Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Ndugu zang mim niko flexible ktk haya maisha na Napenda Kujfunza kila jambo la maana...... Ktk mjadala huu nimejtahd kuptia comments karb zote.... Nataman sana kujua kuhusu hv vitabu viwil Quran na Biblia kwamba ni stori za kutungwa tu kwa maslahi ya wapanga mipango wa dunia au kuna ukweli kias gan ndan yake...? Mana ukifuatiwa referance nyngine Hufanya Kwa vitabu hv.,.... Nakarbsha kwa mwnye Uelewa na ushahidi pia ingekuwa poa zaid...
 
Akili yako ilikuwa inawaza kuhusu Annunak hivyo ni kawaida kwa mtu kuota kile kilichomkaa akilini mwake. Hapo kwa mujibu wa maelezo ya ndoto yako ni kwamba ni wewe ndiye uliyefanya assumption kuwa ni Annunak wale. Na sio kwamba hao Annunak wamejitambulisha kuwa ni wao

It is possible mkuu
 
Hili swali hawatakujibu zaidi ya bla bla

Yaani Annunaki waunde mtu ambaye ni dhaifu kuliko wao wawafanyie kazi ya uchimbaji dhahabu 🤣

Waulize kabla ya kuumba huyo mtu walikua wanaipataje hiyo dhahabu?
Nawewe nikuulize,kuna haja gani ya binadamu wa sasa kuunda ma robots kufanya kazi viwandani ilihali tunaweza fanya wenyewe kwa uwezo wetu??
 
SEHEMU YA KWANZA.

Ukweli uliofichwa, unaopatikana kwenye vipande vya mawe vyenye jumbe kutoka sumerians, Babylonians, Akkadians.

Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe waliofika duniani kutoka sayari nyingine huwezi kuwasahau annunaki. Historia kutoka katika summerian culture inaeleza kwamba, Annunaki waliabudiwa na walihusika katika kuhukumu mema na mabaya, gods and goddesses waliokuja duniani kumtengeneza mtu (modern man) kutoka kwenye ulimwengu mwingine, ambao unasemekana ni sayari ya Nibiru (sumerian God & Goddesses -the Annunaki, 2016).

Annunaki walitawala maisha na mifumo ya imani ya watu wa kale waliojulikana kama Mesopotamia, lakini ambao kwa sasa wanajulikana kama Tigris-Euphrates river system. Je walikuwa Mungu? hili suala ambalo linazua mkanganyiko kwenye hii saga.

Zecharia Sitchin, muhandishi na mtafiti na mtafsiri maandishi ya kale na msomi kutoka chuo kikuu cha London, anasema hawakuwa Mungu, japo walichukuliwa na kuabudiwa kama Mungu. Baada ya kufanya tafiti nyingi za maandiko ya kale aliitimisha kwa kusema kwamba, hawakuwahi kuwa Mungu, bali viumbe wa ajabu wenye nguvu waliokuja duniani kutoka sayari ya mbali Nibiru inayopatikana kwwnye mfumo wa sayari, ambayo uikaribia dunia kila baada ya miaka 3,500 ikiwa kwenye muhimili wake.

Creation of Human Race
Kutokana na ushahidi uliopatikana kutoka kwenye maandiko ya kale, inasemekana zaidi ya mamia ya maelfu ya miaka iliyopita walikuja viumbe waliofanana na Annunaki kwenye sayari ya dunia- Enki na Enlil, ambao walikuwa watoto wa Annunaki, katika kipindi hicho Anu alikuwa bado anaishi hadi millennia karibu na kuzaliwa kwa Jesus Christ.

Viumbe hao walikuwa na ujuzu mkubwa katika genetic manipulation, hivyo kwa kutumia ujuzi huu walifanya majaribio mengi (proto-human) ya kumtengeneza binadamu wa sasa(modern man) kwa kutimia teknolojia ya human cloning. Kivipi?, ntaelezea mbeleni.

Hebu turudi kwanza kwenye biblia na historia ya kuumbwa kwa mwanadamu. Historia ya Biblia ya uumbaji inatueleza kwamba, mwanaume na mwanamke hawakuumbwa kwa wakati mmoja, bali mwanamke alitolewa kwenye ubavu wa mwanaume (Adam), Adam akiwa mtu wa kwanza kuumbwa hapa duniani kutokana na maandiko ya Biblia, Kwahiyo Adam ndiyo mwanadamu wa kwanza kutokana na maandiko matakatifu ya Biblia takatifu. Je mwanamke alitolewaje kwenye ubavu wa mwanaume? (hapa imani ndiyo inatuongoza tuliache kwanza lilivyo).

THE CREATION OF MAN
Ushahidi wa kwanza kabisa, uliotafsiriwa na sumerians unaonyesha ya kwamba mtu (binadamu wa sasa) alitengenezwa/kuumbwa na Nefilim. Ushahidi huu umezua mkanganyiko kuhusu theory of evolution na Judeo-Christian tenets ambayo imeegemea kwenye Biblia, lakini ukweli ni kwamba ujumbe uliopatikana kutoka Sumerian texts, ndiyo unaoweza kudhibitisha hizo nadharia mbili.

Ukisoma kutoka epic of creation ya sumerians, imeelezwa kwamba uwepo wa mtu, ulitokana na uwepo wa Nefilim zama hizo, ambapo matukio mbali mbali yalirekodiwa, ,mfano tukio la Enlil na Ninlil, tukio lililotukia kabla hata ya uumbaji wa mtu, wakati ambao kwenye Nippur waliishi gods tu, vile vile maandishi haya yanaelezea kuumbwa kwa dunia na maendeleo ya mimea na maisha ya wanyama, hii inaweza kudhibitisha theories za mabadiliko (evolution) za sasa.

Sumerians texts zinaeleza kwamba, wakati ambapo Nefilim alikuja duniani kwa mara ya kwanza, sanaa ya kupanda mbegu za mazao, matunda na ufugaji wa wanyama ulikuwa bado haujaanza duniani. Vile vile Biblia inasema hivyo, kuhusu kuumba mtu kwa siku 6. Kitabu cha Genesis kimegusia hatua za kwanza za mabadiliko (earlier evolution stage):

No plant of the cleared field was yet on the earth,

No herb that is planted had yet been grown,

And Man was not yet there to work the soil.

Lakini vile vile Sumerians texts zote zinaeleza kwamba Miungu ilimtengeneza mtu ili afanye kazi yao. Creation of epic imelithibitisha hilo (Nukuu zote nitaziambatanisha zilivyo kwenye vitabu bila kuzitafsiri ili nisipindishe maana kwa msomaji):

I will produce a lowly primitive,

Man shall be his name.

I will create a primitive worker ,

He will be charged with the service of the gods,

that they might have their ease.

Neno mtu(man) limetokana na lugha ya Sumerians na Akkadians, ambalo lilitokana na maneno lulu (primitive ), lulu amelu (primitive worker), an awilum (laborer).

Turudi kwenye biblia, baada ya Mungu kumuumba mwanadamu, akampa bustani ya Eden aitunze na kuitawala dunia na vyote vilivyomo, lakini Adam na Eve wakamkosea Mungu kwa kula tunda la mti wa ufahamu. Mungu akasema tazama, mtu amekuwa mmoja wetu, kufahamu mema na maovu. Je huyo Mungu alikuwa anamwambia nani?, na Mungu anayezungumziwa hapa katika Sumerians ni Elohim (Annunaki).

Agano la kale limeweka wazi ya kwamba mtu hakuwa Mungu wala hakutoka mbinguni. Mtu wa kwanza aliitwa Adam kwa sababu aliumbwa kwa "adama" ambayo ina maana ya udongo wa dunia (mtu akifa tunasema ametoka mavumbini, amerudi mavumbini).

Adam aliumbwa katika picha na ufanano wa Muumba (Mungu), kuumbwa kwa ufanano huo, hakuachi wasiwasi wowote ya kwamba Mtu alifanana na Mungu kimwili, kimuonekano wa nje na ndani. Je mtu angewezaje kufanana na muumba wake? Mtu alitengenezwaje? (Majibu utayapata mbeleni).

Mnamo mwaka 1859 Charles Darwin alichapisha utafiti wake kuhusu evolution "On the Origin of Species by Means of Natural Selection, or the Preservation of Favoured Races in the Struggle for Life". Darwin kutokana na utafiti wake huo, alihitimisha kwa kusema kwamba, viumbe hai wote akiwemo mwanadamu ni matokeo ya mabadiliko(evolution by natural selection). Mwanzoni kanisa lilikuja juu kwa kumpinga lakini badae kadri wanasayansi na watafiti walivyozidi kutoa machapisho yao, kanisa likakubaliana.

Lakini je tumetokana na apes, kama ni hivyo mbona wa sasa hawabadiliki. Evolution kwa ujumla inaweza kuelezea matukio yaliyosababisha mabadiliko ya maisha na aina mbali mbali za maisha zilizokuwepo duniani, kuanzia kwenye kuumbwa kwa mtu, lakini evolution haiwezi kuelezea kuhusu uwepo wa binadamu wa sasa (modern man/Homo sapiens) na haina udhibitisho wowote wa kuonyesha jinsi mabadiliko ya ghafla kutoka Homo erectus kwenda Homo sapiens yalivyotokea.

Hominid ya genus Homo ni matokea ya evolution, lakini Homo sapiens ni matokea ya tukio la mabadiliko na mapinduzi ya haraka sana. Homo sapiens(binadamu wa sasa), ilitokea miaka 300,000 iliyopita, muda ambao ni wa karibu sana.

Watafiti na wanasayansi hawana maelezo ya nini kilitokea, kupelekea mabadiliko ya ghafla hivyo na kutokea kwa binadamu wa sasa, lakini jumbe kutoka sumerians na Babylonian zimeelezea. Agano la kale pia limeelezea.

Homo sapiens-modern man-aliletwa na miungu wa kale (ancient gods).

Aliletwa kivipi? na wapi?. Endelea kufuatilia hapa hapa.

N.B. Andiko hili linaweza lisiishe karibuni kwa sababu nataka niweke kila aina ya ushahidi ili kudhibitisha ukweli huu.

View attachment 2099862
Mwendawazimu
 
Ndugu zang mim niko flexible ktk haya maisha na Napenda Kujfunza kila jambo la maana...... Ktk mjadala huu nimejtahd kuptia comments karb zote.... Nataman sana kujua kuhusu hv vitabu viwil Quran na Biblia kwamba ni stori za kutungwa tu kwa maslahi ya wapanga mipango wa dunia au kuna ukweli kias gan ndan yake...? Mana ukifuatiwa referance nyngine Hufanya Kwa vitabu hv.,.... Nakarbsha kwa mwnye Uelewa na ushahidi pia ingekuwa poa zaid...
Baadhi zinaweza kuwa kweli, na baadhi inaweza kuwa zilipindishwa kwa maslahi ya watu wachache wenye malengo yao juu ya ulimwengu huu.
 
Mimi hata sijajiona kuwa ndio nina akili kuliko wengine, huyo babu yangu mzaa babu yangu aliandika kuhusu huyo mungu aliyekuwa anamsikia wakati wake huo? Ndio maana mie nimekuwa nauliza hili neno Mungu lina maana gani hasa na huku kuabudu kulianzaje anzaje?
Sehemu ya 12, neno Mungu limetolewa maana na linatokana na lugha ya sumer.
 
Sio mie ninayesema kuwa hizo ni siri bali hawa wanaozileta humu ndio wanasema hizo ni siri ambazo hasa waafrika tumekuwa tunafichwa, kwamba waafrika ndio tumeletewa hizi dini zilizojazwa uongo kwa faida ya wazungu na ila ukweli wa mambo umefichwa na ndio hayo kama mambo ya Anunnaki.
Nani kasema tumeletewa waafrika tu, europe & America ni Afrika?, waafrika wanatumika kama mfano tu na hii ni kwa sababu ya kimazingira, hatuwezi kwenda huko mbali bila kuanzia hapa kwetu.
 
Binadamu wengine hawakutokana na annunaki!! Bali Mungu!! Biblia inawataja hawa km wana wa annaki, au anakim!! amabao yalikuwa majitu manene yenye vidole saba!! mpaka leo mabaki yao mapangoni yapo dhahiri!

moja ni ule unyayo mkubwaaaa wa Africa kusini uko kwenye jiwe!! na hawa annunaki walikuwa ni majitu makubwa sana, kila ukoo kila familia kabila na Lugha wana hadithi ya majitu makubwa ya kale kiswahili yana itw amazimwi, kijita yana itwa wesumwa amakaka!! kikurya yanaitwa wenani nk.. hata wewe mleta mada kwenye kabila lenu yamo yenye haditi za ivo!
 
Musa alipotuma wapelelezi wa kwanza kwenda kujua hali ya nchi yao ya ahadi hao wapepelezi walikuja na habri mbaya za kuwatisha wana wa israel kuwa wamekuta majitu manene marefuuuu!! wao ni km panzi tu kwao!!

Kitendo hiki cha uoga , vitisho kilimkasirisha Mungu!! akawaambia hamtaingia nchi ya ahadi! hata Musa kwa sababu aliwasikiiza hakuingia nchi ya aahadi, Musa akamlilia Mungu, Mungu akasema basi nitakuonyesha tu lkn hufiki!

na kweli MUsa hakuingia nchi ile!! alifia mlimani!! .....majitu hayo kisyansi yanaitwa Neandethals, na mpaka leo yapo masalia yao (wazungu) ndo pekee enye DNA za Neandethals amabao ndo ANNUNAKI yaani Nefilims kibiblia!

na wazungu walizuka ghafla kutokea CAuccas mountain takribani mika 600 iliyo pita wamegaini prominence ya kutawala Dunia! hawakuwepo mwanzo! na kibiblia walitabiriwa na James isome yoote hiyo!

alisema namnukuu'' watu wenye nguvu na watawala wa Dunia watatokea upande wa kaskazini!! '' kumbuka huyu aliongea haya akiwa middle east ya leo! ndo hao giant of the old!
 
Nani kasema tumeletewa waafrika tu, europe & America ni Afrika?, waafrika wanatumika kama mfano tu na hii ni kwa sababu ya kimazingira, hatuwezi kwenda huko mbali bila kuanzia hapa kwetu.
Mkuu wenyewe wanasema kabisa kwamba wazungu wameleta hizi dini ili kututawala waafrika kifikra.

Huko unapopataja wanasema walishaachana na mambo ya dini na kwamba waafrika tumeshikilia hizi dini ndio maana tupo nyuma kimaendeleo.
 
wana historia mpaka leo wanapo fanya utafiti wao bado wanapata mifupa yao! na mafuvu makubwa sana km mkokoteni na hasa hasa wengi wanakutwa Mabondeni! kwenye makorongo! kama kule Oldi vai gorge!!

mabonde ya nchin, Germny, na spain hasa Giblatar valley...walikutwa kule wengi tu! mpka leo! sasa kwa nini yakutwe mabondeni ??? inasemekana wengi walikufa kwa maji miili yao ikasombwa kuelekea mabondeni most probably Gharika ya Nuhu iliwapukutisha ki ivo!
 
wana historia mpaka leo wanapo fanya utafiti wao bado wanapata mifupa yao! na mafuvu makubwa sana km mkokoteni na hasa hasa wengi wanakutwa Mabondeni! kwenye makorongo! kama kule Oldi vai gorge!!

mabonde ya nchin, Germny, na spain hasa Giblatar valley...walikutwa kule wengi tu! mpka leo! sasa kwa nini yakutwe mabondeni ??? inasemekana wengi walikufa kwa maji miili yao ikasombwa kuelekea mabondeni most probably Gharika ya Nuhu iliwapukutisha ki ivo!
Sasa hapo mpaka mtu aamini kuhusu hiyo gharika ya Nuhu.
 
Mwanadamu pekee aliyeumbwa na Mungu ni MWEUSI tu!! sasa jiulize ilikuwaje mijitu mikubwa minene yenye afya ikafa vinyonge vidogooo vyeusi vikabaki??? mpka leo wannyonge wasiokuwa na tech. ya maana hawafi na covid!

pamoja na ukimwi, Ebora, syphilis, na magonjwa mabaya yooote mabaya wanayoletewa weusi !! lkn bado weusi haohao wanazaliana kwa kasi ya ajabu ni wa pili kwa idadi Duniani!

Annunaki wapo mpaka leo na walikuwepo!! watakuwepo! hayo makanisa yoooote, Dini zote Ni mipango ya annunaki! ndo wafadhili wakubwa!!! kuna watu mpaka leo si binadamu wa kawaida ni annunaki! na wanakutana kufanya yao!

Sadadamu hussein aliwataka kuunganika nao!! ndo maana walimuua...na hawa mKuu wa annunaki wana sehemu zao za kutua na kukutaniana Mfano NI Mlima Moriah nchini Israel! area 54 kwa uchache na hizi maneo zinalindwa ni hatare hugusi wala kutisha pale !! kuna askari maalum wanaitwa CAMODUDE! Ukitaka kupotea mazima katiza hapa!

siraha zooote hizi za maangamzi zinatoka kwa annunaki
 
Ndugu zang mim niko flexible ktk haya maisha na Napenda Kujfunza kila jambo la maana...... Ktk mjadala huu nimejtahd kuptia comments karb zote.... Nataman sana kujua kuhusu hv vitabu viwil Quran na Biblia kwamba ni stori za kutungwa tu kwa maslahi ya wapanga mipango wa dunia au kuna ukweli kias gan ndan yake...? Mana ukifuatiwa referance nyngine Hufanya Kwa vitabu hv.,.... Nakarbsha kwa mwnye Uelewa na ushahidi pia ingekuwa poa zaid...
Kitabu kinachotumika sana hapa ni kimoja tu kati ya hivyo viwili.
 
Mwafrika mweusi ndo yuko na rangi km udongo... wala siyo mzungu sema mwenyewe wapi kuna udongo mweupe?, muhindi mchina wala muarabu never!! na ukizaa na hawa tu hawawi weusi bali weupe machotara!!.........hivi umewahi kujiuliza kwa nini mwafrica hapendwi anachukiwa na watu weupe Duniani??

tena kwanza hana madhara mtu wa watu ni mtumwa tu maskini! lkn anachukiwa mnooo! na ngozi nyeupe!!...Mungu alitamka wazi kuwa Nitaweka uadui kati ya uzao wako Hawa na Uzao wa nyoka!!

chunguza ngozi nyeupe tu!! haya majamaa meupe uzao wa annunaki hayatupendi weeeee!!...pamoja na kujitahidii kutuma misaada huku saaaana lkn wapi!....sasa jichanganye uoe au uolewe huko!! heee!

ni vizuri umuulize Remmy ongala sijui kama bado yupo ukweni kwake alivo fanyiwa!

popote pale huwezi kukaa kwa amani na ngozi nyeupe!! hata hapo Bongo tu wahindi, waarabu wako kivyao sana! wao ni karikaoo, Upanga, Posta tu baaasi!! na huko wana hotel zao, chips zao ,Hosp.zao km al jumaa, mitaa yao, makanisa yao, kipawa, vingunguti, changombe nk kule wanaishi viwandani mwao wako huko kibiashara zaidi,

siyo rahisi kumkuta mweupe muhindi, muarabu, amejichanganya uswahilini, hii ni kwa sababu Mungu alitamkakupitia Nabii Daniel kuwa namnukuu ''kamwe udongo na chuma havita shikamana daima!'' ndo sisi na hao!

hata ukizaa na muarabu, au mzungu atakwenda kwa ngozi nyeupe tu!! ni km wapemba weupe yaani hao ndo hawataki kusikia muungano! kabisaaa! japo mama zao ni wadengereko!
 
Back
Top Bottom