Umesema ukweli.Hilo la kujenga kiholela ni mbaya sana, cz ukiangalia dar wengi hzo nyumba wanazimiliki..so kumuondoa ni ngumu sana...
Thats why serikali inapata wakati mgumu sana kufanya uamuzi wa haraka...
Angalia km nairobi..karibia slums zote ni ardhi ya serikali..sidhani km kuna mtu ana hati ya yale maeneo...tatizo wansiasa wetu huweka mbele sana kura...mdo manake hata kuwa evict ni ngumu..
Wacha kura pekeake,hata human rights wataingilia kati...unaweza kuleta vita nakwambia...
Lakini kwa huku kwetu mpk serikali inunue maeneo wayavunje ndio wayarekebishe.
Wanajitahidi some how.
Ila mm nashindwa kuelewa hivi kwann hawa wanasiasa wenu wanashikilia sana hzi slum?
Na wenzenu wamekua wakisema kuwa serikali hugeuza slums kuwa vitega uchumi ebu nieleze kaka kwa namna ipi yan wanapataje pato hapo serikali yenu kupitia slums?