Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki


Nimeelewa majibu yako pia ila nachoona kwako ni kutafuta matumaini kwamba no matter what I do here iwe zinaa tamaa na dhambi nyingine siku haupo utakuwa safe uendako tunachojaribu ni kujipa moyo na matumaini ya after life lakini jambo muhimu iwe dini au sio dini tutende wema kwasababu wema hauozi unaweza ukafanya jambo jema leo likaja kukusaidia mbeleni no matter you believe in religion or not lakini dini zote zinatufundisha tutende mema ukiachana na watu wanaofanya maovu chini ya kivuli cha dini
 
Ni kweli kabisa, baada ya kukutana na post yake #628 ndiyo nimejua dhamira yale.
 

Pia kaka tusihukumu dini kutokana na yanayofanywa na walio ndani ya dini wale ni binadamu pia wana mapungufu yao sio kwamba ukiwa padri au sheikh unabadilika kutoka binadamu wa kawaida kuwa kiumbe tofauti ambacho ni kitakatifu.

Mi nadhani tuangalie dini na vitabu vyake vinafundisha nini hakuna sehemu katika biblia au Quran inayobariki mapenzi ya jinsia moja kote tunafundishwa kukataa na kukaa mbali na dhambi.

Nadhani tusihukumu dini kwa mapandikizi waliongia ndani ya dini kufundisha vitu tofauti na maandiko yanavyoelekeza.

What matters the world is full of negative energy and religion bring positive energy thus action and reaction are equal but opposite to each other.

Vitu vingine tunavyoandika hapa ni kutafuta matumaini ya after life kwasababu hakuna mwenye majibu though ni better kuanguka huku una positive energy.
 
Uko sahihi kwa namna moja hama nyingine, dini inayoongozwa na mtu ambaye hana pure soul na kufundisha binadamu mwenzake kuchinjwa pale anapo hama dini hazijengi bali kuleta matabaka na itikadi tu.

Neno sahihi unaloweza kulitumia nikakuelewa kwangu mimi siyo Dini bali "IMANI". Imani ndiyo muongozo sahihi katika maisha ya mtu na siyo dini.

Ukiangalia amri kumi za Mungu, kama atahukumu kwa kuziangalia zile basi watu wote wataenda motoni.

Kwamba ukitubu unasamewa, hii nadharia iliwekwa tu ili kuharalisha maovu, kwa maana nyingine kwa mfano mimi nikiua na kuchinja watu 70 n.k ninaweza kutubu na kusameewa alafu nikaenda peponi na yule aliyemtamani mke wa mtu asipotubu moja kwa moja motoni, vitu kama hivi uki reason sana logically inakataa.
 
Mkuu nenda..russia..china..korea..japan..india..etc...kule hawana dini zetu hiz mbili..je wanaishije?...wamelearn from where..nenda kule kwa eskimos...hawana din zetu hiz..nenda alaska etc..ujue sis tunahis hiz dini zetu ndo funga kaz mkuu...ujue christians tuko kama 1b..n muslims kama 600m...wanaobak more than 5b ni dini ambazo hawajui muhamad wala Jesus...ushajiuliza wanaishije wao?..je wana law n order au hawana?
 

Mimi sipo hapa kutetea Uislam wala Ukristo nadhani hizi dini zote tumeangukia baada ya kuzikuta kwa wazazi wetu hakuna kingine nachoongelea mafundisho ya hizi dini ambayo sio yote lazima tuyafuate yanapunguza makali ya watu kufall into negative energy ndio maana nasema uamini kuhusu dini au usiamini tenda wema ndio jambo muhimu bila kuona kwamba nikitenda dhambi hakuna atakayenihukumu hata wahindu wachina warusi wanachoabudu hakiwafundishi kutenda maovu that’s what matters lakini tusitende dhambi tukijipa moyo hakuna dini wala hukumu after life nachopenda kuhusu dini ni ile positive energy inayoweka kwenye nafsi zetu ukiachana na mapungufu mengine yaliyopo
 
Sawa
 
Mimi sipo huko kwenye kusema hiki ni sahihi au sio sahihi na ndio maana hujaona hata nikishambulia huu uzi wako kwamba uliyoweka humu sio sahihi kama ambavyo wengine wamefanya.

Unajua mkuu mara nyingi sana humu mnavitaja hivi vitabu viwili kwa pamoja kwa maana ya Qur'an na Biblia ila naona ni biblia tu ndio inanakiliwa, hivyo ni vitabu vya dini mbili tofauti hivyo lengo langu ni kuona na wenye kuamini Qur'an nao wanaguswa kwa kupitia kitabu wanachokiamini.

Basi ni hivyo tu sikuwa na maana nyengine, ila tulishafunga hili mkuu.
 
Mkuu...we r born positive tuwe na din au tusiwe na dini amin hilo...wanyama wana dini au hawana?..kuku wana dini au hawana..paka je..mbwa..mbona hawachinjan hovyo tena hao ndo tunaamin hawana akil....as a mata of fact sis wenye dini na akil ndio tunawaua wao kila siku na kuwala nyama..tukisema ni chakula...kwan umeambiwa ukila mimea utakufa...hahah so funny...binadam kiumbe cha ajab snaa

Aisee...the creator is smarter than anything...yaan aliyefanya haya yote ni smart kuliko tunavyofikiri....
 
Hata Albert Einstein na ubabe wake wote katika sayansi alikubali kuwa kuna grand architect aliyetengeneza hii universe.
 
Sawa ndugu na usijali sana, mambo ya kawaida haya kwenye mijadala kama hii.
 

Kumbuka aliyetuumba alitupa mamlaka ya vitu vyote vilivyopo Duniani tukianza kuhukumu kwa kuangalia kuku hawachinjani napata wasiwasi kidogo nenda mbugani ukaone wanyama wanavyouana kinyama wengine wa asili moja kwasababu ya territories mi nadhani tusijihukumu binadamu kwa kujifananisha na wanyama while we are so superior than them what matters ni kukeep positive energy na kutofanya mabaya tukijipa matumaini hatuwezi kuhukumiwa kwasababu haya mabaya sio strong sana Hapana nachokiona hapa ni kujipa matumaini ya after life kwamba no matter what we will be safe
 
Wanyama wenye asili moja hawauan mkuu..wanyama wenye asili tofaut ndio wanauana..sasa kuna utofaut gan katika ikolojia?..ni yale yale tu..mbona sis tunaua wanyama kila siku...well..nachotaka sema ni kwamba..hata zisingekuepo din kitu ambacho ni imposible..law n order vingekuepo tu...right n wrong vingekuepo tu kataa usikatae...hilo swala la et unaenda kuhukumiwa na mtu fulan..logicaly haliko correct..ni sawa tu na unavyomtisha mtoto wako mdogo...ukinyonya vidole utaota mapembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kabisa, ndiyo maana mimi nasema low & order anayoisema ni kwa ajili ya binadamu kumtawala binadamu mwenzake, ila siyo ya nature. Mfano mdogo kabla ya kuletwa hizi dini huku Africa, watu walikuwa wakiishi katika postive energy kama kawaida, wamasionari walichokifanya ni kuwaambia waafrika kwamba zile rituals zetu za asili ni Miungu, lakini hizo hizo ndizo zilizokuwa zinawafanya waishi katika postive energy anayoisema.

low & order inaweza kuwa initiated by nature pia, siyo lazima iwe manifest na mtu.
 
Mleta mada upo makini sana, huo mchoro wa sauropods ni uthibitisho tosha kabisa kwamba dragons /dinosaurs walikuwepo na kutoweka kwao moja wapo ya sabab iliyochangia n battle baina wa hao viumbe na giants, hao giants ni annunaki hao hao hili lilithibitishw baada ya kugundulika kwa mabaki yao.
 
Miungu wapo ndiyo, mwanzoni katika rituals za sumer hapakuwepo na kitu Mungu, wao waliabudu Miungu na dini zote maandiko yake yametoka summer na watu wanaojua hizi siri wakatumia fursa kuleta dini, kwahiyo Miungu ipo na inaponya na kubariki pia, na dini zote zinatumia Miungu katika kisali na kuabudu inawezekana waliamua waiite Mungu ili kuondoa ulizo la kwamba inakuwaje tumuabudu mtu kama sisi?
 
Ndiyo uko sahihi watarudi tena.
 
Ni kwel hamna pharao mule, ni Annunak walijenge zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…