Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa bored ntakuwa naipitia. Na ile ya "kuchepuka raha" na ile wa wanaume wenye wake wagomvi wanaowadunda, huwa nacheka jamani mweeehHahaaa!, yaani ile thread ilikuwa mwisho!
Ikabidi nihoji kunani Mozambique! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu sana Mnyamwezi wewe.Hodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
Nikiwa bored ntakuwa naipitia. Na ile ya "kuchepuka raha" na ile wa wanaume wenye wake wagomvi wanaowadunda, huwa nacheka jamani mweeeh
HahahaMish yew too aunt. Naona mnamkaribisha bosslady
Achana nao hao wanakuonea wivu hao.njoo PM nikwambie ni emergency.
Picha alizotupia kitovu hadharani inatosha kukufahamisha ni "headmistress" wa "SHULE" IPI! We jisajili tu mengine utayajua huko huko!Headmistress wa shule gani?
Pole kama unaamini hizo ni picha zake halisi!Kitendo cha kutuma pics Zako h ah ahahah utakuja kujilaum mbele mbele huko
Leo Ni Leo!Kamkague utaleta feedback naona mkuu wa kitengo cha ukaguzi hayupo. Ila hili file linaonekana familiar
Kwa faida ipi sasa? Maana huyu hata ushaur hastahili kupewakwanini🙂!wewe huez jitoa ufahamu?
Kwa faida ipi sasa? Maana huyu hata ushaur hastahili kupewa
[emoji3][emoji3] karibu , umerudiLeo Ni Leo!
hahaha nyie watu wa miaka 1980.... hamjui swag watt wa 1990... wanajua vibe zoote!
Ramadhan Mubarak Shemeji[emoji3][emoji3] karibu , umerudi
Alhamdulillah... shemeji sindikiza hiyo baraka na kamualiko basiRamadhan Mubarak Shemeji