Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Hizo hapo... Chukua zote π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°ππππππππNiongee hizo emojis za makiss mpaka waone wivu na kadhalika π€°π€
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hapo... Chukua zote π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°ππππππππNiongee hizo emojis za makiss mpaka waone wivu na kadhalika π€°π€
Hapo sasa kuna mtu kavimbusha mashavu akiona hivyo km kweli vile π eti ni kweli babyHizo hapo... Chukua zote π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°ππππππππ
Tunaenda kufukua makaburi km kawaida si ndio?Wachaga hoyeee, tukutane December hii kwakina Nayce Moshi
Sharti atangaze hivyo Babu mjini hapa ishi vizuri na watu na kuishi kwingi kuona mengi, kimya kingi kina mshindo Ila wanaoharibu wapambe nuksi yaan wapambe hao hao ukichafuka wanakuchafua zaidiHiv kwamfano alipopata huo PR halaf akaamua tu kupiga kimya angepungukiwa kitu gani??? Amejieleeeeza all that what for?? Privacy is important in life!.
Watu hawawez kukipiga vita kitu wasichokijua
Kwani alichofanya kina ubaya gani?? Privacy ya nini wakati yeye alishakuwa public figureHiv kwamfano alipopata huo PR halaf akaamua tu kupiga kimya angepungukiwa kitu gani??? Amejieleeeeza all that what for?? Privacy is important in life!.
Watu hawawez kukipiga vita kitu wasichokijua
Unafiki mtupu wabongo wawe na file lako wakae kimya tu haiwezekani.Hivi unamfahamu vizuri maana unajua faili lake wanalo msimpambe saana mtamuaribia mwacheni aende hivyo hivyo kimya kimya miruzi isiwe mingi, mi sitii neno hongera kwake lakini
Watakuja kusema boss wa TILISHO anaogolea Hapo! Subir vijana jobless waje na hasira zao
Walipa nauli wengi ni wanaume kwake ni mafanikio kukutana na targeted market.Ni kweli influence yake kwenye social media imemkuza.
Kitu nime notice, Watu wana mfatilia sana personality yake na muonekano wake si kazi yake ya ukondakta.
Hasa wanaume mafisi wako rada, Kuna Target wana aim...
Huyo ukienda kukagua ofisi yake lazima ukute kachimbia chungu
Sio kwel! Anapambana kivyake very strategicTumeshafika sasa mkuu[emoji1]
Huko ni bia mwanzo mpaka December 31. January mosi mpaka tareh 15 hii ni msimu wa hangover ya mwezi mzima wa December. Baada ya tarehe 1β΅ akili ndio itakaa sawa kujua kumbe ada inahitajikaTunaenda kufukua makaburi km kawaida si ndio?
Unathibitisha vipi kwamba kafanikiwa kwa rushwa ya ngono?Je ni yeye peke yake kondakta wa kike ambaye ni strategic person?
Unaweza kuthibitisha kwamba makondakta wengine wa kike sio "Strategic" ndio maana hawapati mafanikio?
Unathibitisha vipi kilicho mfanya huyo Nayce Moshi kufanikiwa, Ni yeye kuwa strategic person?
Sawa mkuu Mimi ntakua zangu Songea kwakina Leejay49 mpaka hio 31 December, kwa hio zamani hizo mlikua mkienda lazima makaburi yafukuliwe Ila sikuhizi makaburi mmeyapumzisha sio kwamba hamyafukui?Huko ni bia mwanzo mpaka December 31. January mosi mpaka tareh 15 hii ni msimu wa hangover ya mwezi mzima wa December. Baada ya tarehe 1β΅ akili ndio itakaa sawa kujua kumbe ada inahitajika
Makaburi hatuyafukui siku hizi baada ya kugundua kumbe misukule haiwezi kuwa wateja wetu katika biashara huko mjini
Mafaili Baba mafaili ndio maana nawaambia wapiga zumari pigeni taratibu msije mkazua taharuki mjini hapa,Unathibitisha vipi kwamba kafanikiwa kwa rushwa ya ngono?