Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Sawa Mkuu, najua hayo maelezo unayosema lakini naomba unijibu swali nililouliza kwamba kuna kiumbe ambae yupo physically in shape ambae anaweza kujiunda/kujiumba mwenyewe?
Nakujibu kwa ufupi sana kwamba hayupo, ila watu wa dini wanaamini yupo ambaye ni Mungu.
 
Mkuu inaonesha ni mtu mwenye hasira sana ila ulikuwa unajizuia tu, toka vile ulivyonijibu kuwa huna muda wa kufanya summary nikaachana na wewe sikuhitaji tena majadiliano na wewe. Uandishi wako ni mtihani mwenyewe umekubali ila pia hata kujibu maswali nako shida.

Kila la kheri.
Pia na mimi niseme kwamba sihitaji tena majadiliano na wewe juu ya mada hii. Jambo lingine ni kwamba hili ni jukwaa huru kwahiyo lazima mitizamo itofautiane, hivyo usipende kulazimisha ujibiwe kile unachokiamini tu.
 
Eh! Bado unaendelea tu si tushaagana? Inaonekana umenipania sasa, mkuu yaishe nishaelewa we mtu wa aina gani ndio maana nimekuacha.

Yaishe mkuu nisamehe bure.
 
Dah kumbe mada ishafika huku
Kwanza mnaompiga mleta mada wote hakuna aliyeleta hoja, zaidi ya kuuliz vimaswali uchwara tu
Baada ya kusoma koments nimegundua watu kama@Kisai,@Saad30,Tz mbongo,safuher ni watu ambao wana tohara ya dini, yaani brainwashed with nomidio paraoxia brain thinking, wat ambao wanauliz rhetorical qns wakitegemea mleta mada hawajib wanavyotak badala ya kumping kwa hoja.

Watu kam haw ni wale wenye low capacity thinking index, yaani mtu anasema hajaona kitu fulan kilipondikw, mweny mada amesema mwanzon kabisa haya yametok babylonian, akkadian n.k, ila bado mtu anauliza

Wanaamini Mungu alijiumba, nje ya hapo hawatak kuamin kna kiumbe mwingne akiyejiumba, what a shame for them?

Tz mbongo anaanz kuruka na mambo ya uhandish, come on jibu hoja, bado mtu anaamini ushahidi wa mandiko ya vitabu vya dini ila huu wa maandishi ya sumer, mesopotamia n.k hataki, sasa mtu kama huyu si paradox kabisa.

Katika hii mada huyu amegusia physical n spritual aspects, nyinyi watu wa dini mumekomalia spritual je hamuoni kama jamaa kawashinda?

Theologians waliosoma dini na kuyaelewa maandiko wapo wengi humu, ila wamepiga kimya kwa sababu wanaona kuna logic hapa jamaa kaleta, lakn cha kushangaza vinabo wachache walioishia kusoma katikisimu tu, wamekazana na maswali uchwara yasiyo na hoja bal kuleta mabishano tu.

Nyinyi watu wa dini ili mumshinde jamaa jibuni kwa vifungu vya maneeno n physical aspects kama yeye alivyofanya, mambo ya kumuattack bila hoja za maana itaonekana mmeshndwa kumjibu jamaa.
 
Nakujibu kwa ufupi sana kwamba ni Sumerians.
Hii inaonekana ni jamii, kwayo inahitaji maelezo ya kina baadae,swali langu bado hujalijibu. Swali lina taka uanishe ni nani wa kwanza kuelezea habari za Annunaki. Hapo ni sawa na useme Watanzania ni wa kwanza kuelezea jambo fulani, jibu si sahihi sababu haiwezekani kwa wote kuelezea jambo fulani pasi na wa kwanza, kwahiyo swali langu linataka uanishe ni nani wa kwanza kuelezea habari hizo.

Kisha tutarudi kuwajadili hao Sumerians.
 
Narudia tena hujasoma na kuelewa na hii yote ni kwa sababu unaamini katika dini tu. Hayo maswali yako yote yamejibiwa tena vizuri, ila kama una jibu lako unalolikusudia ni wazi kwamba labda hujalipata, utuambie hapa tujue.
Kijana usiwe mbishi kwanza inaonekana maswali yangu huyaelewi. Wewe nimekuuliza ni nani wa kwanza kuelezea hizo habari za Annunaki unajibu "Sumerians" kwa ujibu huu ni haki yako useme mada zako zinajibu maswali yangu.
 
Dah kumbe mada ishafika huku
Kwanza mnaompiga mleta mada wote hakuna aliyeleta hoja, zaidi ya kuuliz vimaswali uchwara tu
Baada ya kusoma koments nimegundua watu kama@Kisai,@Saad30,@Tz mbongo,@safuher ni watu ambao wana tohara ya dini, yaani brainwashed with nomidio paraoxia brain thinking, wat ambao wanauliz rhetorical qns wakitegemea mleta mada hawajib wanavyotak badala ya kumping kwa hoja.
Nimecheka sana, mnaposhindwa kujibu maswali mnaanza kurauka. Shida yenu hamna elimu ya uhakiki wa habari.

Alichokiandika mtoa mada kinaingia katika visa vya kubuni ndiyo maana maswali ya msingi ameshindwa kujibu. Laiti kama mngekuwa mna hoji hakuna hata mjinga mmoja angekubali juu ya hizi habari.

Mimi nakuuliza swali hili, katika hao ambao wanatoa habari za Annunaki yupo aliye washuhudia kwa macho ? Hili la kwanza, swali lingine la msingi nimemuuliza mwenzako alichojibu ni kituko, nimemuuliza hivi ni nani wa kwanza kuelezea hizi habari za Annunaki ? Akajibu ni "Sumerians" hapa ameitaja jamii yenye ustaarabu fulani na swali langu hajalijibu, alitakiwa amuanishe aliye eleza habari hizi wa kwanza. Hapa ndipo ukweli ulipo. Mkishindwa kujibu swali hili, ni kuwa habari hizi ni za kutunga.

Sasa kama nyinyi mnafikiria kitoto na amuhoni ni nyinyi sisi tumeshatoka zamani sana katika kubeba beba mambo kishabiki bila kuhoni wala kufanya utafiti.
 
Watu kam haw ni wale wenye low capacity thinking index, yaani mtu anasema hajaona kitu fulan kilipondikw, mweny mada amesema mwanzon kabisa haya yametok babylonian, akkadian n.k, ila bado mtu anauliza
Swali langu limeuliza ni nani wa kwanza kuelezea habari hizi. Ukijibu kuwa zimetoka "Babilonia" bado hujajibu swali sababu unazua maswali mengi kuhusu hicho ulichokijibu. Nitakuuliza huko babilonia hizo habari zimekutwa wapi na ushahidi wake ni upi kuonyesha Annunaki ndiyo amewaumba Wanadamu.
Wanaamini Mungu alijiumba, nje ya hapo hawatak kuamin kna kiumbe mwingne akiyejiumba, what a shame for them?
Kina nani wanasema au kuamini Mola alijiumba ? Mola yupo wala hajawahi kutokuwepo.
Tz mbongo anaanz kuruka na mambo ya uhandish, come on jibu hoja, bado mtu anaamini ushahidi wa mandiko ya vitabu vya dini ila huu wa maandishi ya sumer, mesopotamia n.k hataki, sasa mtu kama huyu si paradox kabisa.
Hayo maandishi yameandikwa na nani ? Usiitaje jamii, katika elimu ya uhakiki wa habari inaonekana kabisa muandishi hajulikani na mtu wa kwanza hajulikani ? Habari yenye sifa hii inataka itiliwe nguvu na habari nyingine isiyo kuwa na shaka kabisa na itoke kwa mtu mwenye kuaminika na mkweli na mwenye kujulikana.

Wewe unaweza kututhibitishia ya kuwa hizo habari zimetoka huko ? Kingine unaijua Babiloni ?

Tafuteni vitabu vya Kamusi ya miji mjue habari za jamii na maeneo yao na sifa zao.
Katika hii mada huyu amegusia physical n spritual aspects, nyinyi watu wa dini mumekomalia spritual je hamuoni kama jamaa kawashinda?
Hakuna kushindana hapa tunaangalia uhalisia, nikuulize tu swali la msingi, unahakiki vipi habari za kale ? Je kwa kuona michoro kwenye mapango ? Wanagapi kwenye mapango wanachora vitu ilimradi tu kufurahisha nafsi zao ?

Akili mmepewa bure ili mzitumie kuutafuta ukweli.
Theologians waliosoma dini na kuyaelewa maandiko wapo wengi humu, ila wamepiga kimya kwa sababu wanaona kuna logic hapa jamaa kaleta, lakn cha kushangaza vinabo wachache walioishia kusoma katikisimu tu, wamekazana na maswali uchwara yasiyo na hoja bal kuleta mabishano tu.
Nimecheka sana, huyi mtoa mada mimi mara ya kwanza nilimpuuza kwa sababu ya kutokujibu maswali, ila nilivyo pita nikaona anajitapa kwamba hawezi kurudia jambo ambalo ameshaliezea na mwingine akawa anamtuhumu kwamba hajibu maswali, nikaamua kutilia mkazo juu ya hili.

Shida yenu mnafikiri kwamba watu wote humu wanapenda stori kama mnavyopenda nyinyi, sisi wengine tuna hoji na kufikiri kwa usahihi.
Nyinyi watu wa dini ili mumshinde jamaa jibuni kwa vifungu vya maneeno n physical aspects kama yeye alivyofanya, mambo ya kumuattack bila hoja za maana itaonekana mmeshndwa kumjibu jamaa.
Hakuna hoja ambayo mtoa mada ameiweka sababu mada yote imemili katka umashaka. Angalia namna ya usimuliaji wa mada yake, utaona "Inasemekana..." mara "Walishuka kutoka sauari nyingine..." ukimuuliza ushahidi uko wapi ? Hana ushahidi je nani aliwaona wakishuka au nani alielezea habari hizi wa kwanza na yeye alizitoa wapi ? Majibu hana.

Anatakiwa yeye kwanza ahakiki alichokiandika na ajibu maswali anayo ulizwa.
 
Unaniuliza mimi muuliza swali au nani?. Pili unaamini kwamba hakuna kinachoweza kujitengeneza, hapo hapo una amini Mungu alijitengeneza. Mna shida sana watu wa dini kwakweli.
Wapi nimesema au nimeamini Mungu amejitengeza ?

Ninacho amini mimi ni kuwa Mola hajatanguliwa na wakati yeye yupo wala hakuwahi kutokuwepo.

Sasa hili la kujitengeneza unatakiwa utuambie umelitoa wapi ? Usitusemeze maneno.

Mimi swali langu liko pale pale ni nani wa kwanza kuelezea habari za Annunaki ? Je aliwaona hao Annunaki ?
 
Narudia tena hujasoma na kuelewa na hii yote ni kwa sababu unaamini katika dini tu. Hayo maswali yako yote yamejibiwa tena vizuri, ila kama una jibu lako unalolikusudia ni wazi kwamba labda hujalipata, utuambie hapa tujue.
Maswali yangu hujajibu kama umejibu maswali yangu, muainishe yule wa kwanza kuelezea habari za Annunaki ni nani ? Usitaje jamii sababu bado tutarudi pale pale kumsaka huyo wa kwanza katika hiyo jamii ni nani ?

Sasa usibishane kwenye hakuna. Muwe mnahakiki hizi habari na kuhoji kwanza kabla hamjaleta humu.

Mimi sina jibu langu ndiyo maana natumia lugha nyepesi sana kuuliza maswali ili lugha isiwe kikwazo, mfano mimi ungeniuliza ni nani wa kwanza kuleta habari za Uislamu mimi ningekujibu kuwa ni "Mtume Muhammad" wala nisingesema n "Waarabu au Maqureishi". Kisha kitokea hapo tunaenda hatua nyingine kwamba je ni kweli Mtume Muhammad ndiyo wa kwanza kuleta habari za Uislamu hivyo mpaka tunapata ukweli wa habari husika.
 
Mungu mmoja kwa mujibu wa vitabu takatifu ni nani? Yukoje? Je yeye amejiumba? Na unathibitishaje uwepo wake? Ni mwili au roho au ni mwili na roho?
Hana mfano wa kitu chochote hakuzaa wala hakuzaliwa na yeye ndio Mungu mmoja.....

Nikisema nimfananishe nitakuwa nakufuru kwa imani yangu mkuu
 
Dah kumbe mada ishafika huku
Kwanza mnaompiga mleta mada wote hakuna aliyeleta hoja, zaidi ya kuuliz vimaswali uchwara tu
Baada ya kusoma koments nimegundua watu kama@Kisai,@Saad30,Tz mbongo,safuher ni watu ambao wana tohara ya dini, yaani brainwashed with nomidio paraoxia brain thinking, wat ambao wanauliz rhetorical qns wakitegemea mleta mada hawajib wanavyotak badala ya kumping kwa hoja.

Watu kam haw ni wale wenye low capacity thinking index, yaani mtu anasema hajaona kitu fulan kilipondikw, mweny mada amesema mwanzon kabisa haya yametok babylonian, akkadian n.k, ila bado mtu anauliza

Wanaamini Mungu alijiumba, nje ya hapo hawatak kuamin kna kiumbe mwingne akiyejiumba, what a shame for them?

Tz mbongo anaanz kuruka na mambo ya uhandish, come on jibu hoja, bado mtu anaamini ushahidi wa mandiko ya vitabu vya dini ila huu wa maandishi ya sumer, mesopotamia n.k hataki, sasa mtu kama huyu si paradox kabisa.

Katika hii mada huyu amegusia physical n spritual aspects, nyinyi watu wa dini mumekomalia spritual je hamuoni kama jamaa kawashinda?

Theologians waliosoma dini na kuyaelewa maandiko wapo wengi humu, ila wamepiga kimya kwa sababu wanaona kuna logic hapa jamaa kaleta, lakn cha kushangaza vinabo wachache walioishia kusoma katikisimu tu, wamekazana na maswali uchwara yasiyo na hoja bal kuleta mabishano tu.

Nyinyi watu wa dini ili mumshinde jamaa jibuni kwa vifungu vya maneeno n physical aspects kama yeye alivyofanya, mambo ya kumuattack bila hoja za maana itaonekana mmeshndwa kumjibu jamaa.
Kumbe lengo lilikuwa ni kushindana na watu wa dini? Binafsi sikuona kabisa haya masimulizi yana hadhi hata ya kushindana na maandiko ya dini na ndio maana niliyaita masimulizi. Nachokijua haya masimulizi ni faraja kwenu kwa sababu mmeacha kuamini dini yenu na ndio mkajikuta mmeangukia kwenye hayo masimulizi na ndio mnayatumia kushambulia dini. Halafu mimi sielewi ubaya wangu ni upi humu maana kikubwa nilichokuwa nauliza ni kuhusu reference kutumika kitabu kimoja tu cha biblia na matokeo yake nikawa najibiwa majibu ya nyodo kwa waislamu na Qur'an hivyo nikaacha. Sasa sielewi ni vp nionekane kama msumbufu fulani humu? Kama huyo mleta mada ndio inaonesha kanimaind kichizi au kwa sababu nimesema tu ukweli kwamba uandishi mbovu? Anajitetea et watu wameelewa bila kujiuliza ni akina nani hao waliyoelewa haya masimulizi pamoja na huo uandishi mbovu?

Haya masimulizi humu ingependeza kama ingekuwa kwa wenye kuamini hayo masimulizi tu wakafarijiana ila sio et unaleta haya masimulizi kwa uandishi huo halafu et ili ushindane na vitabu vya dini, kibaya mleta sio tu hawezi kujibu vizuri maswali bali pia ana tatizo la la kutokuelewa vizuri anayoulizwa.
 
Nimecheka sana, mnaposhindwa kujibu maswali mnaanza kurauka. Shida yenu hamna elimu ya uhakiki wa habari.

Alichokiandika mtoa mada kinaingia katika visa vya kubuni ndiyo maana maswali ya msingi ameshindwa kujibu. Laiti kama mngekuwa mna hoji hakuna hata mjinga mmoja angekubali juu ya hizi habari.

Mimi nakuuliza swali hili, katika hao ambao wanatoa habari za Annunaki yupo aliye washuhudia kwa macho ? Hili la kwanza, swali lingine la msingi nimemuuliza mwenzako alichojibu ni kituko, nimemuuliza hivi ni nani wa kwanza kuelezea hizi habari za Annunaki ? Akajibu ni "Sumerians" hapa ameitaja jamii yenye ustaarabu fulani na swali langu hajalijibu, alitakiwa amuanishe aliye eleza habari hizi wa kwanza. Hapa ndipo ukweli ulipo. Mkishindwa kujibu swali hili, ni kuwa habari hizi ni za kutunga.

Sasa kama nyinyi mnafikiria kitoto na amuhoni ni nyinyi sisi tumeshatoka zamani sana katika kubeba beba mambo kishabiki bila kuhoni wala kufanya utafiti.
Hoja yao kubwa ni kwamba hayo maandiko yapo toka zamani kabla ya hivi vitabu vya dini na kwamba hata Biblia imecopy huko na Qur'an imekopi kwenye biblia.
 
Nilipoiona hii mada mara ya kwanza nikasema huyu mleta mada naye ni msikiliza ngano na masimulizi yasiyokuwa na uhakika. Kwetu sisi Mungu amejifunua bayana anaishi kwenye maisha yetu vizuri sana. Tunasubiri hadithi zingine za bwana AI
 
Nakujibu kwa ufupi sana kwamba hayupo
Safi Mkuu. "Nakujibu kwa ufupi sana kwamba hayupo", kwa quote yako hii umenijibu vizuri sana kwamba hakuna kiumbe ambae yupo physical in shape anayeweza kujiunda/kujiumba mwenyewe.

Sasa turudi kwa kiumbe (ANNUNAKI)
Tumeshakubaliana kwamba Annunaki ni kiumbe ambe ni:-
(i) MTU -Anafanana vina saba na binadamu(mimi, wewe na wengine)

(ii) WANAZALIANA- Viumbe hao Annunaki wanaongezeka kwa kualiana.

(iii) WAPO (PHYSICAL IN SHAPE)- Viumbe hao Annunaki wana mwili yaan wapo physical in shape na kwamba unaweza kumuona kwa macho na kumgusa kama binadamu.

(iv) HAWAWEZI KUJIUNDA/KUJIUMBA -Viumbe hao Annunaki hawawezi kujiunda au kujiumbwa wenyewe, kwa sababu ni viumbe kama viumbe wengine walio physical in shape lazima waundwe na muundaji.

Kwa muktadha huo, sasa nakuuliza swali UNAWEZA KUNIAMBIA CHANZO/ MUUNDAJI WA HAO VIUMBE ANNUNAKI? (yaan walitokeaje tokeaje, maana hawawezi kujiunda wenyewe kama ulivyosema)
 
ila huu wa maandishi ya sumer, mesopotamia n.k hataki, sasa mtu kama huyu si paradox kabisa.
Mkuu sisi tulishaamini maandiko ya dini ila mnakuwa mnakejeli.

Sasa mbona na wewe unataka tuamini maandishi hayo mengine wakati nyie hamtaki watu waamini maandiko bila ya ushahidi ?
 
Sawa. Na mimi niseme kwanza kama hupendi kuulizwa na kujibu maswali yangu pia kama wewe unavyopenda kuuliza, ni wazi kwamba umejiandaa kushinda ila siyo kujadili.
Mkuu utaratibu si unajibu ulichoulizwa kisha na wewe ndo unauliza ?

Vipi wewe unatakka kkuniuliza wakati una kiporo cha swali langu ambalo hujajibu ?

Mimi nakueleza ustaarabu wa mijadala unavyokuwa sipo hata kiushindani kaka.
 
Back
Top Bottom