Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Mpaka uzi unaisha mengi yatakuwa yatakuwa yamejadiliwa na kuwekwa wazi.
 
Lete uzi chafu yangu ila usisahau kuna KUFA NA KUFUFULIWA,kuna PEPO na JAHANAMU (MOTO)

Ukiwafatilia sana wazee wa sayansi watakutoa kwenye Reli ya Imani ya MUNGU MMOJA.
 
Nani kakuambia kila kitu lazima kiwe na mwanzo,sio lazima.Hayo ni mawazo potofu kabisa.God Almighty has no beginning,ndivyo alivyojifunua kwetu.He has been and He will be.He is all powerful and Omnipresent and many many other attributes.
Kijana uko na limitation ya kufikiri....so sio mbaya hata ukisema hivyo ok
 
Mkuu asante sana maana watu wengi tunajifunza mengi humu hebu endelea kutupa nyama za nyongeza ama link tuweze kwenda kuangalia maama najua sometime ni ngumu kuyaandika yote hapa.
 
Mkuu wewe unamuabudu MUNGU yupi?
Sijui una maanisha nini unaposema Mungu, pili mimi huwa siabudu kitu chochote. Nina ishi ili kuyafurahia maisha sio kuabudu.
 
Sijui una maanisha nini unaposema Mungu, pili mimi huwa siabudu kitu chochote. Nina ishi ili kuyafurahia maisha sio kuabudu.
Hapa mkuu bana kausha wacha tupoteze mida tu ila najua kuna siku uliumwa sana na ukamkumbuka Mungu na kusema Mungu nisaidie na kuna ndugu zako walikwambia Mungu atakusaidia utapona na ukasema amini....Ukibisha basi wewe utakuwa na undugu na Abujahal 😄 😆
 
Je wewe Unaamini katika Mungu Gani?
Maana Kuna Miungu wengi
Kama
El/Elohim/YHW/JEHOVAH/Jesus
ANU/ENK/Horus/Murduc


Allah/
Buddha/
Vishnu/Rama
Zeus nk

Kati ya hao Miungu ni nani unayedai ni muumba wa Kila kitu?
ALLHA SUBUHANAHU WA TAALA
 
SEHEMU YA NANE

THE PYRAMID OF GIZA
Je ni nani huyo, aliyejenga Pyramids?





Mengi yameandikwa na kusemwa kuhusu uwepo wa pyramids nchini Egypt na kujengwa kwake. Je ni nani haswa alijenga hizo pyramids na kwa kutumia nini(jibu lipo ni Annunaki).

Egyptologists na scholars duniani wanasema zimejengwa na mamia ya maelfu ya watumwa kwa kutumia kamba, puli na aina nyingine za zana za kale, wanasema walitumia vifaa kukata, dress na kupandisha mawe makubwa ya mchanga na miamba ya granites yenye zaidi ya tani 2.5 na zaidi ya milioni 2.5 ya tofari kwa kipindi cha miaka 20 katika ujenzi wa hizo pyramids.

Sababu ambayo walitoa Egyptologists juu ya ujenzi wa pyramids hizo ni kwamba zilijengwa kwa ajili ya kuhifadhia dead Pharaohs, lakini hadi kufikia leo hakuna hata Pharaoh mmoja au mummy aliyekutwa kwenye pyramid hata moja kati ya 300 zinazopatikana Egypt nzima.

Engineers wa leo ( ) wanapata mashaka ilikuwaje blocks kubwa namna ile zikawa quarried &transported katika zama hizo bila hata ya kutumia technology yeyote na kuweka wazi ya kwamba kujenga pyramids hizo kwa technology ya leo haiwezekani.

Muhandisi Christopher Dunn (hhtp://www.youtube.com/watch?v=55zN9LwxnIK) anasema kuwa kile Egyptologists walifikiria kuwa ni boat pits kwenye kuta za hizo pyramids zilikuwa ni giant circular saw pits zilizotumika kukata mawe makubwa yenye uzito mkubwa na granite blocks.

Dunn vile vile ameonyesha na kuelezea matumizi ya vifaa vyenye high speed power kwenye sanamu zote na obelisks,
na kila sehemu unapotazama kwenye hizo pyramids unaona uwepo wa ancients engineering with high speed power tools kwenye hizo ancient structures na sio kwa Egypt tu, bali hata Amerika kusini kwenye Temple of the Condor.


Saw marks, Ollantaytambo

Vitrified rock surface indicating a high heat source was used to cut the rock from the mountain.
Picha hizo juu zinaonyesha uwepo wa alama za kifaa chenye nishati ya juu, unaweza kuona criss-cross saw marks kwa chini kabisa na sehemu nyingine, ikielezea na kuonyesha uwepo wa chanzo cha nishati ya juu kilichotumika kukata mwamba na kuacha sehemu ikiwa vitrified.

Huu ni uthibitisho tosha wa matumizi ya power tools katika ancients. Na haiwezekani kukata hiyo diorite rock kwa kutumia copper hand tools kama tunavyoambiwa.

Mwaka 1992, idara ya Egyptian antiquities nchini Egypt ilimruhusu muhandisi kutoka Ujerumani Rudolf Gattenbrink kufanya uchunguzi kwenye mashimo ya queen's chamber, kwa kutumia roboti aliyemtengeneza na kumuita Upnaught II (Opener pf the way). Baada ya kumtuma roboti huyo kwa umbali kadhaa, kulikuwepo na mlango wenye copper handles zilizojitokeza. Roboti huyo alikuwa amefungwa kamera , alituma pichaa kadhaa, ila hakuweza kuendelea mbele kutokana na uwepo wa vifaa na mizigo mikubwa kwenye njia kutokana na explorers waliotangulia kufanya uchunguzi hapo kabla.


Queens chamber shaft entrance for robot

Robot drill bit at the end of the shaft after reaching stone plug, also showing two protruding metallic clasps.

Mwaka 2002, National Geographic Society walitengeneza roboti ambaye angeweza kushikamana na kuta pande zote tofauti na wa Gattenbrink ambaye alishika sakafu na dari.

Huyu aliitwa iRobot ambaye alivuka vikwazo vya mara ya kwanza, roboti huyo naye katika safari yake alikutana tena na limestone door ukiwa na protruding eroded handles kwa mara nyingine tena.

Roboti mwingine aliyeitwa Djedi naye alitumwa, huyu aliweza kugundua uwepo wa maandishi ya wino mwekundu sakafuni nyuma ya milango hiyo, ni alama ambazo hazina uhusiano wowote na maandishi ya kale ya Egypt na huu ndiyo ugunduzi mkubwa uliogunduliwa kwenye hizo pyramids hadi sasa.

Alama hizo siyo ancient Egyptian hieroglyphs bali ni aina ya a
lama za umeme zinazoweza kuelezea uwepo wa erosion due to currents passing through these clasps that they now know are far too fragile to be handles, but that serve well as electrical terminal.


On the other side of the drill hole, an eroded metallic clasp & markings on the floor that are not Egyptian

Script/symbol unlike ancient Egypt has been shown

Kama Chris Dunn alikuwa sahihi kwenye kitabu chake cha "The Giza Power Plant" (Na mimi kati ya vitabu vinavyoelezea kuhusu Pyramids, kwangu mimi hiki kitabu ni namba moja kukiamini), naweza kuhitimisha kwa kutumia maandishi yaliopo kwenye shaft door ambayo Dunn alisema ni electrical symbols, ukweli ni kwamba hayo maandishi siyo ya Egyptians na hakuna njia yeyote unaweza kusema Egyptians walijenga the Great Pyramid of Giza.

Kama tutaweza kutafsiri 80% ya untranslated sumerian clay tablets, tutakuta kwamba pyramids zilijengwa na Annunaki circa 450,000-400,000 BCE, wakati walipofika kwa mara ya kwanza duniani, as one of the first things they would have needed was a power plant to run all their machines for mining the gold.

Saad30
Dumas the terrible

Natumia references nyingi(kuna baadhi Jf inatumia muda kuzitambua), kwahiyo ukiona nimeanza sehemu inayofuata, subiri baada ya dakika 20 ndiyo uje kusoma.
 
Norshad
obelisk
 
Safi sana chief, shusha vitu
 
moja yakumbu kumbu yangu kubwa.nimewahi kufika el Giza yalipo haya mapyramids

ahsante kwa mada.tuko pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…