Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
U know what? You are just gorgeous madame........u need a partner to occupy you're brains temporal lobe, I guess here I am at last.
 
Inasikitisha sana...

Mfano kama huyu member... Kesho na keshokutwa akija pewa mimba utasikia ni under18, mwanafunzi wa shule ya msingi... Wakati kwenye social meadia anajitangazia soko mwenyewe...

Cc: mahondaw
 
Mzee hebu kisome tena ulichoandika
 
Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
Boss me nataka namba tu, ili tuyajenge vizur kabisa yaan
 
hahahaha rushaaaaaaa! wenye sura zao na shape zao! mtu km mie na umichelini huu naanzaje kwanza ! teh teh kwanza internet itakata masaa 8! ikirufi inakuwa down siku 3!hatari sana

Si unajua mitandaono wanayauza jamani, tunaweza kujiwekea shepu yoyote ile tunataka... ha ha haaaaa Eddy Love huyo ndio atadumbukia bwaaa kwa kudanganywa eeeeeh
 
Ha ha ha, wewe hata uwe mpole vipi hakuna atakayekuja PM.

Maana RC wa Dar hachelewi kuvamia mtu na mitutu kisa umefatwa PM.

Eeeeeeeeeh jamani umenitoa kicheko hadi nitashindwa kula chakula nikikosha koo na mashavu yangu manono.

Huyo ana mke, mimi shabiki tu.
 
Daaaah hebu Fanya kutest kunitumia pm ila ufute fastaa Kabla mbabe Wa vita AraC Bashite hajavamia na ile misilaha ya kivita.

PM huko hapana aiseeeee, na huyo uliyemtaja simfahamu jamani.
 
Back
Top Bottom