Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Umesoma kweli wewe? Au umejiandaa kubishana.
 
Sio haina mantiki. Ni ya uwongo. Alie tuumba sisi ndo kiongoz wetu. Ivi hnajua zaid ya 70% ya genes mwilim mwako ni uncoded??
 
Umesoma kweli wewe? Au umejiandaa kubishana.
Kingine nilicho ona ni kuwa hata maswali yangu huenda hujayaelewa.

Nimekuuliza ni nani wa kwanza kuelezea habari za Annunaki ? Unaniuliza kwamba nimesoma kweli ? Ukianza na sehemu ya kwanza haijibu swali hili, unanukuu tu habari ambayo haionyeshi asili ya habari ni wapi zaidi ya kusema "Walitokea sayari nyingine..." mara "Mtafiti fulani amesema kadha ...".

Katika elimu ya uhakiki wa habari habari yako haipati mashiko sababu haina chain na haijulikani hao wametoa wapi hizo habari. Maana yake hitimisho ya habari hizi ni katika kundi la "Visasili".
 
Mkuu inaonesha ni mtu mwenye hasira sana ila ulikuwa unajizuia tu, toka vile ulivyonijibu kuwa huna muda wa kufanya summary nikaachana na wewe sikuhitaji tena majadiliano na wewe. Uandishi wako ni mtihani mwenyewe umekubali ila pia hata kujibu maswali nako shida.

Kila la kheri.
 
Kweli hz NI AKILI bandia Old testament kitabu gani kilionyesha haya uliyoyasema ... Tutadanganywa mpaka lini.

"Historia NI vifurushi vya uongo vinavyo elezewa na watu wasiokuwepo na Mambo ambayo hayakutokea "👀
 
Sawa Mkuu, najua hayo maelezo unayosema lakini naomba unijibu swali nililouliza kwamba kuna kiumbe ambae yupo physically in shape ambae anaweza kujiunda/kujiumba mwenyewe?
 
Narudia tena hujasoma na kuelewa na hii yote ni kwa sababu unaamini katika dini tu. Hayo maswali yako yote yamejibiwa tena vizuri, ila kama una jibu lako unalolikusudia ni wazi kwamba labda hujalipata, utuambie hapa tujue.
 
Kuna kitu kinachoweza kujitengeneza chenyewe ?

Ndiyo maana tunawauliza hao Annunaki wameumbwa na nani ?
Unaniuliza mimi muuliza swali au nani?. Pili unaamini kwamba hakuna kinachoweza kujitengeneza, hapo hapo una amini Mungu alijitengeneza. Mna shida sana watu wa dini kwakweli.
 
Asante sana nikutakie kila la heri nguli wa uhandishi na kutafsiri duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…