Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

SEHEMU YA SITA

THE CLAY TABLETS

Mwaka 1842, mfaransa Paul Emile Botta na Muingereza Austin Henry Layard waligundua miji ya kibiblia ya Nineveh na Nimrod.

Ugunduzi huo ulikuwa unatukumbusha maktaba za Ashurbanipal na Sennacherib pamoja na historia iliyopotea kwa miaka mingi, iliyoandikwa kwenye maelfu ya vipande vya mawe.

Kila tunachokijua leo kimetokana na tamaduni za sumerian. Hapa tunaweza kupata mambo zaidi ya 100 yalioanzia sumerian, mfano sheria za kwamza kutungwa, shule, mahakama, kilimo cha umwagiliaji, falme, kilimo, mfumo wa mahesabu wa kwanza kabisa (sexagesimal base 60) na alphabetical system ya kwanza kabisa ambayo ina characters 500 na siyo hii tunayoijua leo ya characters 26. Kwa nini hatukufundishwa yote haya shuleni?

Labda ni kwa sababu hakuna aliyetambua uwepo wake, mpaka pale watafiti na pia bang moja baada ya nyingine ilipokuja kusapoti uwepo wake.

Hawa watu wa sumerian katika zama za mawe, walikuwa wameendelea sana na walifahamu mengi kuliko sisi tulivyo leo hii.

Hapa chini ni kipande cha sheria.

IMG_20220129_113122_071.jpg

Hapa chini ni kipande cha kuonyesha mafuriko

IMG_20220129_113023_989.jpg

Kwahiyo ni kitu gani tunaweza kupata kuhusu sumerians na chimbuko letu?, kila kitu kimewekwa wazi, hapa napenda nimquote mwanasayansi Mr Carl Sagan:

"I feel that if sumerian civilization is depicted by the descendants of the sumerians themselves to be pf non human origin, the relevant legends should be examined carefully"

Nimeambatanisha picha, kushoto ni voyager star chart gold disc na kulia ni sumerian start chart.

IMG_20220129_113619_179.jpg

Carl Sagan akiendelea na utafiti wake kuhusu sumerian, aliweza kugundua lugha ya kale ya sumerian iliyorekodiwa kwenye gold-plated audio-visual disc katika voyager yake ya 1 & 2 deep space probe missions(iliyorushwa na NASA August 19 na September 5 mwaka 1977). Je ingewezekanaje huyu nguli wa sayansi ahusishe lugha ambayo haijawahi kuzungumzwa popote zaidi ya miaka 6000 iliyopita?, Jibu ni rahisi inawezekana alitambua kuwa asilimia kubwa ya yaliyosemwa na sumerians kuhusu Annunaki yalikuwa ya ukweli.

Mr. Zecharia Sitchin msomi, muhandishi na mtafiti wa mambo ya kale, anasema ni 20% tu vipande na maandiko ya sumerian yaliyopatikana na kutafsiriwa, 80% bado hayajapatikana na kutafsiriwa, (The Official Web Site of Zecharia Sitchin). Sasa tujiulize hayo yaliyobaki yamebeba jumbe gani. Kila kitu kilichoandikwa na sumerian kimetokea na yanazidi kutokea kwenye maisha yetu ya kila siku. Sisi ni nani tusiyaamini sasa, napenda kumnukuu Winston Churchill aliposema;

"The truth is incontrovertible. Malice may attack it, ignorance my deride it, but in the end, there it is".

Kama tutasikiliza kwa makini vipande vya mawe vya sumerians vinasema nini, ni wazi kabisa tutafahamu chimbuko letu, mojawapo ya vipande hivyo kiitwacho "Enuma Elish"(http://www.sacredtexts.com/ane/stc/ -the Epic of Creation), vipande hivi vinaendelea kusema Miungu ambao sumerians waliwaita Annunaki(ikimanisha kutoka mbinguni kuja duniani) walikuja duniani kutafuta dhahabu na kutengeneza uzao wa kitumwa.
Annunaki walimuita mtu waliomuumba Adamu (ikiwa na ya mtu wa kwanza, ),ambapo ndipo Biblia ilipotoa neno Adam.
Pia baadhi ya vipande hivyo vimeonyesha uwepo wa mafuriko kama historia inavyoelezea katika Biblia.
Babylonian pia imeelezea uwepo wa mafuriko makubwa, kama ilivyo pia katika Genesis 6-9 ,iliyopatikana 700BCE Babylonian copy of the Epic of Gilgamesh Jing-reed's Musings from Thailand musings from th/2009/10/creation-myths-to-ponder.html
Katika kazi hii Gilgamesh alikutana na Miungu, Utnapishtim na inaelezea badae jinsi Muungu Ea (Earth) alimuelekeza ajenge Vessel kubwa kwa ajili ya mafuriko, ambayo yangeletwa na Miungu kwa ajili ya kuharibu dunia. Vessel ingeweza kumuokoa Utnapishtim(maana nyingine Ziusudra), familia yake, marafiki na wanyama.

IMG_20220129_113927_138.jpg

Hii picha ni cylinder seal VA234 kutoka makumbusho ya Berlin, Ujerumani

Ukichunguza kwa umakini mchoro huu unaonyesha sayari katika mfumo wetu wa sayari na ukubwa wake kutoka sayari moja kwenda nyingine. Inonyesha pia sayari iliyopo nje ya mfumo wa sayari. Hapa unaweza kujiuliza sumerians walijuaje kwamba jua lipo katikati ya mfumo wa sayari, na kuonyesha sayari zote hizo.

Hatukuweza kugundua sayari ya Uranus hadi mwaka 1781 au Neptune hadi mwaka 1846 (William na John Hershel), na kugundua Pluto mwaka 1930 ambao ndiyo ugunduzi wa sayari wa karibu. Lakini Sumerians kwa uhakika kabisa walizielezea Neptune na Uranus kama greenish twins, kitu ambacho tulikithibitisha miaka ya 1986-9, pale Voyager 2 iliporushwa angani na kutuma picha duniani.

Tukisoma katika vipande vya mawe kutoka sumerian, tunaambiwa Miungu ya Annunaki, baada ya mfalme wao ANU alikuja duniani na watoto wake wawili wa kiume, ENKI & ENIL na Miungu wengine 60 kutafuta dhahabu ili zikawasaidie kupambana na uharibifu mkubwa wa anga yao kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia na vita baina yao katika sayari ya nyumbani kwao ikiitwa Nibiru.

Huu ni muonekano wa solar system kutoka sumerians(picha ya kwanza mwisho)

Sayari ya Nibiru ipo katika elliptical orbit kulizunguka jua, na inakuja kwenye solar system yetu kila baada ya miaka 3,600(hapa ukiona wazungu kila siku wanawekeza angani, hawapotezi muda, wanaujua ukweli). Wakati mwingine mwezi au sayari zinaweza kugusana/kugongana au sayari kwenye solar system yetu, hii inaweza kuelezea vita ya mbinguni iliyoandikwa kwenye biblia: yeyote ambaye ameshuhudia collision ya two moons, anaweza kufikiria ilikuwa vita mbinguni kwa sababu hawezi kuwa na frame reference nyingine(Basi kumbe mbiguni ni juu, ile nadharia ya kwamba hapajulikani haipo tena, hata kwenye Biblia Yesu alipaa juu mbinguni).

Pichi hii ya (pili mwisho) ni Nibiru (wormwood) system. Inaweza kuonekana kwa kutumia infrared equipment, isipokuwa kwa ecliptic plane crossing events.

Nibiru system ina sayari saba zinazozunguka brown dwarf star yake, na moja kati ya sayari hizo ni makazi ya Annunaki hadi leo hii.
Kutoka kwenye vipande hivyo vya mawe, Miungu ya Annunaki ( fXXi77c ) ilikuwa na urefu wa kati ya futi 8 hadi 10, waliweka makao yao ya kwamza duniani katika Tigris Euphrates Valley(ambayo ni Iraq ya leo). Eneo hili waliliita EA-DEN, kwenye Biblia imetafsiriwa kama Bustani ya Eden (Bustani ya Eden ipo Iraq kama ulikuwa ufahamu hili).

Kuweka wazi na kutangaza haya katika ulimwengu kutafanya vitabu vyote, makumbusho yote na mafundisho yote kuhusu chimbuko la mtu kufutiliwa mbali. Lakini inaweza kwenda mbali na kuwafanya waseme samahani, walikosea na hawakuwa sahihi, ila ni kama wamepuzilia mbali, ukweli umeendelea kufichwa kwenye basements za makumbusho duniani.

IMG_20220129_114148_660.jpg

Sumerians solar system
IMG_20220129_114409_988.jpg

Nibiru Planet

Hebu tazama ripoti ya Brookings ya NASA ya mwaka 1963 http://www.nicap.org/papers/brookings.pdf katika ripoti hii imewekwa wazi ya kwamba ugunduzi wowote unaohusu maisha ya alien, ancient monuments ambazo hazikujengwa na mtu n.k lazima zitunzwe kama nyara za siri au zingeleta athari katika jamii ya sasa; kuvunjika kwa civilization na mass hysteria kama matokeo ya kuutangazia ulimwengu kuwa hatupo peke yetu duniani bali na alien wengine waliotuumba.

FAMILY TREE OF PROPHETS

Kuanzia kwa Adam, ambaye sumerians walimuita ADAMU (first man) aliyeumbwa na Miungu Annunaki kama kibarua wa kuchimba dhahabu. Unaweza kuona Abraham ambaye ni Biblical patriarch, aliyekuwa na watoto wawili Ishmael na Isaac na aliyejenga msikiti wa Kaaba, miaka 2000 kabla ya Islam. Unaweza kuona pia mtume Muhammed long lineage kutoka kwa Abraham kupitia kwa Ishmael, kulinganisha na Yesu Christian prophet relatively short lineage kutoka Abraham kupitia kwa Isaac hadi kwa mfalme David hadi kwa Solomon. Pia utamuona John (John the Baptist), mwalimu wa Yesu kutoka kwenye family tree moja.

Wote Yesu na Muhammad wanajulikana kama mitume wa mwisho kutoka kwa Mungu(hawa wa sasa siyo mitume wala manabii ni matapeli tu), ENKI, kitu kilichowafanya wawe na umuhimu sana kuliko waliotangulia.

Ukiangalia Family tree yetu, wote Islam na Christianity chimbuko lao ni moja, hii inazifanya hizi dini zote mbili kuwa kitu kimoja(mambo ya kulalamika eti anapendelewa mkristu au muislam hayana maana Mohamed Said). Kama haya yangefundishwa shuleni, kanisani au msikitini, sizani kama leo hii tungekuwa na matabaka ya dini.

Unawezaje kuwa Muslim ukachukia Christian au Christian ukachukia muslim? yeyote anaye fanya hivi ni hypocrite wa kutupwa, Dini zote family tree yao ni moja na habari zote zinazopatikana kwenye Bible & Quran zimetoka sumer ya kale kupitia kwa Abraham, ambaye hakuwa Jew kama biblia inavyosema, bali 100% bona fide Sumerian.

Kama inavyo andikwa kwenye Genesis, alitoka Ur ya Chaldees, je ingewezekanaje awe Jew?, nirudie tena kusema, tunagundua ya kwamba watu wanachanganywa na historia yao ili kuficha na kutimiza kile walichokikusudia wao, wanachoona ni cha muhimu tu kwao.

file:///storage/emulated/0/Android/data/com.hancom.office.hword.viewer.hword_apk/files/clipData/clip_image.png
patra31
Norshad
obelisk
Dumas the terrible
Ushindi victory
Hapa chini ni Family Tree of Prophets

32758292286_5cdecba796_b.jpg
 
SEHEMU YA SITA

THE CLAY TABLETS

Mwaka 1842, mfaransa Paul Emile Botta na Muingereza Austin Henry Layard waligundua miji ya kibiblia ya Nineveh na Nimrod.

Ugunduzi huo ulikuwa unatukumbusha maktaba za Ashurbanipal na Sennacherib pamoja na historia iliyopotea kwa miaka mingi, iliyoandikwa kwenye maelfu ya vipande vya mawe.

Kila tunachokijua leo kimetokana na tamaduni za sumerian. Hapa tunaweza kupata mambo zaidi ya 100 yalioanzia sumerian, mfano sheria za kwamza kutungwa, shule, mahakama, kilimo cha umwagiliaji, falme, kilimo, mfumo wa mahesabu wa kwanza kabisa (sexagesimal base 60) na alphabetical system ya kwanza kabisa ambayo ina characters 500 na siyo hii tunayoijua leo ya characters 26. Kwa nini hatukufundishwa yote haya shuleni?

Labda ni kwa sababu hakuna aliyetambua uwepo wake, mpaka pale watafiti na pia bang moja baada ya nyingine ilipokuja kusapoti uwepo wake.

Hawa watu wa sumerian katika zama za mawe, walikuwa wameendelea sana na walifahamu mengi kuliko sisi tulivyo leo hii.

Hapa chini ni kipande cha sheria.

View attachment 2105482

Hapa chini ni kipande cha kuonyesha mafuriko

View attachment 2105490
Hizo alphabet 500 zipoje ama ndio alphabet za lugha zote duniani?

Nimeanza kufikria kitu juu ya hizo mambo
 
SEHEMU YA SITA

THE CLAY TABLETS

Mwaka 1842, mfaransa Paul Emile Botta na Muingereza Austin Henry Layard waligundua miji ya kibiblia ya Nineveh na Nimrod.

Ugunduzi huo ulikuwa unatukumbusha maktaba za Ashurbanipal na Sennacherib pamoja na historia iliyopotea kwa miaka mingi, iliyoandikwa kwenye maelfu ya vipande vya mawe.

Kila tunachokijua leo kimetokana na tamaduni za sumerian. Hapa tunaweza kupata mambo zaidi ya 100 yalioanzia sumerian, mfano sheria za kwamza kutungwa, shule, mahakama, kilimo cha umwagiliaji, falme, kilimo, mfumo wa mahesabu wa kwanza kabisa (sexagesimal base 60) na alphabetical system ya kwanza kabisa ambayo ina characters 500 na siyo hii tunayoijua leo ya characters 26. Kwa nini hatukufundishwa yote haya shuleni?

Labda ni kwa sababu hakuna aliyetambua uwepo wake, mpaka pale watafiti na pia bang moja baada ya nyingine ilipokuja kusapoti uwepo wake.

Hawa watu wa sumerian katika zama za mawe, walikuwa wameendelea sana na walifahamu mengi kuliko sisi tulivyo leo hii.

Hapa chini ni kipande cha sheria.

View attachment 2105482

Hapa chini ni kipande cha kuonyesha mafuriko

View attachment 2105490

Kwahiyo ni kitu gani tunaweza kupata kuhusu sumerians na chimbuko letu?, kila kitu kimewekwa wazi, hapa napenda nimquote mwanasayansi Mr Carl Sagan:

"I feel that if sumerian civilization is depicted by the descendants of the sumerians themselves to be pf non human origin, the relevant legends should be examined carefully"

Nimeambatanisha picha, kushoto ni voyager star chart gold disc na kulia ni sumerian start chart.

View attachment 2105501

Carl Sagan akiendelea na utafiti wake kuhusu sumerian, aliweza kugundua lugha ya kale ya sumerian iliyorekodiwa kwenye gold-plated audio-visual disc katika voyager yake ya 1 & 2 deep space probe missions(iliyorushwa na NASA August 19 na September 5 mwaka 1977). Je ingewezekanaje huyu nguli wa sayansi ahusishe lugha ambayo haijawahi kuzungumzwa popote zaidi ya miaka 6000 iliyopita?, Jibu ni rahisi inawezekana alitambua kuwa asilimia kubwa ya yaliyosemwa na sumerians kuhusu Annunaki yalikuwa ya ukweli.

Mr. Zecharia Sitchin msomi, muhandishi na mtafiti wa mambo ya kale, anasema ni 20% tu vipande na maandiko ya sumerian yaliyopatikana na kutafsiriwa, 80% bado hayajapatikana na kutafsiriwa, (The Official Web Site of Zecharia Sitchin). Sasa tujiulize hayo yaliyobaki yamebeba jumbe gani. Kila kitu kilichoandikwa na sumerian kimetokea na yanazidi kutokea kwenye maisha yetu ya kila siku. Sisi ni nani tusiyaamini sasa, napenda kumnukuu Winston Churchill aliposema;

"The truth is incontrovertible. Malice may attack it, ignorance my deride it, but in the end, there it is".

Kama tutasikiliza kwa makini vipande vya mawe vya sumerians vinasema nini, ni wazi kabisa tutafahamu chimbuko letu, mojawapo ya vipande hivyo kiitwacho "Enuma Elish"(http://www.sacredtexts.com/ane/stc/ -the Epic of Creation), vipande hivi vinaendelea kusema Miungu ambao sumerians waliwaita Annunaki(ikimanisha kutoka mbinguni kuja duniani) walikuja duniani kutafuta dhahabu na kutengeneza uzao wa kitumwa.
Annunaki walimuita mtu waliomuumba Adamu (ikiwa na ya mtu wa kwanza, ),ambapo ndipo Biblia ilipotoa neno Adam.
Pia baadhi ya vipande hivyo vimeonyesha uwepo wa mafuriko kama historia inavyoelezea katika Biblia.
Babylonian pia imeelezea uwepo wa mafuriko makubwa, kama ilivyo pia katika Genesis 6-9 ,iliyopatikana 700BCE Babylonian copy of the Epic of Gilgamesh Jing-reed's Musings from Thailand musings from th/2009/10/creation-myths-to-ponder.html
Katika kazi hii Gilgamesh alikutana na Miungu, Utnapishtim na inaelezea badae jinsi Muungu Ea (Earth) alimuelekeza ajenge Vessel kubwa kwa ajili ya mafuriko, ambayo yangeletwa na Miungu kwa ajili ya kuharibu dunia. Vessel ingeweza kumuokoa Utnapishtim(maana nyingine Ziusudra), familia yake, marafiki na wanyama.

View attachment 2105522
Hii picha ni cylinder seal VA234 kutoka makumbusho ya Berlin, Ujerumani

Ukichunguza kwa umakini mchoro huu unaonyesha sayari katika mfumo wetu wa sayari na ukubwa wake kutoka sayari moja kwenda nyingine. Inonyesha pia sayari iliyopo nje ya mfumo wa sayari. Hapa unaweza kujiuliza sumerians walijuaje kwamba jua lipo katikati ya mfumo wa sayari, na kuonyesha sayari zote hizo.

Hatukuweza kugundua sayari ya Uranus hadi mwaka 1781 au Neptune hadi mwaka 1846 (William na John Hershel), na kugundua Pluto mwaka 1930 ambao ndiyo ugunduzi wa sayari wa karibu. Lakini Sumerians kwa uhakika kabisa walizielezea Neptune na Uranus kama greenish twins, kitu ambacho tulikithibitisha miaka ya 1986-9, pale Voyager 2 iliporushwa angani na kutuma picha duniani.

Tukisoma katika vipande vya mawe kutoka sumerian, tunaambiwa Miungu ya Annunaki, baada ya mfalme wao ANU alikuja duniani na watoto wake wawili wa kiume, ENKI & ENIL na Miungu wengine 60 kutafuta dhahabu ili zikawasaidie kupambana na uharibifu mkubwa wa anga yao kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia na vita baina yao katika sayari ya nyumbani kwao ikiitwa Nibiru.

Huu ni muonekano wa solar system kutoka sumerians(picha ya kwanza mwisho)

Sayari ya Nibiru ipo katika elliptical orbit kulizunguka jua, na inakuja kwenye solar system yetu kila baada ya miaka 3,600(hapa ukiona wazungu kila siku wanawekeza angani, hawapotezi muda, wanaujua ukweli). Wakati mwingine mwezi au sayari zinaweza kugusana/kugongana au sayari kwenye solar system yetu, hii inaweza kuelezea vita ya mbinguni iliyoandikwa kwenye biblia: yeyote ambaye ameshuhudia collision ya two moons, anaweza kufikiria ilikuwa vita mbinguni kwa sababu hawezi kuwa na frame reference nyingine(Basi kumbe mbiguni ni juu, ile nadharia ya kwamba hapajulikani haipo tena, hata kwenye Biblia Yesu alipaa juu mbinguni).

Pichi hii ya (pili mwisho) ni Nibiru (wormwood) system. Inaweza kuonekana kwa kutumia infrared equipment, isipokuwa kwa ecliptic plane crossing events.

Nibiru system ina sayari saba zinazozunguka brown dwarf star yake, na moja kati ya sayari hizo ni makazi ya Annunaki hadi leo hii.
Kutoka kwenye vipande hivyo vya mawe, Miungu ya Annunaki ( fXXi77c ) ilikuwa na urefu wa kati ya futi 8 hadi 10, waliweka makao yao ya kwamza duniani katika Tigris Euphrates Valley(ambayo ni Iraq ya leo). Eneo hili waliliita EA-DEN, kwenye Biblia imetafsiriwa kama Bustani ya Eden (Bustani ya Eden ipo Iraq kama ulikuwa ufahamu hili).

Kuweka wazi na kutangaza haya katika ulimwengu kutafanya vitabu vyote, makumbusho yote na mafundisho yote kuhusu chimbuko la mtu kufutiliwa mbali. Lakini inaweza kwenda mbali na kuwafanya waseme samahani, walikosea na hawakuwa sahihi, ila ni kama wamepuzilia mbali, ukweli umeendelea kufichwa kwenye basements za makumbusho duniani.

View attachment 2105563
Sumerians solar system
View attachment 2105564
Nibiru Planet

Hebu tazama ripoti ya Brookings ya NASA ya mwaka 1963 http://www.nicap.org/papers/brookings.pdf katika ripoti hii imewekwa wazi ya kwamba ugunduzi wowote unaohusu maisha ya alien, ancient monuments ambazo hazikujengwa na mtu n.k lazima zitunzwe kama nyara za siri au zingeleta athari katika jamii ya sasa; kuvunjika kwa civilization na mass hysteria kama matokeo ya kuutangazia ulimwengu kuwa hatupo peke yetu duniani bali na alien wengine waliotuumba.

FAMILY TREE OF PROPHETS

Kuanzia kwa Adam, ambaye sumerians walimuita ADAMU (first man) aliyeumbwa na Miungu Annunaki kama kibarua wa kuchimba dhahabu. Unaweza kuona Abraham ambaye ni Biblical patriarch, aliyekuwa na watoto wawili Ishmael na Isaac na aliyejenga msikiti wa Kaaba, miaka 2000 kabla ya Islam. Unaweza kuona pia mtume Muhammed long lineage kutoka kwa Abraham kupitia kwa Ishmael, kulinganisha na Yesu Christian prophet relatively short lineage kutoka Abraham kupitia kwa Isaac hadi kwa mfalme David hadi kwa Solomon. Pia utamuona John (John the Baptist), mwalimu wa Yesu kutoka kwenye family tree moja.

Wote Yesu na Muhammad wanajulikana kama mitume wa mwisho kutoka kwa Mungu(hawa wa sasa siyo mitume wala manabii ni matapeli tu), ENKI, kitu kilichowafanya wawe na umuhimu sana kuliko waliotangulia.

Ukiangalia Family tree yetu, wote Islam na Christianity chimbuko lao ni moja, hii inazifanya hizi dini zote mbili kuwa kitu kimoja(mambo ya kulalamika eti anapendelewa mkristu au muislam hayana maana Mohamed Said). Kama haya yangefundishwa shuleni, kanisani au msikitini, sizani kama leo hii tungekuwa na matabaka ya dini.

Unawezaje kuwa Muslim ukachukia Christian au Christian ukachukia muslim? yeyote anaye fanya hivi ni hypocrite wa kutupwa, Dini zote family tree yao ni moja na habari zote zinazopatikana kwenye Bible & Quran zimetoka sumer ya kale kupitia kwa Abraham, ambaye hakuwa Jew kama biblia inavyosema, bali 100% bona fide Sumerian.

Kama inavyo andikwa kwenye Genesis, alitoka Ur ya Chaldees, je ingewezekanaje awe Jew?, nirudie tena kusema, tunagundua ya kwamba watu wanachanganywa na historia yao ili kuficha na kutimiza kile walichokikusudia wao, wanachoona ni cha muhimu tu kwao.

file:///storage/emulated/0/Android/data/com.hancom.office.hword.viewer.hword_apk/files/clipData/clip_image.png
patra31
Norshad
obelisk
Dumas the terrible

Hapa chini ni Family Tree of Prophets

View attachment 2105587

mtu chake
Pacbig
 
Mzee baba Kosugi njoo upitie hapa upate Elimu ni Vipi nadharia za Mungu zilianza maana unajionaga unajua Sana bila kujua chimbuko la Dini Yako ni Annunak wa Summeria!
 
Mathanzua njoo upitie hapa upate Elimu ni Vipi nadharia za Mungu zilianza maana unajionaga unajua Sana bila kujua chimbuko la Dini Yako ni Annunak wa Summeria!
Dumas the terrible asante kwa kunikaribisha kujifunza alicho present Artificial Intelligence.Hata hivyo mbona sina cha kujifunza hapo,because most of it is heresy.Why is it heresy:
1.Artificial Intelligence states that Annunaki Ni viumbe.Sasa the God who created me si kiumbe,ni Alpha na Omega;He has been,and He will be,He was not created,but He is the creator!So you see how mighty he is.How can you compare Him to a created being.
2.Mungu wangu ni Mungu mmoja,huwezi kum-categorize into god's and goddesses!
3.Artificial Intelligence claims that watoto wa Annunaki ni Enki na Enlil!Mungu wangu hazai,He created,so obviously Annunaki did not create me kwa kuwa Mungu wangu ambaye aliniumba hazai!

Hivi ni vichache tu ambavyo nimeviona.Sikuwa na haja ya kuendelea kusoma kwa kuwa as I have already said,most of it is heresy
 
Story tu hizi za kutengeneza.
umepigwa na kitu kizito eee haiwezekani story zitengenezwe miaka zaidi ya
5000 huko nyuma Tena ziwe Kwa Kila jamii huko kutengenezwa kunaingiaje na wanasayansi Kila siku wanazidi fukua mabaki Kila siku na kupata ushahidi wa tablets za Accient civilization

Hata kama zilitungwa ila kitendo Cha jamii nyingi za kale kua na nadharia Moja licha ya kua mbali mbali Bado inaacha utata iliwezekanaje maandiko waliyoyakuta Babel wayakute Kwa Maya na Aztec kule mexico na Peru?
Pia hayo hayo wayakute Misri na kush Tena wakayakute India na china
Bado unaona ni Uongo mpaka walivyoyakuta Kwa kabila la Dogon kule nchini Mali?
Tena afadhali hata huko Kwa jamii nyingine yalishapotea na watu wake ila Dogon pekee ndio walibaki na kumbu kumbu ya kwamba Babu zao waliotoka misri walitembelewa na Miungu kutoka Sayari za Orion
Mpaka Leo wale Watu Wana tunza tablets zinazoonesha Mifumo na mipangilio ya Sayari za Orion na hizi zetu Tena wanakuonesha mpaka michoro ya Sayari ya Sirius B inayokaliwa na Annunak kitendo kinachowashangaza mpaka Wazungu
Nenda kaangalie Documentary kuwahusu hilo kabila na maajabu yake ndio uje useme ni za kutungwa!
Ebooooo!
 
Unajuaje kwamba zimetengenezwa tangu huko nyuma na ziko kwenye kila jamii,wewe ulikuwepo na uko kwenye kila jamii?Kama ni uongo,and remember Satan is a lier and the father of lies!Acha umbumbu wewe.Na hata kama zipo kwenye kila jamii na zilikuwepo huko nyuma,Satan can make that happen by using his morons,kama ilivyo leo kwenye mambo mengi.

Dumas the terrible kuwepo zamani na kwenye kila jamii si kigezo cha kuwa kweli.Uongo ukirudiwa mara nyingi kwa muda mrefu ina aminika kuwa kweli.Hizo ni mbinu tu za Shetani za kupotosha.Kwa hiyo Jua likiwaka na huku mvua inanyesha Simba anazaa kweli?Acha hizo wewee!
 
ningependa pia kama muandishi angetoa na kilicho kwenye qur-an na si ku base kwenye bible tu na history nyengine ili kusiwe na shaka ndan ya story hii yetu
 
Back
Top Bottom