Another motivating story from Nayce Moshi

Kapewa kwa sababu tu ana good disposition
 
Ana deserve followers laki tano hiyo marketing tosha
 
Naku uliza hivi πŸ‘‡

Unathibitisha vipi kwamba wanawake wengine hawafanikiwi kwa vile hawawi strategic?

Kwamba kilicho mfanya huyo Nayce Moshi kufanikiwa, Ni yeye kuwa strategic person?
Swali zuri sana,.. Ila ni kwamba Kila mtu na bahati yake na wakati wake, so inapotokea mtu amefanikiwa mapema tusipende kuwa na negative thoughts kwasababu hatujui akiwa sirini na Mungu wake anaomba nini na ana watu wa namna gani wanaompa support
 
Wandewa faili lake wanalo Mimi hapa sitii neno Ila hongera kwake, wasivujishe clip yake tu maana hawachelewagi na hua hawana dogo na hawashindwi vile vile
 
Swali zuri sana,.. Ila ni kwamba Kila mtu na bahati yake na wakati wake, so inapotokea mtu amefanikiwa mapema tusipende kuwa na negative thoughts kwasababu hatujui akiwa sirini na Mungu wake anaomba nini na ana watu wa namna gani wanaompa support
Hivi unamjua vizuri au namna gani something because is maturing from yesterday this time tomorrow?
 
Hivi unamjua vizuri au namna gani something because is maturing from yesterday this time tomorrow?
Lakini tunachotakiwa kudeal nacho ni kile tunachokiona.. to my side namuona ni binti mmoja mzuri na mstaarabu, anafanya kazi na tunaona kwenye pages zake almost mitandao yote ambayo yupo, and she deserves ambacho amekipata
 
Influence yake kwenye mitandao ya kijamii ni miongoni mwa sababu na hiyo ndio strategic yenyewe sasa
Ni kweli influence yake kwenye social media imemkuza.

Kitu nime notice, Watu wana mfatilia sana personality yake na muonekano wake si kazi yake ya ukondakta.

Hasa wanaume mafisi wako rada, Kuna Target wana aim...
 
Lakini tunachotakiwa kudeal nacho ni kile tunachokiona.. to my side namuona ni binti mmoja mzuri na mstaarabu, anafanya kazi na tunaona kwenye pages zake almost mitandao yote ambayo yupo, and she deserves ambacho amekipata
Hivi unamfahamu vizuri maana unajua faili lake wanalo msimpambe saana mtamuaribia mwacheni aende hivyo hivyo kimya kimya miruzi isiwe mingi, mi sitii neno hongera kwake lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…