
wewe elewa ya Kwamba Annunak ndio waliowaongezea DNA Babu zako Zamadam wakawa Homo Sapiens kimili na kuwapa mission ya kuchimba dhahabu Kule kush na Huko Zimbabwe ya kale
Hujiulizi kwanini Oldupai gorge waligundua fuvu na nyayo za kale sana Kuliko historia ya vitabu vya dini vinavyodai Binadamu kaumbwa Miaka 6000 BC Hapo nyuma na hao Zamadam walikuwepo millions of years nyuma?
Unajua nani aliyeanza kuwapa Binadamu ujuzi mkubwa Hapo kale?
Unajua dhahabu zote zilizochimbwa Toka Miaka maelfu na maelfu Kwa billion of Tani zilipotelea wapi ghafla tu?
Kaa Kwa kutulia upate elimu kijana soon utakuja kupata maarifa ni nani aliyejenga Pyramids zote duniani Miaka elfu nyingi Huko nyuma na still hazina hata ufa,
Utaelewa tu subiri movie kamili!
 
Umedanganya na wewe.
 
SEHEMU YA TATU

Hatimaye mtu aliweza kutengenezwa ambaye Enki alimuita Adapa, ambaye kwenye biblia ni Adam, ambaye ni Homo sapiens wa leo (binadamu wa leo). Kiumbe huyo alifanana sana na miungu kiasi cha kwamba andiko moja lilikwenda mbali zaidi na kusema Mother Goddess ametoa mtu kama yeye, aliyekuwa na ngozi kama yake, hana manyoya, tofauti kabisa na wale shaggy ape-man wa kwanza.

Nefilim alikuwa compatible na watoto wa kike wa mtu huyo aliyeumbwa, angeweza kuwaoa na kuzaa watoto nao. Lakini compatibility ingewezekana kama mtu angekuwa ametengenezwa kutokana na mbegu ya maisha kama ya Nefilim, ndivyo maandiko ya kale yanavyosema.

Kama mesopotanians texts zinavyosema na kama ilivyo kwenye biblia pia, mtu aliumbwa kwa chembe chembe za miungu(gods), damu ya miungu na udongo wa dunia. Kama ilivyo andikwa wakati wa uumbaji, mother goddess aliosha mikono yake, akachukua udongo na kuufinyanga na kuuchanganya kwenye steppe. Hapa unaona kabisa "aliosha mikono", hizi ni hatua ambazo tumekuwa tukizifanya kila siku, kama tunataka tusichafue kitu.

Mesopotamian text zinaelezea ya kwamba alichanganya udongo huo na damu ya uponyaji ili kutengeneza protype man. Enki hakuona tabu kukamilisha kazi ya kutengeneza vibarua wa miungu. Alimpa maelekezo Mother goddess kama ifuatavyo:

"Mix to a core the clay

from the Basement of Earth,

just above the Abzu and shape into the form of core.

I shall provide good, knowing your gods

who will bring that clay to the right condition.

Vile vile sehemu ya pili ya kitabu cha Genesis pia, imetoa maelezo kama hayo:

And Yahweh, Elohim, fashioned the Adam of the clay soil,

and He blew in his nostrils the breath of life,

and the Adam turned into a living soul.

Katika waebrania neno "nephesh" limetafsiriwa kama soul, soul ambayo inaweka uhai kwa viumbe hai walioumbwa, ambayo uiacha pale wanapofariki. Vitabu vitano vya kwanza vya agano la kale vimezungumzia "shedding of human blood" na "eating of animal blood" kwa sababu damu ni uhai na kwenye mistari ya Biblia inayoelezea uumbaji wa mtu, imegusia nephish (soul/sprit) na damu.

Agano la kale pia limeweka wazi kazi ya damu katika uumbaji wa mtu, ambaye kwenye biblia ameitwa Adam, neno adam alikumanisha udongo wa dunia moja kwa moja bali udongo mweusi-mwekundu. Adam katika waebrania ni adama (adom) (rangi nyekundu) na katika Akkadian ni adamatu (dark-red earth).

Katika kitabu cha Genesis neno Adam limeleta maana sawa na lugha ya sumerian. Adam ilimanisha ni "mmoja wa ulimwengu, aliyetengenezwa kwa udongo mwekundu na aliyetengenezwa kwa damu".

Uhusiano uliopo kati ya damu na uumbaji umeendelea kuonekana hadi mesopatamian. Nyumba iliyofanana hospitali ambayo Ea na Mother Goddess walikwenda kumchukua mtu, iliitwa shimti. Shimti maana yake "the house where the wind of life is breathed in".

Miungu walimuita Mother Goddesses(Midwife of the gods, the knowing Mami) na kumwambia:

Thou art the mother womb,

The one who Mankind can create.

Create the Lulu, let him bear the yoke!

Ea alifahamu mahitaji yote yanayohitaji, ili kumtengeneza mutu

"I will prepare a purifying bath.

Let one god be bled..

From his flesh and blood, let Ninti mix the clay".

Ili kumtengeneza mtu kutoka kwenye udongo, ilipaswa awepo mtu wa kubeba mimba na kuweza kuzaa, hivyo Enki akamtoa mke wake:

Ninki, my goddess-spouse, will be the one for labor.

Seven goddesses of birth will be near to assist.

Baada ya kuchanganya damu na udongo, epic of creation inaendelea kusema:

The newborn's fate thou shalt pronounce.

Ninki would fix upon it the image of the gods.

And what it will be is "Man".

Kuhusika kwa mke wa Enki, Ninki katika kutengeneza kiumbe mtu, inaturudisha sehemu ya kwanza na ya pili kuhusu Adapa, ambayo nimeshaelezea.

"In those days, in those years. The wise one of Eridu, Ea, created him as a model of men".

Watafsiri maandiko ya kale, wanasema kwa kumuhusisha Adapa kama mtoto wa kiume wa Ea, inamaamisha god alimpenda sana huyo mtu na aliendana naye. Kuhusika kwa Enki spouse(Ninki) katika kumtengeneza mtu ambaye ni Adapa(the model Adam) ilitengeneza"genealogical relationship" kati ya mtu mpya na muumbaji wake.

Hapa chini nimeambatanisha picha (2 za kwamza) kutoka Assyrian seals, zikimuonyesha Mother Goddess na Ea wakiandaa mchanganyiko wa kumtengeneza mtu na kushauriana jinsi gani wafanye. Picha ya tatu ni Ninki akimbariki kiumbe mpya na kumuwasilisha kwa Ea, vile vile inaonyesha goddess nyuma yake akiwepo mti wa maisha (Tree of Life) na zikiwepo flasks za maabara huku akiwa amembeba mtoto aliye zaliwa. Picha nyingine ni za kuonyesha Assyrian cylinder seals zinavyofanana.

IMG_20220129_122803_822.jpg

IMG_20220129_122837_934.jpg

IMG_20220129_122921_279.jpg

Cylinder_Seal,_Old_Babylonian,_formerly_in_the_Charterhouse_Collection_09.jpg

hero_1920.jpg
 
Japo hizi ni story tu kama zile za kwenye kahawa.

Lakini mimi huwa siamini kabisa haya madhahabu yote yanayochimbwa duniani yanatumika kutengeneza mikufu, saa, cheni and the likes pekee.

Tani zote zile ni kwa ajili ya vito vya thamani pekee. Hapana kuna sehemu hawa wazungu wanapeleka.
 
Kama kuna sehemu wanayapeleka nje ya dunia wanalipwa nini? Maana pesa ya inje ya dunia haina maana yoyote duniani. Ama wanalipwa ugunduzi wa kiteknolojia?
 
Japo hizi ni story tu kama zile za kwenye kahawa.

Lakini mimi huwa siamini kabisa haya madhahabu yote yanayochimbwa duniani yanatumika kutengeneza mikufu, saa, cheni and the likes pekee.

Tani zote zile ni kwa ajili ya vito vya thamani pekee. Hapana kuna sehemu hawa wazungu wanapeleka.
Inafikirisha. Na alieipa dhahabu thamani ni nan?
 
Back
Top Bottom