Ila wewe unayeamini mungu ndio unajiona una akili, probably unayemwamini yule mungu mliyefundishwa na wakoloni ambaye babu yako mzaa babu yako hakuwahi kumsikia🤣Mkuu mbona hii mijadala mi nishaizoea niko nayo kwa muda mrefu tu humu JF, hivyo nawaelewa vizuri sana hawa watu wasioamini dini au Mungu ni kwamba wana ile hali ya kujiona kwamba wana akili sana na wana mawazo huru kisa tu hawaamini Mungu au dini hilo tu linawafanya wajihisi hivyo na kwa kuona ni jambo kubwa sana wametumia akili.
Ila usiwaze mkuu mimi sijakwazika.