Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nishatoka mama, nasubiri tu utupie kapicha.hahahhaaha mfungwa huru nawe umetoka geredhani?karibu mwaya tufaidi maua ya MAANAN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishatoka mama, nasubiri tu utupie kapicha.hahahhaaha mfungwa huru nawe umetoka geredhani?karibu mwaya tufaidi maua ya MAANAN
Nishatoka mama, nasubiri tu utupie kapicha.
HahaahaaaaaaaaHivi mdogo wangu umeanza lini ukachero.
Kuna mtu anatafutwa hapa. Wakaka kuweni makini ee
Njoo PM haraka sana kuna emergency.
Achana nao hao wanakuonea wivu hao.njoo PM nikwambie ni emergency.mbona wanawake wenzangu mnamshambulia mgeni? mlitaka nidanganye kazi, nilipo, kabila...au mlitaka nijitambulisheje mashosti?!
Mujarabu kbs mfungo umeishaa[emoji41]Nadhani umekuja wakat mujarab, meet the boss G' Extrovert!
Acha uchokozi inna[emoji23]Mgeni mwenyeji karibu
Tatizo ni kudanganya kuwa yeye ni mgeni wakati sio mgeniKwani ikiwa id mpya kuna tatizo gani
Hapana Mkuu, bali hizo ni hisia zakoSawa lakini kwani ka kauli kangu ni kakichochezi mkuu[emoji4]?
Unaundugu na shiloleHodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
Nakupendaga bure tu[emoji28][emoji28]Kuna mtu anatafutwa hapa. Wakaka kuweni makini ee
Kiroho safj namwita Asprin haya na wewe ita mwingine kizuri kula na mwenzio