Zalendohalisi
Senior Member
- Nov 2, 2007
- 120
- 2
August,
Huyu hawezi kukimbia kwa sababu pasipoti yake imeshikiliwa na serikali. Hili la sumu sishangai kabisa. There is a pattern here. Wakishindwa kukumaliza kwa Fuso watakumaliza kwa sumu. Ninachojiuliza ni kwa nini hakukamatwa mapema kabisa walipokamatwa watuhumiwa wengine wa EPA? Jibu ni kwamba hawakutaka kumkamata.
Fisi akijeruhiwa katika mapambano ya kutafuta mlo akiwa ne wenziwe huwa maranyingi huwa anageukwa kuwa mlo kwa wenzake.
Malegesi sasa hivi ni liabilty kwa wenzake kwa viyo itabidi aondolewe by any means necessary. Ndiyo maana anasema hamfikiri yeyote yule. He nows the rules of the game!
Nasikia yeye ndiye alikuw mwansheria wa yale makapuni ta TISS ambayo hata kwenye listi ya EPA hayamo tena!
ZalendoHalisi