SEHEMU YA KUMI NA MOJA
GIANTS & DINOSAURS
View attachment 2113539
Ni takribani mamia ya miaka yamepita tangu kuthibitisha uwepo wa dinosaurs hapa duniani. Hapo kabla viumbe hawa walijulikana kama dragons.
Kama tujujuavyo viumbe hao walikuwa ni monstrous creatures kwelikweli waliozunguka sehemu mbali mbali hapa duniani zaidi ya miaka milioni 165 iliyopita.
Wanasayansi wanasema viumbe hawa, walitoweka zaidi ya mika milioni 65 iliyopita kutokana na madhara ya comet iliyoacha bonde lenye ukubwa wa 180 km huko Chicxulub-Yucatan Peninsula nchini Mexico(lakini hii bado ni nadharia na sio fact).
Inasemekana ni dinosaurs wachache sana walio survive na kuendelea kuishi hadi kipindi ambacho ANNUNAKI walifika duniani, miaka 450,000 iliyopita.
Tunaweza kuona hapa chini, sauropods watano kutoka sumerian cylinder seal.
View attachment 2113542
"Norse legend of Beowulf"(kama umewahi tazama hii movie/kama bado kaitafute uitazame) inavutia sana, kama description of the creature "Grendel" (huyu alikuwa monster aliyevamia kwa mfalme Danes karne ya 6 BC)could be that of babyTryannosaurus Rex. Alivutiwa na harufu ya nyama choma na sauti ya mtu anayeimba. Tunaweza kumchukulia Grandel kama giant humanoid.
Lakini tunaweza kujiuliza, how could Beowulf have ripped off one of its arms in the battle so easily unless it was the feeble arm of the baby T-Rex, wchich according to the description, also had claws?.
Mwishowe walihitajika watu wengi sana hili kumuua kiumbe huyo wakati wa jitihada za kukabiliana naye.
View attachment 2113552
T-Rex dinosaur
Baada ya Grandel kuuliwa, Mama yake (the dragon/T-Rex) alikuja kumuangalia mtoto wake (offspring) na kukiharibu kijiji kizima. Baada ya hapo akaelekea pangoni, Beowulf akapewa upanga wa maajabu hili akamuue. Upanga huo ulichanganywa na baadhi ya vitu vilivodondoka kutoka juu, na kitu chochote kilichoshuka duniani kutoka angani, ilisemekana kimetumwa na Miungu yao hii ndiyo sababu kubwa ya kusema upanga aliyopewa Beowulf na wazee wa kijiji ulikuwa ni "magic sword."
Beowulf alimuua T-Rex kwa kumkata shingo, na inasemekana hii ni sehemu weak ya dinosaurs, hivyo ukiweza kumkata sehemu ya shingo anakufa hapo hapo.
Vile vile tuna mashujaa wengine waliopambana na dragons kama vile St. George, aliyemuua Varanus priscus(huyu inasemekana ni mjusi mkubwa sana kuwahi kutokea hapa duniani). Viumbe hawa waliishi kwa wakati ule, lakini tatizo ni kwamba legends hawakutaka kuona viumbe hao wakiishi, hivyo ilikuwepo battle kubwa kati ya hominids na dinosaurs iliyopelekea kutoweka kwao.
Moja wapo ya fossil iliyodhaniwa imetoweka ni Coelacanth. Ilisemekana kiumbe huyu alitoweka miaka milioni 400 iliyopita, lakini mmoja alinaswa kwenye nyavu na mvuvi mwaka 1974 katika visiwa vya Comoro, tukio hili lilimaliza utata wote uliyokuwepo kuhusu kutoweka kwa kiumbe huyo.
View attachment 2113568
A coelacanth
Nyayo zinazo fanana na za mtu mwenye umbo kubwa sana (giant human like) pembeni kabisa na dinosaur tracks zilipatikana Paluxy-Glen Rose Texas. Vile vile mabaki ya dinosaurs na species wengine wa dinosaur yamepatikana na kugunduliwa sehemu tofauti tofauti dunia, hivyo kuweka wazi na kuthibitisha uwepo wa viumbe hao hapo kabla.
Tunawezaje kutambua umri wa mabaki(fossils) za viumbe?
Radio carbon dating haiwezi kutumika kwa sababu half life yake ni miaka 5,700, tunaweza kutumia C14 isotope ambayo inaweza kutambua umri wa fossils wa miaka 60,000 pekee iliyopita, ni hii ndiyo njia inayotumika katika matukio ya kihistoria.
View attachment 2113570
Discovered footprints of giants like human alongside the dinosaur track
Ngoja nielezee kidogo kuhusu dating fossil
Njia common inayotumika ni uranium-lead decay method, ambapo unapima kiasi cha uranium kwa kulinganisha na kiasi cha lead that has radioactively decayed, then unapata muda-mfano, miaka bilioni moja n.k.
Lakini ambacho hawasemi ni kwamba njia hii utoa by-product ambayo ni radioactive helium and if you measure this, inakupa date ya miaka 5,000 ukilinganisha na bilioni moja.
Kutokana na inaccurate ya hii njia, hamna namna ya kufahamu ni wakati gani fossils au creatures ziliweza kufanyika zaidi ya kusikiliza na kusoma kile kilichoandikwa na ancients.
Vile vile tunaweza kuona uwepo wa majengo makubwa yenye bricks zenye uzito wa tani 20-50 kama yale yaliyopatikana South America. Kwa mfano uharibifu katika Ollantaytambo & Sacsayhuaman, is that giant creatures could easily knock down a wall built from small bricks(kwa maana kuna giants waliokuwepo).
Genesis 6:4 King James Version;
"THERE WERE GIANTS IN THE EARTH IN THOSE DAYS; AND ALSO AFTER THAT, AND WHEN THE SONS OF GOD CAME IN UNTO THE DAUGHTERS OF MEN, AND THEY BARE CHILDREN TO THEM, THE SAME BECOME MIGHTY MEN WHICH WERE OF OLD, MEN OF RENOWN"
Na tunajua Biblia ni kopi ya maandiko ya kale kutoka sumerians, so we can assume that they are talking about the Annunaki taking the human slaves as wives (hii ilikuwa bado ni pre-flood era).
View attachment 2113572
Ollantaytambo
View attachment 2113573
Ollantaytambo
View attachment 2113574
Sacsayhuaman
In fact wale giants 22 waliotajwa, wametejwa kwa majina na Biblia baada ya mafuriko:
1.Adonizedec -Mfalme wa Jerusalem
2.Agag Mfalme wa Amalakites
3.Ahiman
4.Amalek
5.Arba
6.Beelesath
7.Gog & Magog
8.Gogmagog
9.Goliath
10.Hoham Mfalme wa Hebron
11.Horam Mfalme wa Gezer
12.Jobab Mfalme wa Madon
13.Jabin Mfale wa Hazor
14.Sihon Mfalme wa Amorites
15.Talmai
16.Sippai
17.Sheshai
18.Perizzites
19.Lahmi
20.Nimrod
21.Og of Bashan
22.Ogias - Baba yake Og.
"And there we saw the giants, the sons of Anak, which come of the giants: and we were in our own sight as grasshoppers, and so we were in their sight" (English Bible Standard Version)
Kwa upande mwingine wa Biblia, jina Annunaki limekuwa abbreviated to the sons of Anak, imeweka wazi kwamba watu walifanana jamii ya panzi ukilinganisha na watoto wa Annunaki (kwahiyo hao Annunaki walikuwa ni mijitu kweli kweli).
Hivi karibuni skeletons za hao giants zimepatikana katika milima ya Bucegi nchini Romania , pia ziligundulika mwaka 1940 na Archaeologists katika sehemu inaitwa Argedava nchini Romania.
Mabaki ya skeletons ya giants hao, yaliondolewa na kuchukuliwa haraka sana na mpaka sasa haijulikani ni wapi yalipelekwa.
Mwaka 2009, serikali ya Romania ilihamua kuweka wazi na kutangaza kwenye vyombo vya habari kuhusu giants hao kuishi na kukaa katika milima ya Bucegi, ila jambo la kushangaza wakati wanajiandaa kurusha matangazo, Mtangazaji alipigiwa simu na mtu asiyefahamika na kumwambia waache mara moja na kusitisha matangazo hayo.
Baadaye wale waandishi wa habari waliokuwa wanahusika na tukio walipohojiwa, hawakutaka kabisa kusema au kuzungumzia chochote kuhusu tukio hilo.
Kwa nini kuna matumizi ya nguvu sana katika kuhakikisha taarifa hizi hazitolewi hadharani, sababu ya kipekee inaweza kuwa ni kwamba wale giants waliowahi kuishi hapa duniani ni ANNUNAKI.
Hii inaweza kuthibitisha kwamba kile kilichoandikwa kwenye clay tablets ni ukweli, kitu ambacho kinaweza kupelekea mwisho wa taasisi za dini ulimwenguni & mass hysteria.
Watu wanaweza kugundua kwamba wamekuwa wakiishi chini ya uongo wa dini & that we are creation of ENKI as slaves for mining gold.
They would discover that there is nothing majestic about human race, that we were simply created as a means to an end & nothing more.
Plato aliwahi kusema: "HAKUNA MTU ANAYECHUKIWA KAMA YULE ANAYE SEMA UKWELI."
View attachment 2113579
Milima ya Bucegi nchini Romania.
View attachment 2113627
View attachment 2113629
Giants wanao ongelewa hapa, walikuwa ni watu waliopanda hewani na wenye miili mikubwa kweli kweli misri ya hizi picha. Mtu mrefu wa sasa anaweza akaishia kwenye magoti yao tu. Hawakuwa viumbe wa kawaida.