Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Tungekuwa hatuamini vingine kama unavyodai tusingekuwa hivi tulivyo, bali tofauti yetu na sisi ni kuwa sisi tuna misingi madhubuti ya kuutafuta ukweli na kuhoji kwa usahihi.

Kuna swali nilikuuliza unahakikisha vipi kama Annunaki wamemuumba mwanadamu na mtu wa kwanza kuleta habari za Annunaki ni nani ? Sasa hili swali lilitakiwa lijibiwe na mada yako ya kwanza kabisa lakini hakuna popote ulipo jibu swali hili wala hakuna mada inayo jibu swali hili.
Umesoma kweli wewe? Au umejiandaa kubishana.
 
Ni kweli binadamu ni kiumbe local sana & less intelligence ukiliganisha na viumbe wengine kama aliens, annunaki n.k wenye akili na maarifa makubwa ukilinganisha na binadamu, kwahiyo nadharia ya kwamba Mungu ameumba mwanadamu pekee kama kiumbe mwenye akili na maarifa hapa duniani, haina mantiki.
Sio haina mantiki. Ni ya uwongo. Alie tuumba sisi ndo kiongoz wetu. Ivi hnajua zaid ya 70% ya genes mwilim mwako ni uncoded??
 
Umesoma kweli wewe? Au umejiandaa kubishana.
Kingine nilicho ona ni kuwa hata maswali yangu huenda hujayaelewa.

Nimekuuliza ni nani wa kwanza kuelezea habari za Annunaki ? Unaniuliza kwamba nimesoma kweli ? Ukianza na sehemu ya kwanza haijibu swali hili, unanukuu tu habari ambayo haionyeshi asili ya habari ni wapi zaidi ya kusema "Walitokea sayari nyingine..." mara "Mtafiti fulani amesema kadha ...".

Katika elimu ya uhakiki wa habari habari yako haipati mashiko sababu haina chain na haijulikani hao wametoa wapi hizo habari. Maana yake hitimisho ya habari hizi ni katika kundi la "Visasili".
 
Ndugu yngu kwanza nikuambie kwamba una mnunguniko na huu uzi na sijuhi kwa nini, Pili naomba utuonyesha huo uandishi wako mzuri hapa na wewe, tatu una umimi mwingi sana kwamba wewe unachokiamini ndiyo sahihi na unapenda ujibiwe vile unataka, mwisho ni kweli mimi uhandishi wangu kulingana na wewe unaweza kuwa mbovu, ila nazani content ambayo ndiyo ya msingi imeeleweka na nimalizie kwa kusema samahani sana kwa uhandishi wangu mbovu na huu ndiyo mwisho wa mimi na wewe kufanya argument, watakuja wale wenye majibu unayoyataka/kuyaamini na uhandishi mzuri uendelee nao, mimi kwa uhandishi wangu huu mbovu nimejitoa.
Mkuu inaonesha ni mtu mwenye hasira sana ila ulikuwa unajizuia tu, toka vile ulivyonijibu kuwa huna muda wa kufanya summary nikaachana na wewe sikuhitaji tena majadiliano na wewe. Uandishi wako ni mtihani mwenyewe umekubali ila pia hata kujibu maswali nako shida.

Kila la kheri.
 
Kweli hz NI AKILI bandia Old testament kitabu gani kilionyesha haya uliyoyasema ... Tutadanganywa mpaka lini.

"Historia NI vifurushi vya uongo vinavyo elezewa na watu wasiokuwepo na Mambo ambayo hayakutokea "👀
 
Sawa mkuu. Kwanza nikufahamishe kwamba kama kitu hujakitafiti wewe au kukiona wewe hata kama unakiamini usijiaminishe kwa 100% kina ukweli, kwahiyo ndiyo maana watu wanazidi kuhoji juu ya dini na hizi habari za Annunaki, habari hizi hizi zinaweza kuwa za kweli au siyo za kweli kulingana na perception ya mtu na mtu kwa sababu zinapatikana kwa reference.

Pengine nikuulize wewe ulitaka nitumie maneno yapi?

Hakuna mahali popote niliposema Annunaki wamejiumba. Na ikiwa hivi najua utauliza waliumbwa na nani, jibu ni rahisi ndiyo maana tunasema kuna grand architect wa hii universe.
Sawa Mkuu, najua hayo maelezo unayosema lakini naomba unijibu swali nililouliza kwamba kuna kiumbe ambae yupo physically in shape ambae anaweza kujiunda/kujiumba mwenyewe?
 
Kingine nilicho ona ni kuwa hata maswali yangu huenda hujayaelewa.

Nimekuuliza ni nani wa kwanza kuelezea habari za Annunaki ? Unaniuliza kwamba nimesoma kweli ? Ukianza na sehemu ya kwanza haijibu swali hili, unanukuu tu habari ambayo haionyeshi asili ya habari ni wapi zaidi ya kusema "Walitokea sayari nyingine..." mara "Mtafiti fulani amesema kadha ...".

Katika elimu ya uhakiki wa habari habari yako haipati mashiko sababu haina chain na haijulikani hao wametoa wapi hizo habari. Maana yake hitimisho ya habari hizi ni katika kundi la "Visasili".
Narudia tena hujasoma na kuelewa na hii yote ni kwa sababu unaamini katika dini tu. Hayo maswali yako yote yamejibiwa tena vizuri, ila kama una jibu lako unalolikusudia ni wazi kwamba labda hujalipata, utuambie hapa tujue.
 
Kuna kitu kinachoweza kujitengeneza chenyewe ?

Ndiyo maana tunawauliza hao Annunaki wameumbwa na nani ?
Unaniuliza mimi muuliza swali au nani?. Pili unaamini kwamba hakuna kinachoweza kujitengeneza, hapo hapo una amini Mungu alijitengeneza. Mna shida sana watu wa dini kwakweli.
 
Mkuu inaonesha ni mtu mwenye hasira sana ila ulikuwa unajizuia tu, toka vile ulivyonijibu kuwa huna muda wa kufanya summary nikaachana na wewe sikuhitaji tena majadiliano na wewe. Uandishi wako ni mtihani mwenyewe umekubali ila pia hata kujibu maswali nako shida.

Kila la kheri.
Asante sana nikutakie kila la heri nguli wa uhandishi na kutafsiri duniani.
 
Back
Top Bottom