Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Hahaa,mwanamke anaconfdence hatar,nimekupendea kitu kimoja

1.unajiamini sana kitendo ambacho wanawake wengi hawana,kupiga picha na kongoro[emoji14] [emoji14] [emoji14] acha basi.

2.unaweza kuishi maisha yoyote yale kwa mujibu wa picha zako,kuna picha upo kisela na nyingine kidada wa mjini.

3.wanawake wa sasa wanapiga picha na pizza ,kuku, lkn wewe mama umepiga na kongoro kitu ambacho hata miss_natafuta haezi jaribu na mikwala yake yote ya humu.

Mwisho umekosea sana kuweka kazi yako hapa,wanaume waga tunapenda kitonga,sitoshangaa kuona DM yako imejaa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom