Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

...Tukifa tunarejea Wapi? Kwa Annunaki ama kwa Mungu??
Mkuu Kwani kabla hujazaliwa ulikua Kwa Annunak au Kwa Mungu?

Halafu hapo unatenganishaje Annunak na Mungu wakati katika mythology za SUMERIAN ilipoanzia dhana ya Mungu/Miungu walikusudia ANU Ndie Mungu na chanzo Cha mamlaka ya juu kuliko zote katika sayari zote na Ndie mkuu wa Mbingu na Dunia?
 
Toka uko na wewe.
Na maannunak yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Toka uko na wewe.
Na maannunak yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Ukweli haukimbiwi inakubidi uumeze Hata kama mchungu Arif
Wenzenu huko Yuropa na Marekani ukweli wameujua,Hadi Papa mtakatifu anaujua ukweli that's why unaona now wanafungisha Hadi ndoa za mashoga makanisani mwao
Lengo lao mfunguke akili wenyewe ya kwamba Dini ni utapeli wa kizamani Hauna impact yoyote Kwa kizazi hiki na wanafanya kusudio tu maana kuwaambia watu ukweli juu ya historia ya kweli ya binadamu na watu kuhusu Asili Yao itasababisha mass haisteria,

Hivyo wanaenda taratibu Kwa kuwafanyia vituko mpaka mshtuke akili!
 
Mkuu nimekuuliza huko juu kwwmba kuna ushahidi ungine unaoonesha kwwmba annunaki kamuumba binaadamu zaidi ya ushahidi wa maandiko ?
Ila sisi waamini dini bana 😀 😀 ,Sasa wewe unaamini Mungu yupo sababu umesoma kwenye kitabu (Bible / Qur'an) pekee,Mwenzano anaposema yeye anaaminiAnunaki walikuwepo sababu amesoma mabaki ya historia yaliyokuwepo zamani kabla hata hivyo vitabu vyako hajijaja,halafu bado unamuuliza eti ana ushahidi mwingine tofauti na maandiko??,Wewe una ushahidi mwingine kwamba Mitume walikuwepo tofauti na maandiko ya kwenye Qur'an/Bible??
 
Mantiki yangu ya kumuuliza hivyo nilitaka kujua kwamba wanatubeza watu wa dini kwa kuamini maandiko ya qurani na biblia kumbe na wao wanaamini maandiko hayo hayo katika vitabu vingine ambavyo vimeandika kuhusu annunaki.

Kwa hiyo sisi tunawaacha waamini maandiko ya annunaki,na sisi watuache tuamini maandiko ya Mungu.

Hapo maana yake sote tunaamini maandiko.

Umenipata mkuu lengo langu ?
 
Kwahiyo hapa kwenye mtaa wetu wa Sola sistim sisi peke etu ndio tuko na gold?
 
Sasa kwa Nini wewe mwafrika mweusi utengwe na ulimwengu ??
Kinacho kusumbua wewe, Ni kuchanganya history ya mweusi na ya rangi nyingine kua Ni wa pamoja.
Hapo umejichanganya, hao ma annunak ndio mababa wa rangi zigine zoteee, tofauti nayakwako
Walifanya machafu mengi Sana hao unao sema walikuumba kisa dhaabu[emoji23][emoji23].
 
Weka ushahidi hapa tuprove wrong!
 
Weka ushahidi hapa tuprove wrong!
Unacho kiamini ndio ushaidi wenyewe
Unataka Nini Tena ??
Mwenyewe unayasema, Tena unataka ushaidi!!
Husituchanganye weusi na rangi nyingine bwana...

Wewe unasema annunak wali umba si ndio ??
Ukweli halisi unakwambia annunak wali zini na viumbe vingi vinavyo nyonyesha
Kukapatikana viumbe vingi vya ajabu na vyote unavijua.

Kuzaa na kuumba........hapo ndio Kuna matatizo yetu.

Ukijua historia ya wa BANTU huto sumbuka na ukweli tenaaa. Hakika.
 
[emoji1787][emoji1787] kama inaingia akilini hivi!!
 
Duh! Kwahali hii nitakuwa padre kweli?[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…