Another BossLady in the House, Hodiii

Nishakutumia yangu bamdogo ninange sasa oooh umefanana na babu yako.me sitaki jamaan
Hivi kuna mtu aturushiwa picha na mtu halafu amnange? Kwangu hata kama mtu anasura kama anapiga chafya siwezi mwambia na kamwe hawezi kujua navyomchukulia.
 
Hivi kuna mtu aturushiwa picha na mtu halafu amnange? Kwangu hata kama mtu anasura kama anapiga chafya siwezi mwambia na kamwe hawezi kujua navyomchukulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bamdogo we ni chizi ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…