SEHEMU YA KUMI NA MBILI
COLLECTIVELY ARE WE ALL GOD?
Atheists, Pyschic & Psychic drugs, Akashic, Meditation & Incantation, Science, Uchawi na Ramli, haya yote tunakutana hapa.
Matumizi ya kwanza kabisa ya neno Mungu (God/Allah) yalianzia sumerians, likitokana na neno DIN GIR ambalo lina maana ya "the righteous ones of the sky chamber" lakini kadri lugha inavyozidi kubadilika muda baada ya muda, neno DIN GIR limekuwa translated na kujikuta tukitumia God/Allah.
Kwahiyo mtu anapo sema "sifa kwa Mungu", anamaanisha sifa kwa "the righteous ones of the sky chamber" ikiwa ni sawa sawa kabisa na yule anayesema "God bless you" anamaanisha the righteous ones of the sky chamber bless you"
Ukichukua Biblia/Quran ukabadilisha neno God/Allah na kutumia the righteous ones of the sky chamber vitabu vyote hivi vitaleta maana tofauti kabisa.
Siko hapa kuibua mgongano wa fikra kuhusu dini, bali ushahidi kuhusu ukweli wa dini hizi.
Kama kwa sasa ambavyo watu wamekuwa wakitafuta njia sahihi ya kufupisha maneno ili waweze kuyatamka kirahisi, mfano, neno cellular kwa sasa ni "cell," telephone kwa sasa ni "phone" n.k, hivyo ni rahisi kutumia neno God/Allah kuliko "the righteous ones of the sky chamber"
Kwahiyo ni wapi hili linamuacha Mungu (God)?
Nazani tunatakiwa kutazama njia mpya kwa jinsi gani tunachukulia Mungu alivyo. Watu wengi wanazani ni mtu mzee, mwenye ndevu aliyekaa mbinguni, akitutazama na kujibu maelfu na maelfu ya maombi ya kila mtu. Lakini logistically hili haliwezekani kwa omnipotent entity yeyote kufanya hivyo.
Kwahiyo ni jinsi gani tunamuelezea Mungu kwa watu wazima, ambao bado wana mafundisho ya utotoni kuhusu Mungu vichwani mwao, na ambao wana reference hiyo tu?
Makanisa na Miskiti hawatoa maelezo mazuri kuhusu Mungu tofauti na yale tunayofundishwa/tuliofundishwa tukiwa wadogo.
Lakini ni vipi kama tunaweza kutumia nadharia kuhusu Mungu alivyo that makes sense na inaweza na siku moja ikathibitishwa kisayansi?
Tumekuwa tukijiuliza sana zaidi ya mara moja kuhusu Mungu ni nani au yukoje, na inawezekana tumekuwa tukiwauliza ndugu, wazazi, priests n.k lakini mara kwa mara tunapewa jibu lile lile:
"USIULIZE KUHUSU MUNGU, ANATEMBEA KATIKA NJIA ZA MIUJIZA" au "MUNGU NI ROHO HANA MWILI."
Lakini ni kweli hapo mwanzo alikuwepo Mungu au wapinga dini wapo sahihi?
Kwangu mimi, nafikiri chochote kilichoandikwa na atheists kinaweza kuwekwa katika sentensi moja: "We don't believe in anything-the end." Kwahiyo kwa nini wanajaribu kuelezea ni kwa nini hawaamini katika chochote?
Ukitazama Universe yetu, napata ugumu sana kuamini kwamba hakuna grand architect aliyetengeneza hii universe. Hata mwanasayansi nguli duniani Albert Einstein aliwahi kusema:
"Anyone who becomes involved in the pursuit of science, becomes convinced that there is a spirit manifest in the laws of the universe, a spirit vastly superior to that of mankind"
Katika harakati zangu za kuchimba kuhusu ukweli, nikakutana na mtu anitwa Edgar Casey (March 18, 1877-January 3, 1945)
Casey alikuwa ni mkulima tu wa kawaida na hakuwa na elimu kubwa, he was fascinating man, aliwahi kutoa hotuba ya jinsi gana tunaweza kuwasiliana bila kuongea au kuandika, hotuba iliyomuweka matatani.
Kutokana na hotuba yake, kuna uwezekano mkubwa wa watu kuwasiliana on a "subconscious quantum level" na siyo kwa kupitia kuongea au kuandika tu.
Alipoulizwa anajuaje mambo hayo yote, alijibu kwa kusema kila mtu ana uwezo wa kufanya kile anachokifanya, na aliendelea kuelezea kwamba ameyafahamu na kuyajua yote hayo kutoka kwenye Akashic records.
Je Akashic ni nini?
Akashic is a sanskrit word meaning ethereal compendium of all knowledge & history.
Hii ni sawa na mainframe computer ikiwa imeunganishwa na kompyuta nyingine, na Ubongo wetu actually ni kompyuta ya kibiologia, ikiwa imeunganishwa na mainframe computer of all knowledge.
Lakini nikajiuliza, hili linawezekana kweli?
Kwa kuwaangilia watu mashuhuri katika historia kama vile Leonard Da Vinci, ambaye alibuni na kuchora michoro ya helicopters, planes, submarines na teknolojia nyinginezo zilizokuwa mbele ya muda, nikaanza kufikiria labda kulikuwa na kitu katika hili.
Mr. Casey pia alilielezea hili katika Akashic field, TIME HAS NO DISTINCTION:Hii ikiwa na maana ya kwamba wakati uliopita, wakati uliopo/sasa na wakati ujao are all happening at once.
Je Mr. Da Vinci, Nostradamis, Archimedes did they tap into this field? Maybe even all of this great figures subconsciously tapped into this field of knowledge far into the future - watu kama Einstein, Von Braun, Oppenheimer na Tesler.
Je walikuwa na uwezo huo pia?
Kama tukikichukua kile alichokisema Casey kwamba wote tunao huo uwezo na infact kwa pamoja sote ni Mungu (God) - then why not?
Ina make sense logistically kwamba minds zote zipo kwenye mawasiliano moja kwa nyingine, kuliko kiumbe mmoja tu(omnipotent being) kujaribu kuwasiliana na kujibu maombi ya kila mtu.
Je hili linatokeaje? Ntajaribu kuelezea kwa facts na mifano hai, hili isionekana ni hadithi tu ya kusimulia.
Kwanza hebu tutazame ni jinsi gani tunawasiliana on quantum level, kama wanasayansi walivyoligundua hili na kuweka mkazo zaidi. Group la wanasayansi wa Ujerumani waliamua kuchukua living cells kutoka kwa mtu aliyejitolea, na kuziweka kwenye petri dish, na kuziweka miles 100 away kwenye maabara nyingine. Waliweza kurekodi reaction za cells kwenye petri dish kama walivyo test on the subject na kugundua kwamba hata kama cell zilitolewa from the subject & placed 100 miles away, they reacted along with the cells of the test subject.
Are we all connected? Uthibitisho wa jaribio hilo, unaweka wazi uwezekano huo, vile vile inaweka uwezekano wa kuwasiliana na waliokufa, kama Mr. Casey alivyosema katika Akashic field.
Muda hauna utofauti (Time has no distinction) na hili linaweza kumaanisha kwamba, you are actually not communicating with the dead but with that person alive in his own time, whether it be past, present, or future."
Ugunduzi huu unatuambia kwamba cell zetu zinawasiliana, so is it then possible that they communicate with other people's cells?
Is this how PSYCHICS communicate?
Tunajua kwamba KGB na CIA wana watu katika programs kama vile MK Ultra, designed to mind control na kuwafundisha remote viewers to give a detailed description of distant places wanapotakiwa kufanya hivyo.
Mmoja wao alipoulizwa wanawezaje kufanya hivyo, alijibu kwa kusema ameunganishwa kwenye akili ya mtu wa eneo hilo & was able to see through his eyes.
Lakini hii ni fact, kwa sababu KGB na CIA walikuwa/wanao hao watu wenye uwezo wa kucontrol mind ya mtu, na mtu yeyote anaweza kupewa mafunzo jinsi ya kufanya hivyo kama alivyo elezea mmoja wao kwenye interview:
Police & FBI wanafahamika kwa kuwatumia psychics kutafuta na kubaini crimes na psychic mmoja alipoulizwa aliwezaje kubaini mwili wa murder victim, alielezea kwamba, aliwasiliana na mind of murderer ili kujua ni sehemu gani mwili ulipo.
Is God the collective consciousness of all livings beings?
Ilikuwa mwaka 1927 katika 5th Solvay conference mjini Brussels nchini Ubelgiji pale nadharia ya tabia za quantum mechanics(the subject of consciousness & the atomic world was at hand) ilipowekwa wazi, huku wakiwepo greatest minds in physics kama vile Curie, Heisenberg, Bohr, Lindman, na Plank kwa kuwataja wachache.
Heisenberg na Bohr approached Einstein with a new theory: THAT THE MINDS OF THE RESEARCHERS WERE AFFECTING THE RESULTS OF THE EXPERIMENTS. Einstein hakukubaliana nao kwa mara ya kwanza, lakini miaka michache mbeleni alikuja kukubali kwamba inatokea.
"All matters originates and exists only by virtue of a force, we must assume behind this force is the existence of a conscious and intelligent mind, this mind is the matrix of all matter."
Max Plank (Father of Quantum Physics)
"Current science can not handle or explain consciousness, so whenever there is a human observer present at an experiment, he causes a collapse of the wave function. A wave function is a mathematical construct that accurately predicts the probabilities of the outcomes of an experiment, but whenever there is a human present, he causes a collapse of the wave function, therefore rendering the experiment useless."
So they now isolate any human presence from the experiment sa as not to affect the outcome.
Kiukweli minds zetu are more powerful kuliko tunavyo amini, na zinafanya kazi constantly on a subconscious level.
Naomba ufanye jaribio kidogo, jaribu kutulia bila kufanya chochote, then utuambie ni vitu gani unaviona kwenye mind yako, uoni kama unawasiliana na minds zingine?, unaona mind yako ina operate vipi?, alafu utuambie.
Hii ndiyo sehemu ya mwisho katika muendelezo wa thread hii.
View attachment 2118754
View attachment 2118755
View attachment 2118757