Mkuu watakuchanganya tu hao, wao chochote tu wanachoamini ni siri wao wanabeba tu we tizama hata huu uzi ulivyojazwa mikorokoro mvurugano ilimradi tu kila chenye kukiamini ni siri basi kinawekwa.
Ninaamini kuwepo hayo mafuvu mkuu.Na nikuulize kidogo, ukiachana na nyayo vipi kuhusu mabaki mengine kama mifupa, mafuvu, skeletons n.k unaamini kwamba yana athiriwa na evirommental factors unazozisema au uamini pia?
Mkuu swali langu la msingi ni kuwa vipi jiwe likikanyangwa na unyayo ilibonyee litengeneze alama ya unyayo ?Kwanza jua yalikuwa mazito halafu marefuuu! sisi tulikuwa kma Panzi kwa.(rejea kitabu cha mambo ya nyakati) sasa linganisha panzi aone unyayo wako mmoja kariakoo....huo unyayo mwingine atauonea mbali sana,
mfano Kariakoo na ubungo!! sasa km kariakoo umekanyaga kwenye jiwe na ubungo umekanyaga kwenye vumbi ...ni unyayo wa kwenye jiwe tukariakoo utaonekana! Olduvai gorge drsa la tatu historia uliisoma kweli mkuu??!
sasa unganisha na kulinganisha hiyo historia na nyao km hizo!....utakuta kwamba kwingine walipata nyayo na kwingine walipata mifupa, mafuvu, na kwingine zana za vita, zana za kukamatia wanyama wakali nk!
Mkuu sijaona ushahiidi pahala popote unaooonesha kwamba maandiko ya dini yamepindishwa.Maandiko yalipindishwa na wao waleta hizo dini
Mkuu mimi naendelea kuuliza.ndiyo maana leo hii unashangaa na kuuliza maswali mengi unapo ambiwa umetengenezwa na Annunaki. Kwenye vitabu vya dini wameandika
Kuwepo kwa hao giants katika vitabu vya dini bado haioneshi kwamba hao annunaki ndio wamemuumba mtu.Kwenye vitabu vya dini wameandika uwepo wa giants ambao ni hao Annunaki
Kuna ushahidi gani unaoonesha kwamba sisi tumeumbwa na anunaki zaidi ya ushahidi wa maandiko ?Kwa mkutadha huo utaacheje kuyaamini yale yaliyoainishwa kutoka sumerian, ambako ndiko chimbuko la hayo maandiko ya dini unayoyaamini wewe?
Asante Mkuu,Kama walitoka sayari nyingine na kufika hapa duniani, nakmtengeneza binadamu wa sasa kwa vinasaba vyao na udongo, jibu ni kwamba watakuwa wanazaliana kama sisi.
km ivi ''ya kaisari mpe kaisari na yale ya Mungu mpe MUNGU Hiyo moja! ......piliKivipi dini iliwasaidia wao kutawala watu ?
Kwamba Mwafrika alilaaniwa baada ya kumchungulia Nuhu alipokuwa amelewa divai baada ya kutoka kwenye safina, akalaaniwa akawa mweusi kama mpingo, na atakuwa chini , na ndugu zake wazungu/waarabu, watamtawala kwa sababu wao wali barikiwa,km ivi ''ya kaisari mpe kaisari na yale ya Mungu mpe MUNGU Hiyo moja! ......pili
mtu akikupiga shavu moja mgeuzie na la pili!!
Yesu ni mzungu!! kwa hiyo na Baba yake ni Mzungu!! km alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zako za kukataa kutawaliwa na Yesu mzungu anakuona popote ulipo!! siku ya mwisho atakuchoma moto uungue na kujuta!
muombe chochote yesu mzungu atakupa!
Kwamba Mwafrika alilaaniwa baada ya kumchungulia Nuhu alipokuwa amelewa divai baada ya kutoka kwenye safina, akalaaniwa akawa mweusi kama mpingo, na atakuwa chini , na ndugu zake wazungu/waarabu, watamtawala kwa sababu wao wali barikiwa,Kivipi dini iliwasaidia wao kutawala watu ?
Mambo kama haya na mengine mengi, imefikia wakati sisi Wa Afrika tuanze kutafakari upya kuhusu hizi Dini zetu, nadhani wengi wenu mmeshawahi kukutana na hii post.Kivipi dini iliwasaidia wao kutawala watu ?
na mzungu hakutaka mweusi asome Biblia kabisaaaaaaaaa!! ukikutwa utayamba kifukuto!!! hata mtumwa kujua kusoma Tu marufuku! lkn walipenyaaa mpaka wakajua! meengi kuwahusu!! hasa kwa nini wako utumwani!!!Kwamba Mwafrika alilaaniwa baada ya kumchungulia Nuhu alipokuwa amelewa divai baada ya kutoka kwenye safina, akalaaniwa akawa mweusi kama mpingo, na atakuwa chini , na ndugu zake wazungu/waarabu, watamtawala kwa sababu wao wali barikiwa,
Tuendelee kutafuta maarifa, sasa hivi Wa Afrika wengi wameanza kujitambua, Tusifungwe na hizi Dini zilizokuja kwa kuwafanyia Unyama mababu zetu, na bado zinaendelea kutugawa kimakundi makundi tusiwe na umoja.na mzungu hakutaka mweusi asome Biblia kabisaaaaaaaaa!! ukikutwa utayamba kifukuto!!! hata mtumwa kujua kusoma Tu marufuku! lkn walipenyaaa mpaka wakajua! meengi kuwahusu!! hasa kwa nini wako utumwani!!!
ilipotokea wakajua tu!! kibao kika badilika sasa wakalazimishwa kusali na Wazungu pamoja!! walikaa mabenchi ya nyuma! lkn weusi wakiwa peke yao mashamabani walifundishana ukombozi wa fikra....na kujua kuwa wao Black americans, na wafrica woote! ndo wayahudi original! wana wa Mungu yaani father Abraham offspring! kuwa utumwani ni kwa sbabu walihasi sheria ya Mungu!
wazungu kuona kuwa hawa sasa wameanza kujitambua ..... wakaanzisha Uzayonism movement ulaya na USA haraka sana.....na kujifanya KM wazungu wenzao wa Ulaya hasa Wajermani ndo watesi wao,
na wajermani walifanywa mbuzi wa kafara tu mauaji ya HOLOCOUST ni changa la macho lile kuhadaa ulimwengu wazungu waarabu lao moja wanapendana bana wee!! hawawezi kuuana ivo! Ahmad Nijad alijua kitambo sana mtafute hata humu yumo!
kwa maana kuwa wao wao ni uyahudi ya leo wanapaswa kurudi nchi yao hiyo ya ahadi, wakaenda kuomba hiyo ridhaa Huko UNO chini ya mwamvuri wa USA, na tena eti wanafaa Dunia kuwaonea huruma.
eti Dunia inawachukia, Sababu wao wamebarikiwa na Mungu, mpaka leo wanajifanya ivo matajiri wale waliouza watumwa km mbuzi wa kafar na Meli walizo tumia kuuza watumwa zinajulikana ni zao!! kuuumbe changa la macho tu!
Sumerian walitumia neno DIN GIR, likiwa na maana ya Mungu/Allah wao yaani Anu the righteous one of the sky chamber, Anu the father of Enki & Enlil yaani Miungu/miungu.Kwanini tuseme ni miungu na si Miungu/Mungu?
Mtu wa sasa ni Homo sapiens ametokana na Annunaki, ukinzani uliopo ni kati ya nadharia ya dini juu ya uumbwaji wa mtu na Annunaki Genesis, na kwa sababu ni nadharia mbili zinazokinzana lakini huku moja ya Annunaki ikiitumia ya dini kama moja wapo ya reference, basi ukinzani huu utaendelea kuwepo mpaka pale nadharia zote zitakapokubaliana. Hivyo ni wewe kuchanganua mambo na kushika lipi kutokana na uelewa wako.mkuu sehemu ya mwisho bado haijatoa mwanga. Baada ya binadamu kuumbwa kama kitendea kazi cha kina Annunaki, mtu wa leo ni nani? Kwa nini pawe na ukinzani kati ya mtu huyu na Annunsk hadi binadamu atake kuhamia sayari nyingine kupisha Annunak?
Wao ndio walimuumba binadadamu(kwa mujibu wa mada)kwa sababu haijulikani kama watarejea kwa uzuri au kwa ubaya.
Mkuu hili neno lina maana gani ?Anu the righteous one of the sky chamber
Kama unaziamini stori za dini, kwa nini hizi usiziamini?Ninaamini kuwepo hayo mafuvu mkuu.
Ila ninachohoji kuhusu mafuvu ni kuwa je kama hayo mafuvu ni ya watu wa kale majitu makubwa ?
Kwa sababu zipo historia za dini zinasema kuwa hao watu wa zamani walikuwa ni watu majitu makubwa ila ni watu kama sisi.
Sasa je pengine watu hawa majitu ndie mnaowaita nyie giant je haiwezekani ?
Why isifikiriwe kwamba hiso mafuvu ni za wtu wa kawaida wa zamani ila tu walikuwa na miili mikubwa mno ?
Badala yake zinaanza nadharia za giant na anunaki ?
Ok. Ndugu tunaposoma reference tofauti tofauti lengo ni kuongeza maarifa, uelewa na pengine kuujua ukweli. Maandiko hayo hayo watu ndiyo wameyafanyia utafiti na kuyathibitisha. Ni wapi umewahi kusikia wamekuta mabaki au fuvu la Mungu kama muumba mbigu na nchi?, ila mabaki ya Annunaki yameendelea kupatikani si duniani tu bali hata kwenye sayari nyingine, kwahiyo hii inathibitisha huu ushahidi wa maandishi.Mkuu sijaona ushahiidi pahala popote unaooonesha kwamba maandiko ya dini yamepindishwa.
Nilichoona ni maelezo tu ambayo watu wameandika,na kila mtu anaweza kuweka maelezo yake ayatakayo akatafuta hoja mbili tatu akaweka.
Mfano hivi leo mtu akisema alimfuata magufuli akaongea nae kuhusu chanjo magufuli akasema kwamba chanjo ni nzuri ila anataka watanzania wasipate chanjo wapungue kwa kufa,
mtu akiandika hivyo Kuhusu magufuli bado sio ushahidi hayo ni madai tu na maelezo ya kawaida.
Mkuu mimi naendelea kuuliza.
Kwani bila hayo maandiko uliyoyasoma unadhani ungejua vipi kwamba sisi tumeumbwa na annunaki?
Unadhani hayo mafuvu pekee,na hizo nyayo zingetosha kuonesha kwwmba sisi tumeumbwa na annunaki bila ya msaada wa maandiko ?
Kuwepo kwa hao giants katika vitabu vya dini bado haioneshi kwamba hao annunaki ndio wamemuumba mtu.
Kwa sababu mpaka leo kuna majitu ambayo yakizikwa hapo baadae watu watashangaa wakiona mifupa yake.
Mfano yule jamaa anayeitwaRobert Wadlow ambae alikuwa na zaidi ya 272.cm,yaani mimi naweza kufika mapajani au karibu na kiuno chake tu,huyu mtu wa miaka kadhaa hapo nyuma,je tukirejea malaki ya miaka huko why isiwe kwamba watu wa zama hizo ndio walikuwa majitu ya kawaida tu kwa zaman hizo.
SAsa uwepo wa hayo mafuvu na mabaki bado haijawa uthibitisho wa kwamba sisi tumeumb2a na anunaki kwa sababu wapo pia watu wa kawaida kama sisi wenye mamiili makubwa sana.
Kuna ushahidi gani unaoonesha kwamba sisi tumeumbwa na anunaki zaidi ya ushahidi wa maandiko ?
Sawa mkuu. Kwanza nikufahamishe kwamba kama kitu hujakitafiti wewe au kukiona wewe hata kama unakiamini usijiaminishe kwa 100% kina ukweli, kwahiyo ndiyo maana watu wanazidi kuhoji juu ya dini na hizi habari za Annunaki, habari hizi hizi zinaweza kuwa za kweli au siyo za kweli kulingana na perception ya mtu na mtu kwa sababu zinapatikana kwa reference.Asante Mkuu,
"Watakua wanazaliana kama sisi". Unafikiri hili jibu lako ni la uhakika au ni la kufikirika? neno watakua ni (Thinking without assurance)
Anyway. Umesema kwamba hao Annunaki ni viumbe kama viumbe(Binadamu). Kwa maana hiyo hao ni viumbe ambao wapo physically in shape yaan unaweza kuwaona kwa macho na kuwagusa. Sasa nakuuliza je kiumbe ambae yupo physically in shape anaweza kujiunda mwenyewe?