Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Poapoa karibu....Shem ntaku PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poapoa karibu....Shem ntaku PM
I miss you.Hahahaaaa!! Na mioyo ishapondeka.
Daby weweewew! Na kuona na kuona.Si kwa mapicha ya Leo.Tumetolewa Knock out.3 Bila,3 bila[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahah wewe kiumbe wewe. Eti ndani ya Nyumba.
Nimechekaaaaa kwa nguvuuuuu!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120]hahahhahahaaaaaaaaaaaaah had mwanangu ananiuliza nacheka nn hahahah!piga tu magoti nikuongoze sala ya toba kwakweli!
Nyieeee nitaunguza huku Si kwa kucheka huku.JF ukiijuliaa.Raha tupuuuZe kungwi herself...LOL!
Unajua mwenye Uzi wake atakuwa haelewi Picha linavyoenda.Kuna haja Nalendwa ufungue Uzi tukujeeZe kungwi herself...LOL!
Nyieeee nitaunguza huku Si kwa kucheka huku.JF ukiijuliaa.Raha tupuuu
Nalendwaaaa.Nalendwaaaa.Nitashukuru.peace and love.
Unajua mwenye Uzi wake atakuwa haelewi Picha linavyoenda.Kuna haja Nalendwa ufungue Uzi tukujee
Nimechekaaaaa kwa nguvuuuuu!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120]
Hahaaahahaha sasa hata hujajua nakuitia nini jamani? I know you. NjooOooh hiyo sahau kabisa, eti mimi nije unashindwa nini kuyaandika hapa hapa!?
Subiri watakufata, na ukiwembe wako eeeeh
So unajua kuna kugesi tu eeeeh
Thank you dear.tuongezege siku jaman mweh
Hahaha aisije kua jini kabula[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hodi humu!
Naitwa Husna The BossLady, naishi Dar. Inshallah tutaendelea kufahamiana zaidi ila kama una swali kunihusu karibu.
.....
Kwa niaba ya maswali yote yalioulizwa:
* Mnaotaka kunifahamu kwa picha, nimeattach picha.
* kazi yangu ni Mwalimu (Head mistress)
* Sijaolewa
* Kuhusu kunilindia moyo, someone must be a capable man
* Kabila langu Mnyamwezi wa Igunga
* Napenda kuwa social
Hahaaahahaha sasa hata hujajua nakuitia nini jamani? I know you. Njoo
Hahahaaaaaa!! Nimeona hii quote nikajua ni pm, walahi kidogo nitoke baru!!!I miss you.