Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Nmependa concept ya positiveness n order ulivyoongelea..uko correct kabisa...kwamba angalau din znafundisha hilo..na ni kwel kusingekua na mafundisho ya dini hapa dunian pasingekalika...uko correct kabisa...n law n order hazikuanza leo wala jana...kuna dini nying sana duniani...kuna dini mpya na dini za kale..zote zimeongelea law n order..tena dini nyingne zmefanya ku copy n paste everythng...kuna dini zilikuepo dunian kabla ya dini mbili hizi kubwa yaan ukristo na uislam...na zote zilielekeza mambo positive..i guess its what who made us n everythng wanted...hakuna mtoto anaezaliwa halaf akaja mchinga mama yake ..awe anamafunzo ya din au hana...its nature...labda awe karukwa na akil...1/1000....so na kuhusu wew kuhis mjadala huu unaongelea -ve side of faith n religion..si kwel...hapa tunafanya uchambuz wa whats realy happened. N the logic behind...mfano...huwez nambia et pyramids zilijengwa na egyptians kirahis rahis tu halaf utake nikuamin...wakat hakuna vielelezo vyovyote vinaonyesha a human built them hata kwa tech gan...halaf kirahis tu niamin et sabab naogopa kuchunguza ukwel unatisha...no no no...hapo utakua wrong. So the same watu tunaochambua humu tunajiuliza meng kuhusu logics na truth za religion n faith tulizonazo kwamba zna ukwel gan..maana kuna vtu haviko logicaly correct..sasa ukiuliza hiv unaonekana kama mpinga vitu flan...kitu ambacho si kwel...haya mtu anajiuliza...jehanam ya moto...kwamba tukifanya dhamb tunachomwa milele uwe mtoto uwe mtu mzima utachomwa tu. Sasa unajiuliza..dhamb zenyew hiz za kuzin..kutukana..kuiba ndo nichomwe ziwa la moto milele?..ili iweje..yaan alieniumba anifanyie unyama wote huo ambao hata binadam kawaida hawez fanya...?ili iweje..sasa ndo vtu ambavyo weye akil tunaona haviingii akili..sasa mnataka wala tusihoji...no no no....

Nimeelewa majibu yako pia ila nachoona kwako ni kutafuta matumaini kwamba no matter what I do here iwe zinaa tamaa na dhambi nyingine siku haupo utakuwa safe uendako tunachojaribu ni kujipa moyo na matumaini ya after life lakini jambo muhimu iwe dini au sio dini tutende wema kwasababu wema hauozi unaweza ukafanya jambo jema leo likaja kukusaidia mbeleni no matter you believe in religion or not lakini dini zote zinatufundisha tutende mema ukiachana na watu wanaofanya maovu chini ya kivuli cha dini
 
Mkuu unakumbuka niliandika gazeti Kwa ajili ya kumjibu huyo bwana swali la Kwanini Quran haitumiki kwenye reference na wewe ukanipongeza kwamba majibu yameshiba na yamejitosheleza, ila nikakwambia majibu yamejitosheleza kwako na Sio kwake, course nishajua ana mlengo upi

Hivi Kwa mtu mwenye kuuliza Kwa lengo la kufahamu baada ya Yale majibu anaweza kuendelea na topic Ile ile? Ataendelea na maswali Yale Yale Kwakuwa teyari yeye ana majibu yake teyari Kichwani, kwahiyo we unapoteza Muda wako tu bure, Muulize ye anajua ni kwa nini Quran haitumiki then akujibu na hiyo case ndio itakuwa mwisho wake

Jf inafanya tunajadiliana na watu aina nyingi sana laiti kama ingekuwa ni live, Kuna baadhi ya watu ni ile aina ambayo akikusogelea na wewe unasogea pembeni, ila Kwakuwa Kila mtu yupo nyuma ya keyboard basi hatuna budi kum treat kila mmoja the same, ila Kuna watu hawastahili ata quote yako basi tu
Ni kweli kabisa, baada ya kukutana na post yake #628 ndiyo nimejua dhamira yale.
 
Una point ya msingi sana mdugu, ila mimi niseme kwa ufupi tu kwamba dini hazikuja kutuweka sawa bali kuchuma mali na kuwafanya watu watumwa wa fikra huku lengo kuu likiwa ni kuwatawala watu kupitia imani ya dini. Umezungumzia suala la mapenzi ya jinsia moja, dini ndizo zinaongoza kwa kusapoti na kunajisi watoto tena haya mambo yanafanyika hadi kwenye makasisi, alafu dini hiyo hiyo inafundisha kwamba ukifanya hivyo utachomwa moto.Mambo ya dini ni mambo nyeti na ya siri sana ndiyo maana unaona mada zake haziishi.

Pia kaka tusihukumu dini kutokana na yanayofanywa na walio ndani ya dini wale ni binadamu pia wana mapungufu yao sio kwamba ukiwa padri au sheikh unabadilika kutoka binadamu wa kawaida kuwa kiumbe tofauti ambacho ni kitakatifu.

Mi nadhani tuangalie dini na vitabu vyake vinafundisha nini hakuna sehemu katika biblia au Quran inayobariki mapenzi ya jinsia moja kote tunafundishwa kukataa na kukaa mbali na dhambi.

Nadhani tusihukumu dini kwa mapandikizi waliongia ndani ya dini kufundisha vitu tofauti na maandiko yanavyoelekeza.

What matters the world is full of negative energy and religion bring positive energy thus action and reaction are equal but opposite to each other.

Vitu vingine tunavyoandika hapa ni kutafuta matumaini ya after life kwasababu hakuna mwenye majibu though ni better kuanguka huku una positive energy.
 
Uko sahihi kwa namna moja hama nyingine, dini inayoongozwa na mtu ambaye hana pure soul na kufundisha binadamu mwenzake kuchinjwa pale anapo hama dini hazijengi bali kuleta matabaka na itikadi tu.

Neno sahihi unaloweza kulitumia nikakuelewa kwangu mimi siyo Dini bali "IMANI". Imani ndiyo muongozo sahihi katika maisha ya mtu na siyo dini.

Ukiangalia amri kumi za Mungu, kama atahukumu kwa kuziangalia zile basi watu wote wataenda motoni.

Kwamba ukitubu unasamewa, hii nadharia iliwekwa tu ili kuharalisha maovu, kwa maana nyingine kwa mfano mimi nikiua na kuchinja watu 70 n.k ninaweza kutubu na kusameewa alafu nikaenda peponi na yule aliyemtamani mke wa mtu asipotubu moja kwa moja motoni, vitu kama hivi uki reason sana logically inakataa.
 
Nimeelewa majibu yako pia ila nachoona kwako ni kutafuta matumaini kwamba no matter what I do here iwe zinaa tamaa na dhambi nyingine siku haupo utakuwa safe uendako tunachojaribu ni kujipa moyo na matumaini ya after life lakini jambo muhimu iwe dini au sio dini tutende wema kwasababu wema hauozi unaweza ukafanya jambo jema leo likaja kukusaidia mbeleni no matter you believe in religion or not lakini dini zote zinatufundisha tutende mema ukiachana na watu wanaofanya maovu chini ya kivuli cha dini
Mkuu nenda..russia..china..korea..japan..india..etc...kule hawana dini zetu hiz mbili..je wanaishije?...wamelearn from where..nenda kule kwa eskimos...hawana din zetu hiz..nenda alaska etc..ujue sis tunahis hiz dini zetu ndo funga kaz mkuu...ujue christians tuko kama 1b..n muslims kama 600m...wanaobak more than 5b ni dini ambazo hawajui muhamad wala Jesus...ushajiuliza wanaishije wao?..je wana law n order au hawana?
 
Mimi sipo hapa kutetea Uislam wala Ukristo nadhani hizi dini zote tumeangukia baada ya kuzikuta kwa wazazi wetu hakuna kingine nachoongelea mafundisho ya hizi dini ambayo sio yote lazima tuyafuate yanapunguza makali ya watu kufall into negative energy ndio maana nasema uamini kuhusu dini au usiamini tenda wema ndio jambo muhimu bila kuona kwamba nikitenda dhambi hakuna atakayenihukumu hata wahindu wachina warusi wanachoabudu hakiwafundishi kutenda maovu that’s what matters lakini tusitende dhambi tukijipa moyo hakuna dini wala hukumu after life nachopenda kuhusu dini ni ile positive energy inayoweka kwenye nafsi zetu ukiachana na mapungufu mengine yaliyopo
 
Mitazamo haiwezi kuwa sawa inategemea na uelewa wa mtu na jinsi mtu anavyolipokea jambo na kulitafakari, kisha akafanya analysis mwenyewe ili aone kama kuna ukweli au lah. Hamuwezi kuwa na mawazo sawa watu wote, hata kwenye vitabu vya dini maandiko yametofautiana kulingana na mlengo wa dini husika ila dhima yao wote ni moja, kumuabudu Mungu.

Mwisho maandiko ya dini bado yametumika kama reference katika kuwasilisha kile kinachojadiliwa.
Sawa
 
Mkuu nimegundua wewe ni unaamini kile unachokiamini jambo ambalo ni jema pia kwa sababu amejaribu kukujibu tena kwa kukutolea mifano mingi ila hujataka kumuelewa na kupitia post yako #628 nimegundua wewe ni dini gani ndiyo maana umekomaa kwelikweli kitabu cha dini yako kutonakiliwa kwenye mijadala ya hivi, nahisi unaamini kwamba dini yako ndiyo dini sahihi na ndiyo maana unaona hawafanyi hivyo labda.
Mimi sipo huko kwenye kusema hiki ni sahihi au sio sahihi na ndio maana hujaona hata nikishambulia huu uzi wako kwamba uliyoweka humu sio sahihi kama ambavyo wengine wamefanya.

Unajua mkuu mara nyingi sana humu mnavitaja hivi vitabu viwili kwa pamoja kwa maana ya Qur'an na Biblia ila naona ni biblia tu ndio inanakiliwa, hivyo ni vitabu vya dini mbili tofauti hivyo lengo langu ni kuona na wenye kuamini Qur'an nao wanaguswa kwa kupitia kitabu wanachokiamini.

Basi ni hivyo tu sikuwa na maana nyengine, ila tulishafunga hili mkuu.
 
Mimi sipo hapa kutetea Uislam wala Ukristo nadhani hizi dini zote tumeangukia baada ya kuzikuta kwa wazazi wetu hakuna kingine nachoongelea mafundisho ya hizi dini ambayo sio yote lazima tuyafuate yanapunguza makali ya watu kufall into negative energy ndio maana nasema uamini kuhusu dini au usiamini tenda wema ndio jambo muhimu bila kuona kwamba nikitenda dhambi hakuna atakayenihukumu hata wahindu wachina warusi wanachoabudu hakiwafundishi kutenda maovu that’s what matters lakini tusitende dhambi tukijipa moyo hakuna dini wala hukumu after life nachopenda kuhusu dini ni ile positive energy inayoweka kwenye nafsi zetu ukiachana na mapungufu mengine yaliyopo
Mkuu...we r born positive tuwe na din au tusiwe na dini amin hilo...wanyama wana dini au hawana?..kuku wana dini au hawana..paka je..mbwa..mbona hawachinjan hovyo tena hao ndo tunaamin hawana akil....as a mata of fact sis wenye dini na akil ndio tunawaua wao kila siku na kuwala nyama..tukisema ni chakula...kwan umeambiwa ukila mimea utakufa...hahah so funny...binadam kiumbe cha ajab snaa

Aisee...the creator is smarter than anything...yaan aliyefanya haya yote ni smart kuliko tunavyofikiri....
 
Hata Albert Einstein na ubabe wake wote katika sayansi alikubali kuwa kuna grand architect aliyetengeneza hii universe.
 
Mimi sipo huko kwenye kusema hiki ni sahihi au sio sahihi na ndio maana hujaona hata nikishambulia huu uzi wako kwamba uliyoweka humu sio sahihi kama ambavyo wengine wamefanya.

Unajua mkuu mara nyingi sana humu mnavitaja hivi vitabu viwili kwa pamoja kwa maana ya Qur'an na Biblia ila naona ni biblia tu ndio inanakiliwa, hivyo ni vitabu vya dini mbili tofauti hivyo lengo langu ni kuona na wenye kuamini Qur'an nao wanaguswa kwa kupitia kitabu wanachokiamini.

Basi ni hivyo tu sikuwa na maana nyengine, ila tulishafunga hili mkuu.
Sawa ndugu na usijali sana, mambo ya kawaida haya kwenye mijadala kama hii.
 
Mkuu...we r born positive tuwe na din au tusiwe na dini amin hilo...wanyama wana dini au hawana?..kuku wana dini au hawana..paka je..mbwa..mbona hawachinjan hovyo tena hao ndo tunaamin hawana akil....as a mata of fact sis wenye dini na akil ndio tunawaua wao kila siku na kuwala nyama..tukisema ni chakula...kwan umeambiwa ukila mimea utakufa...hahah so funny...binadam kiumbe cha ajab snaa

Aisee...the creator is smarter than anything...yaan aliyefanya haya yote ni smart kuliko tunavyofikiri....

Kumbuka aliyetuumba alitupa mamlaka ya vitu vyote vilivyopo Duniani tukianza kuhukumu kwa kuangalia kuku hawachinjani napata wasiwasi kidogo nenda mbugani ukaone wanyama wanavyouana kinyama wengine wa asili moja kwasababu ya territories mi nadhani tusijihukumu binadamu kwa kujifananisha na wanyama while we are so superior than them what matters ni kukeep positive energy na kutofanya mabaya tukijipa matumaini hatuwezi kuhukumiwa kwasababu haya mabaya sio strong sana Hapana nachokiona hapa ni kujipa matumaini ya after life kwamba no matter what we will be safe
 
Wanyama wenye asili moja hawauan mkuu..wanyama wenye asili tofaut ndio wanauana..sasa kuna utofaut gan katika ikolojia?..ni yale yale tu..mbona sis tunaua wanyama kila siku...well..nachotaka sema ni kwamba..hata zisingekuepo din kitu ambacho ni imposible..law n order vingekuepo tu...right n wrong vingekuepo tu kataa usikatae...hilo swala la et unaenda kuhukumiwa na mtu fulan..logicaly haliko correct..ni sawa tu na unavyomtisha mtoto wako mdogo...ukinyonya vidole utaota mapembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kabisa, ndiyo maana mimi nasema low & order anayoisema ni kwa ajili ya binadamu kumtawala binadamu mwenzake, ila siyo ya nature. Mfano mdogo kabla ya kuletwa hizi dini huku Africa, watu walikuwa wakiishi katika postive energy kama kawaida, wamasionari walichokifanya ni kuwaambia waafrika kwamba zile rituals zetu za asili ni Miungu, lakini hizo hizo ndizo zilizokuwa zinawafanya waishi katika postive energy anayoisema.

low & order inaweza kuwa initiated by nature pia, siyo lazima iwe manifest na mtu.
 
SEHEMU YA KUMI NA MOJA

GIANTS & DINOSAURS

View attachment 2113539

Ni takribani mamia ya miaka yamepita tangu kuthibitisha uwepo wa dinosaurs hapa duniani. Hapo kabla viumbe hawa walijulikana kama dragons.

Kama tujujuavyo viumbe hao walikuwa ni monstrous creatures kwelikweli waliozunguka sehemu mbali mbali hapa duniani zaidi ya miaka milioni 165 iliyopita.

Wanasayansi wanasema viumbe hawa, walitoweka zaidi ya mika milioni 65 iliyopita kutokana na madhara ya comet iliyoacha bonde lenye ukubwa wa 180 km huko Chicxulub-Yucatan Peninsula nchini Mexico(lakini hii bado ni nadharia na sio fact).

Inasemekana ni dinosaurs wachache sana walio survive na kuendelea kuishi hadi kipindi ambacho ANNUNAKI walifika duniani, miaka 450,000 iliyopita.

Tunaweza kuona hapa chini, sauropods watano kutoka sumerian cylinder seal.

View attachment 2113542

"Norse legend of Beowulf"(kama umewahi tazama hii movie/kama bado kaitafute uitazame) inavutia sana, kama description of the creature "Grendel" (huyu alikuwa monster aliyevamia kwa mfalme Danes karne ya 6 BC)could be that of babyTryannosaurus Rex. Alivutiwa na harufu ya nyama choma na sauti ya mtu anayeimba. Tunaweza kumchukulia Grandel kama giant humanoid.

Lakini tunaweza kujiuliza, how could Beowulf have ripped off one of its arms in the battle so easily unless it was the feeble arm of the baby T-Rex, wchich according to the description, also had claws?.

Mwishowe walihitajika watu wengi sana hili kumuua kiumbe huyo wakati wa jitihada za kukabiliana naye.

View attachment 2113552

T-Rex dinosaur

Baada ya Grandel kuuliwa, Mama yake (the dragon/T-Rex) alikuja kumuangalia mtoto wake (offspring) na kukiharibu kijiji kizima. Baada ya hapo akaelekea pangoni, Beowulf akapewa upanga wa maajabu hili akamuue. Upanga huo ulichanganywa na baadhi ya vitu vilivodondoka kutoka juu, na kitu chochote kilichoshuka duniani kutoka angani, ilisemekana kimetumwa na Miungu yao hii ndiyo sababu kubwa ya kusema upanga aliyopewa Beowulf na wazee wa kijiji ulikuwa ni "magic sword."

Beowulf alimuua T-Rex kwa kumkata shingo, na inasemekana hii ni sehemu weak ya dinosaurs, hivyo ukiweza kumkata sehemu ya shingo anakufa hapo hapo.

Vile vile tuna mashujaa wengine waliopambana na dragons kama vile St. George, aliyemuua Varanus priscus(huyu inasemekana ni mjusi mkubwa sana kuwahi kutokea hapa duniani). Viumbe hawa waliishi kwa wakati ule, lakini tatizo ni kwamba legends hawakutaka kuona viumbe hao wakiishi, hivyo ilikuwepo battle kubwa kati ya hominids na dinosaurs iliyopelekea kutoweka kwao.

Moja wapo ya fossil iliyodhaniwa imetoweka ni Coelacanth. Ilisemekana kiumbe huyu alitoweka miaka milioni 400 iliyopita, lakini mmoja alinaswa kwenye nyavu na mvuvi mwaka 1974 katika visiwa vya Comoro, tukio hili lilimaliza utata wote uliyokuwepo kuhusu kutoweka kwa kiumbe huyo.

View attachment 2113568

A coelacanth

Nyayo zinazo fanana na za mtu mwenye umbo kubwa sana (giant human like) pembeni kabisa na dinosaur tracks zilipatikana Paluxy-Glen Rose Texas. Vile vile mabaki ya dinosaurs na species wengine wa dinosaur yamepatikana na kugunduliwa sehemu tofauti tofauti dunia, hivyo kuweka wazi na kuthibitisha uwepo wa viumbe hao hapo kabla.

Tunawezaje kutambua umri wa mabaki(fossils) za viumbe?

Radio carbon dating haiwezi kutumika kwa sababu half life yake ni miaka 5,700, tunaweza kutumia C14 isotope ambayo inaweza kutambua umri wa fossils wa miaka 60,000 pekee iliyopita, ni hii ndiyo njia inayotumika katika matukio ya kihistoria.

View attachment 2113570
Discovered footprints of giants like human alongside the dinosaur track

Ngoja nielezee kidogo kuhusu dating fossil

Njia common inayotumika ni uranium-lead decay method, ambapo unapima kiasi cha uranium kwa kulinganisha na kiasi cha lead that has radioactively decayed, then unapata muda-mfano, miaka bilioni moja n.k.

Lakini ambacho hawasemi ni kwamba njia hii utoa by-product ambayo ni radioactive helium and if you measure this, inakupa date ya miaka 5,000 ukilinganisha na bilioni moja.

Kutokana na inaccurate ya hii njia, hamna namna ya kufahamu ni wakati gani fossils au creatures ziliweza kufanyika zaidi ya kusikiliza na kusoma kile kilichoandikwa na ancients.

Vile vile tunaweza kuona uwepo wa majengo makubwa yenye bricks zenye uzito wa tani 20-50 kama yale yaliyopatikana South America. Kwa mfano uharibifu katika Ollantaytambo & Sacsayhuaman, is that giant creatures could easily knock down a wall built from small bricks(kwa maana kuna giants waliokuwepo).

Genesis 6:4 King James Version;

"THERE WERE GIANTS IN THE EARTH IN THOSE DAYS; AND ALSO AFTER THAT, AND WHEN THE SONS OF GOD CAME IN UNTO THE DAUGHTERS OF MEN, AND THEY BARE CHILDREN TO THEM, THE SAME BECOME MIGHTY MEN WHICH WERE OF OLD, MEN OF RENOWN"

Na tunajua Biblia ni kopi ya maandiko ya kale kutoka sumerians, so we can assume that they are talking about the Annunaki taking the human slaves as wives (hii ilikuwa bado ni pre-flood era).

View attachment 2113572
Ollantaytambo

View attachment 2113573
Ollantaytambo
View attachment 2113574
Sacsayhuaman

In fact wale giants 22 waliotajwa, wametejwa kwa majina na Biblia baada ya mafuriko:

1.Adonizedec -Mfalme wa Jerusalem
2.Agag Mfalme wa Amalakites
3.Ahiman
4.Amalek
5.Arba
6.Beelesath
7.Gog & Magog
8.Gogmagog
9.Goliath
10.Hoham Mfalme wa Hebron
11.Horam Mfalme wa Gezer
12.Jobab Mfalme wa Madon
13.Jabin Mfale wa Hazor
14.Sihon Mfalme wa Amorites
15.Talmai
16.Sippai
17.Sheshai
18.Perizzites
19.Lahmi
20.Nimrod
21.Og of Bashan
22.Ogias - Baba yake Og.

"And there we saw the giants, the sons of Anak, which come of the giants: and we were in our own sight as grasshoppers, and so we were in their sight" (English Bible Standard Version)

Kwa upande mwingine wa Biblia, jina Annunaki limekuwa abbreviated to the sons of Anak, imeweka wazi kwamba watu walifanana jamii ya panzi ukilinganisha na watoto wa Annunaki (kwahiyo hao Annunaki walikuwa ni mijitu kweli kweli).

Hivi karibuni skeletons za hao giants zimepatikana katika milima ya Bucegi nchini Romania , pia ziligundulika mwaka 1940 na Archaeologists katika sehemu inaitwa Argedava nchini Romania.

Mabaki ya skeletons ya giants hao, yaliondolewa na kuchukuliwa haraka sana na mpaka sasa haijulikani ni wapi yalipelekwa.

Mwaka 2009, serikali ya Romania ilihamua kuweka wazi na kutangaza kwenye vyombo vya habari kuhusu giants hao kuishi na kukaa katika milima ya Bucegi, ila jambo la kushangaza wakati wanajiandaa kurusha matangazo, Mtangazaji alipigiwa simu na mtu asiyefahamika na kumwambia waache mara moja na kusitisha matangazo hayo.

Baadaye wale waandishi wa habari waliokuwa wanahusika na tukio walipohojiwa, hawakutaka kabisa kusema au kuzungumzia chochote kuhusu tukio hilo.

Kwa nini kuna matumizi ya nguvu sana katika kuhakikisha taarifa hizi hazitolewi hadharani, sababu ya kipekee inaweza kuwa ni kwamba wale giants waliowahi kuishi hapa duniani ni ANNUNAKI.

Hii inaweza kuthibitisha kwamba kile kilichoandikwa kwenye clay tablets ni ukweli, kitu ambacho kinaweza kupelekea mwisho wa taasisi za dini ulimwenguni & mass hysteria.

Watu wanaweza kugundua kwamba wamekuwa wakiishi chini ya uongo wa dini & that we are creation of ENKI as slaves for mining gold.

They would discover that there is nothing majestic about human race, that we were simply created as a means to an end & nothing more.

Plato aliwahi kusema: "HAKUNA MTU ANAYECHUKIWA KAMA YULE ANAYE SEMA UKWELI."

View attachment 2113579
Milima ya Bucegi nchini Romania.

View attachment 2113627

View attachment 2113629
Giants wanao ongelewa hapa, walikuwa ni watu waliopanda hewani na wenye miili mikubwa kweli kweli mithili ya hizi picha. Mtu mrefu wa sasa anaweza akaishia kwenye magoti yao tu. Hawakuwa viumbe wa kawaida.
Mleta mada upo makini sana, huo mchoro wa sauropods ni uthibitisho tosha kabisa kwamba dragons /dinosaurs walikuwepo na kutoweka kwao moja wapo ya sabab iliyochangia n battle baina wa hao viumbe na giants, hao giants ni annunaki hao hao hili lilithibitishw baada ya kugundulika kwa mabaki yao.
 
Mwamba umeongea kitu kikubwa sana...ndomana mi huwa nahis kama hawa anunaki../Miungu..kila m1 ana project yake..perhaps sis weus tuna mungu wetu..yupo alietengeza wanyama....

Yaan kama ilivyo sasa ulimwengun hapa..kuna sie tuko vzur kwenye kutengeneza vitu vya asili...kunaa wachina wanakuja na product zao za kichina..kuna wazungu wao wanatengeneza mchines tu..etc..so naamin nahis..perhaps..yupo mtaalam yeye ni kutengeneza mimea tu..ndo sekta yake .perhaps. yupo mwingne yeye ni mtenngeneza maj. N all water bodies etc....

Uskute yupo anunaki/mungu yeye watu wake ni jamii ya wachina. Japan..korea etc[emoji3]

Na ndo ile tafsi ya ndimi bwana mungu wako usiabudu miungu mingne... Inamaana miungu mingne ipo[emoji3]

Sasa hapo mlokole ukimwambia nipe tafsir ya miungu mingne..ataanza bla blaa kibao..mara miungu mingne ni tamaa..ulevi.uzinz.[emoji3]

Hawa jamaa bana...sasa mtu kama masanja au shila na akili ndogo vile atakuchambulia nn uelewe..hahahah
Miungu wapo ndiyo, mwanzoni katika rituals za sumer hapakuwepo na kitu Mungu, wao waliabudu Miungu na dini zote maandiko yake yametoka summer na watu wanaojua hizi siri wakatumia fursa kuleta dini, kwahiyo Miungu ipo na inaponya na kubariki pia, na dini zote zinatumia Miungu katika kisali na kuabudu inawezekana waliamua waiite Mungu ili kuondoa ulizo la kwamba inakuwaje tumuabudu mtu kama sisi?
 
Wenzetu wanajua pamoja na mutiny inayoweza kutokea baina yetu, ukweli ni kwamba hao viumbe huenda wakarudi tena duniani, ndiyo maana unaona wanapambana kutafuta maisha sayari nyingine. Kingine katika projects zao wanaamini vitu na dhahabu walizochukua wanaweza kuzikuta kule, wana siri nyingi kutoka sumerians ambazo hazijulikana ulimwenguni.
Ndiyo uko sahihi watarudi tena.
 
Kuwa mtu wa dini Haina maana kwamba ndio Uwe mjinga mjinga, Kuna watu wa dini wako very smart na kwenye hii mada wangeenda toe to toe na mtoa mada Kwa kutoa facts na hoja zenye kufikirisha, Kuna watu wa dini kumuingia na hizi mambo ujipange haswaaa maana unaweza kutoka Kapa Kwa jinsi alivo smart Kichwani

ila huyo Mkuu ye hana points Wala facts anazochangia kwenye huu Uzi ambazo zinaweza kumfikirisha mtu ambae ni free minded, ukisoma comment zake zote ni mtu aliejaa hofu tu na hakuna ata sehemu Moja ambayo ameuliza au kuchangia kitu chenye kufikirisha, ni wazi Kuwa ana matumizi mabaya ya Akili zake

Atakwambia we unaringia uzima huo ulionao sa Kwani Kuna mtu ataishi milele kisa ahoji mambo ya uumbaji? Sa mtu wa namna hii unamweka kwenye kundi la watu Gani ndugu yangu?

Hapo alipo ye ata haelewi objective ya huu Uzi, ye Anajua huu Uzi upo kwa ajili ya kupinga kwamba hakuna Mungu, kwahiyo Kwa lugha nyepesi sana jamaa anauwekea limitations Ubongo wake kwamba hiki siulizi Wala sihoji na hiki acha nibishe tu

Unajiuliza mtu anapata wapi ujasiri wa kuuliza hao Annunaki waliumbwa na nani? ila at the same time anaridhika na jibu la Kuwa Mungu wake ye hajaumbwa Wala hajazaliwa na hana guts za kuuliza viongozi wake wa dini, we mtu wa namna hii unahangaika nae wa nini?

Mtu anauliza sasa kama hao Annunaki walikuwa na technology kubwa ya kuweza kuumba binadamu sa Kwa nini aumbe kiumbe dhaifu kuliko wao kimsaidie kuchimba dhahabu? ila hajawahi kuuliza kama Mungu ameumba Kila kitu tena Kwa kunena,anaona Kila kitu,Anajua kila kitu ilikuaje akaumba viumbe dhaifu kuliko yeye Malika ili wawe wasaidizi wake ikiwa ye ni complete package?

Anasema pyramid zilijengwa Kwa ajili ya kuzikwa pharaohs, sa ilikuaje watumie technology kubwa kiasi kile kwenye makabuli tu na sio makazi Yao? kama pyramid ni kwa ajili ya pharaoh je zile za America kusini Zilikuwa zinazikiwa kina nani?

Mtu ambae anaamini Kuwa unaweza kuchoma moto wa milele watoto wako kisa tu wamedhini, kisa tu wamesema uongo,kisa tu wamemkubali zaidi baba wa Kambo kuliko wewe, na wakati huo huo wanasema we ni baba mwenye huruma na unapenda watoto wako sa hii ni Akili au matope?

Mtu ambae anaamini Imani ambayo ndo kwanza unakuta ina miaka 1500 tangu inanzishwe ila anakuja kubishia history ambayo ipo Kwa Malaki ya miaka nyuma na ikiwa inafanana na maandiko ya Imani yake ila haelewi sa huyu mtu unamfanyaje? Ni wazi kwamba wanaendeshwa na hofu tu na hawataki kutumia ata theruthi ya Ubongo wao kufikiria
Ni kwel hamna pharao mule, ni Annunak walijenge zile.
 
Back
Top Bottom