Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Hahah wewe kiumbe wewe. Eti ndani ya Nyumba.
Daby weweewew! Na kuona na kuona.Si kwa mapicha ya Leo.Tumetolewa Knock out.3 Bila,3 bila[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
hahahhahahaaaaaaaaaaaaah had mwanangu ananiuliza nacheka nn hahahah!piga tu magoti nikuongoze sala ya toba kwakweli!
Nimechekaaaaa kwa nguvuuuuu!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120]
 
Hii staili ya kuingia na hodi,na vibwagizo vya kutosha, wakati mlango uko wazi ndio inanitia hofu,nia na lengo lako walijua mwenyewe!
 
Unajua mwenye Uzi wake atakuwa haelewi Picha linavyoenda.Kuna haja Nalendwa ufungue Uzi tukujee


Haha, kwa kweli huyu mtoa mada atakuwa anaona nyota tu, na hivi mgeni ndo kabisa!
Heloo wewe ndo ufungue part 2 ya Uzi wako.
Maana ule mwingine tuliupenda kweli lakini naona mods waliupenda zaidi...lol
 
Oooh hiyo sahau kabisa, eti mimi nije unashindwa nini kuyaandika hapa hapa!?

Subiri watakufata, na ukiwembe wako eeeeh
So unajua kuna kugesi tu eeeeh
Hahaaahahaha sasa hata hujajua nakuitia nini jamani? I know you. Njoo
 
Hodi humu!

Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:

* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
Hahaha aisije kua jini kabula[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom