hahahahaha hua unanifurahisha Sana
Mathanzua Leo unakana hapa kwamba hizi habari ni uongo na ni muumini wa Abrahamic religion,hivi unajua huyo mwanzilishi wa Nadharia ya Mungu El/YHW/Elohim alitoka jamii Gani mpaka akaingia uhia na Abraham na uzao wake ?
Nipirove me wrong Abram hakua ni jamaa kutoka Ashur huko Uru ya Ukaldayo Mesopotamia
Jiulize kwanini jamaa aliweza Pokelewa na Pharao wa Wamisri na akapewa hifadhi huko na akajifanya Sarai mkewe ni dadaake farao akamchapia mwisho farao akapata matatizo na kumwambia kwanini kamdanganya na Kwa kumwambia ni dada yake ingali ni mke wake haoni kama anamfanya aingie dhambini
Sasa jiulize ilikuaje Farao na watu wa misri wawe wanaabidu Mungu mmoja pamoja na Abraham wakati ni jamii mbili tofauti?
Hapo pia inaonesha jinsi Farao alivyokua kua mstaarabu pamoja na wamisri kiujumla Kwa kufuata Morals and Dogma za kistaarabu sio kama tunavyoaminishwa Leo
Wamisri walikua Wapagani na waabudu shetani ilikuaje wawe wastaarabu kuliko huyo Abraham aliyekua anamwabudu El na ni mwongo?
Wake up utaujua ukweli ya kwamba misingi ya Dini zote ni Accient civilization!