DHANA YA UTOFAUTI WA MAKUNDI TOFAUTI YA DAMU (BLOOD GROUP)
Kuna njia ya Zaidi ya 33 ya kuyagawa makundi ya damu, lakini njia ya kutumia ABO na Rhesus ndio zinazotumika ivi sasa.
Kugawanya haya makundi ya damu hufanyika kwa kuangalia uwepo wa antijeni katika seri nyekundu za damu(RBCs)
Kupata kundi la damu tunaangalia uwepo au kutokuwepo kwa antijeni A au B, kwenye uso wa chembe chembe nyekundu za damu.
Katika makundi ya damu, group O ndio kundi lipo kwa wingi miongoni mwa wanadamu, na kundi la damu la AB ndio kundi lipo kwa watu wachache.
Njia ya kuyagawa makundi ya damu kwa kutumia rhesus system, tuna angalia uwepo/kutokuwepo kwa antijeni D, katika uso wa seli nyekundu za damu.
Kama mtu anazo antijeni D katika uso wa seli nyekundu za damu atakuwa na Rh-postive, na kama hana antijeni D, atakuwa na Rhesus negative.
Ina kadiliwa 85% ya wana damu wana rhesus positive katika makundi yao ya damu.
Inadhaniwa kwamba kundi la watu wenye Rh negative walianza kuonekana miaka 25,000-35,000 iliyo pita uko Bara la Ulaya.
Baadae watu wenye Rh- negative group walisambaa nchi jirani na Duniani kote.
Kuna kitu cha ajabu kuhusu watu wenye makundi ya damu yenye Rh-negative,
Mama mwenye kundi la damu lenye Rh-negative, akibeba mtoto mwenye Rh-positive(Kutoka kwa Baba), antibodies za mama zinazishambulia seli nyekundu za mtoto aliyeko tumboni, na kusababisha ugonjwa unao itwa kitaalamu hydrops fetalis (mwili wa mtoto kujaa maji akiwa tumboni/EDEMA) na inaweza kusababisha kifo kwa mtoto kama asipowekwa kwenye uangalizi maalum wa kitabibu.
Hii hari ya damu ya mama kuikataa damu ya mtoto/Rhesus incompatibility ipo kwa wanadamu pekee, kwa wanyama hakuna.
Katika dhana hii, mwili wa mama unakataa mtoto aliyeko tumboni kwa sababu ni species/viumbe tofauti.
Kama wote wana wanadamu tumotokana na Adam na Hawa, kwanini tuwe na utofauti mkubwa katika makundi ya damu?
Kwanini mama mwenye kundi la Damu lenye Rh negative akibeba mimba ya kwanza mtoto akawa na kundi damu lenye Rh positive, mama anatengeneza antibodies/Kinga dhidi ya mimba zinazofuata, endapo mimba zinazofuata mtoto akiwa na Rh positive na damu zao zikaingiliana pindi mtoto akiwa tumboni mtoto anadhurika?
KUTOKANA NA MAELEZO HAYO APO JUU NI DHAHIRI KUWA WANADAMU/WATU WANA ASILI TOFAUTI.