Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Jamani mbona imekuwa ugomvi? Au mnataka mbaki wenyewe tu huku JF? mnanishambulia utadhani nimemtukana mtu! Picha mmeomba wenyewe saivi mnahoji picha za nini mweh!! Naweza kuwa mzoefu kama msomàji, sasa kufungua ID imekuwa kosa?
Achana nao mwaya ze bs njoo zako huku tuyajenge Thetu au sio?
 
Karibu sana Mkuu.

Kweli, you are the boss Lady.

Umepata mapokeo ya Kishindo. Thread yako imechangiwa zaidi, hiyo inatofautisha na wengine makapuku.

Kila la kheri katika Harakati zako JF. Wasalimie wanafunzi.
 
Karibu Sana boss lady, Kabla sijaleta tongozo Langu huko PM tutajie Kwanza ID yako ya zamani ili tuliokutongoza tujue Kabisa kuwa tunaenda kufanya Paper two.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom