Another 'victim'? Malegesi Adaiwa Kunyeshwa Sumu

August,
Huyu hawezi kukimbia kwa sababu pasipoti yake imeshikiliwa na serikali. Hili la sumu sishangai kabisa. There is a pattern here. Wakishindwa kukumaliza kwa Fuso watakumaliza kwa sumu. Ninachojiuliza ni kwa nini hakukamatwa mapema kabisa walipokamatwa watuhumiwa wengine wa EPA? Jibu ni kwamba hawakutaka kumkamata.

Fisi akijeruhiwa katika mapambano ya kutafuta mlo akiwa ne wenziwe huwa maranyingi huwa anageukwa kuwa mlo kwa wenzake.

Malegesi sasa hivi ni liabilty kwa wenzake kwa viyo itabidi aondolewe by any means necessary. Ndiyo maana anasema hamfikiri yeyote yule. He nows the rules of the game!

Nasikia yeye ndiye alikuw mwansheria wa yale makapuni ta TISS ambayo hata kwenye listi ya EPA hayamo tena!

ZalendoHalisi
 
Huko mahakamani itakuwa hivyo labda mkono na malegesi,huku kwa wananchi ndiyo wanatakiwa kujuwa ni ccm....Zilipigwa panga btn ccm fisadis.
 
Du, huyu Rostam asipokamatwa karibuni sijui tunakokwenda kwa kweli
 
just thinking aloud.
je haiwezekani makazi nje yameishatayarishwa? mwenye
macho haambiwi ona. wengi watahitaji ruhusa
ya kutibiwa nje na baada ya hapo kimyaaa.
 
Sasa hapa ndio questions zinakuja... wana JF inabidi tupige kelele humu kwa nguvu zote serikali iwajibike kumtafuta mtu aliye muua Balali, mwili wake ufukuliwe na ufanyiwe uchunguzi kuona kama sumu aliyokunywa/wekewa huyu Malegesi ni sawa na yake...

Hii ndio only solution to know the truth

Hakuna haja ya kufukua mwili, hospitali aliyotibiwa Balal si ipo? iwekwe wazi ili mwenye kutaka kujua records za matibabu na hasa URT kama hawahusiki na hii saga wazifuatilie na kuona kama kuna uhusiani.

Kitu ambacho kila siku kinanichanganya ni kwa nini serikali iliacha kufungua kesi mapema kabla Balali haja[fa/fichwa?]. Basi hapa hakuna mwisho mzuri kwani kila mtu anaogopa si wakulu wa nchi wala vyombo vya dola. Kwani hii kitu chain yake ni ndefu kama isipokushika mkononi basi hata mgongoni, kwa hiyo hakuna anayejiamini kwa hili.
 
- Halafu Mkulu Jasusi, hivi unajua kua last two weeks mafisadi wote wakubwa walikuwa wamekusanyika DC? Kuanzia Lowassa mpaka RA je ulizipata hizo mkuu wangu?

- Sasa walikuwa wanatafuta nini? Na why DC?
 
Watanzania endeleeni tu kudanganywa, hii ni sinema part II baada ya ile ya Ballali.

Toka lini uliona hata mtu aliyekufa bado inaogopwa hata kutajwa hospitali alikofia?

Heri yetu wengine tulisema toka mwanzo kwamba hata ile sumu ya Dodoma ilikuwa ni janja tu ya kutokomea.

Watu wakaja na statements kali, kuna mafile na video, wameonyeshwa watu fulani, pumba tupu, wewe mpaka report ya EPA imevuja ndio iwe kanda za marehemu tena ambaye kawaachia watu wengi tu?

Malegesi hana lolote, kama amepewa sumu aende polisi, vinginevyo anataka tuanze kumtafuta mbaya wake wakati ubaya uko kwake mwenyewe.

Kuna watu wanafikiri wanaweza kudanganya Watanzania wote kwa kuvujisha habari nusu nusu.

Sitashangaa Malegesi akijiunga na fugitive mwenzake Ballali huko kwenye visiwa na kuendelea kufaido dola za Watanzania wajinga.

Ndugu zangu kwenye suala la Ballali hakukuwa na sumu ba si ajabu hata Malegesi hakuna sumu, ni usanii tu baada ya kufumaniwa wakiiba vya Watanzania bila kunawa, sasa wamegeuka wasanii wakisaidiwa na serikali ya JK.
 
- Mkuu Hofstede, hapa tupo pamoja sana.
 
Malegesi adaiwa kula kitu chenye sumu

``Aliletwa hapa akiwa hajitambui...lakini baada ya kumfanyia vipimo vya kimaabara tulibaini kuwa amekula kitu chenye sumu``, alisema daktari mmoja wa hospitali hiyo ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini kwa sababu zinazojulikana.

``Hali yake ilitutisha sana...alikuwa hana uwezo wa kufanya chochote na timu nzima ya madaktari na wauguzi waliokuwa wakimhudumia walipata mshangao, tumeshawahi kupata matukio kama haya ya watu kuletwa wakiwa hawajitambui, lakini hili lilikuwa tofauti kabisa``.

``Tulikuwa tumemuweka katika uangalizi maalumu na wa karibu wakati wote, hata hivyo, hatuwezi kusema kama sumu hii imeingia mwilini baada ya kula chakula kilichotiwa sumu au hapana. Siku ya kwanza alipoletwa hali yake ilituchanganya sana, lakini sasa kadiri siku zinavyoenda anaanza kupata nafuu taratibu na hii ni faraja kwetu``, aliongeza kusema muuguzi huyo.

Hata hivyo, maadili ya kazi ya udaktari yanakataza madaktari na wauguzi kutoa taarifa kwa umma za mgonjwa aliyechini yao, hivyo kutokana na hali hiyo walikataa kutoa maelezo zaidi kuhusiana na mambo yaliyogundulika kwenye vipimo vya kimaabara.

Wakati kesi za mafisadi zilipoanza kunukia, Manji naye alianza ugua, kwa tetesi tu za kupigiwa simu (kama Warioba) kuwa naye yuko njia moja. Mpaka akaenda kutibiwa Nairobi.

Sumu kweli mtu anaweza kupewa, lakini mbona hasemi hicho chakula alikula nyumbani ama wapi?, manake hapo ndio ushahidi huanzia. Sikatai watu huwekeana sumu, na sikatai kuwa labda kweli alikula sumu, lakini pia siwezi kukataa kuwa anaimba wimbo ule ule ambao tunaanza kuushtukia (Ni yule yule...,ni yule yule...)
 
Hii sinema mbona siyo mpya...Hapa ninachoona mimi ni kanzu mpya lakini shehe ni yuleyule...
 
Malegesi ana siri nzito za Balali na serikali. Alikuwa ni kiungo kati ya Balali na serikali katika kukwapua fedha kwa ajili ya matumizi ya chama na interest binafsi za viongozi wakubwa. Malegesi ni kama custodian wa mali za Balali (baadhi hasa zile zilizotokana na EPA). Wakati Balali yuko nje kwa matibabu under ?????? ni Malegesi alisaidia kuuza baadhi ya properties za Balali (one in Oysterbay). Kuna baadhi ya mafisadi walimkalia Balali kooni ili arudishe some of the money, na mmojawapo ni Njake Enterprises ambayo through Malegesi walirejesha 1.4 billion to Japhet Lema (zilirudishwa tu last year October hivi) baada ya Malegesi kuruhusiwa kuchukua fedha hizo kwenye account yake maana alipouza property za Balali fedha aliweka ndani ya account yake). Kwa taarifa za uhakika ni kuwa serikali haitathubutu kumpeleka Malegesi mahakamani hata kidogo, vinginevyo itafute tu mbinu za kummaliza. Kesi nying za EPA zitakapoanza kusikilizwa Malegesi atatajwa sana katika mtiritiko mzima wa EPA.

Malegesi alishughulikia Kagoda kuanzia kuandaa documents na registration na anajua wamiliki halali na ndiyo aliandaa utambulisho wa kisheria wa kuondoa fedha za Kagoda benki maana akina Komuhendo na mwenzie wao walitumika tu katika mawasiliano na benki kuu na kuficha the real puppies wa Kagoda. Ile siri nzito ya Balali iliyomfanya apoteze uhai = Siri nzito ya Malegesi kwa Serikali. Ngowi wa TISS amemweka sana Malegesi karibu, eti anajidai are friends!!!! No way!!!! Kuna kazi amabayo anaifanya kama msalama!!!! Sijui kwa nini na yeye hayuko Kisutu i.e Ngowi???? Watasema yeye alikuwa planted kuchugnuza wizi wa EPA.?????

Kumpoteza Malegesi ni kuua ushahidi mwingi wa kesi za EPA.

On the other hand, kuumwa inawekuwa ni janza ya serikali na mwishowe anaweza kupewa passport maana ana haki ya kutibiwa na akiondoka tu hatarudi tena!!!!!!! Ataishia huko au atarudishwa mfu!!!! It is true age wise, Malegesi ni mdogo but ni mjanza na amenufaika sana na wizi wa system. Story zake wakati wote he talks of deals za billion tu!!!! Kazi kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Kila ukitaka kufika mwisho, linazuka jipya linaloanzisha picha yake lenyewe, mambo ya 24 Hours ya Jack. Wahenga walisema "hakuna lenye mwisho mpaka limefika mwisho" hivyo wale wote walioko huku hawatatulia mpaka yamefika mwisho wake na wote wakapatikana (hata kama hawatafungwa).
Kwa vile binadamu ni mchoyo kwa asili na hutanguliza maisha ya wengine yake yawe mwisho, wataendelea kutoana mpaka waishe. Sijui kama hapa kwetu kuna OMERTA ya Mafia
Yetu macho na masikio
 
wanapunguza ushahidi....tanzania kwa umafia na sisi tupo
 
sasa nathani watanzania wanaanza kuamini kwamba mambo ya usifadi Tanzania goes beyond our innocent belief. This is like Italian or south america mafia groups. Naomba mfikirie hii vitu

1. Malegisi ni lawyer! ambaye alikuwa karibu na Balali
2. Balali aliuwawa na sumu which sound very similar to hii ya Malagesi
3. Malegesi ni mstakiwa wa EPA
4. Siri kubwa ya EPA alikuwa nayo Balali

Sasa maswali ya kujiuriza

1. Huyu Malegesi ana infomation ambazo zinaweza kumtoa kwenye kesi ya EPA na kuwaweka the really mafisadi kwenye hukumu
2. Je alikuwa lawyer wa Balali? anajua ukweli ambao Ulichukua maisha ya Balali?
3. Nani yuko nyuma ya hizi sumu zinazotoa maisha ya watu ambao wana information kuhusu ufisadi?

Mimi nafikiri sasa ni jukumu letu sisi JF kuingia msituni na kusaka alie nyuma yz hizi sumu na udhibitisho tuuweke hapa na cha pili kukutafuta nini hasa alicho beba malegezi na balali vifuani mwao... jamani zege lisilale
 
Yusuf Manji ana miaka 33!

Of Manji being 33 I know, matter of fact so is Mohamed Dewji as the were in the same grade back in School... lakini hawa wako succesful kwa njia ya Succession planning ya kiFamilia, Sasa my reason for asking is how did Malegesi get to such a position by 31???
 
One billion dollar question!!!
 
- Halafu Mkulu Jasusi, hivi unajua kua last two weeks mafisadi wote wakubwa walikuwa wamekusanyika DC? Kuanzia Lowassa mpaka RA je ulizipata hizo mkuu wangu?

- Sasa walikuwa wanatafuta nini? Na why DC?
FMES,
Nimepata habari juzi tu kuwa Lowassa was in town. Wanasema eti alikuja kufanya shopping lakini naendelea kuchunguza zaidi.
 
Watanzania endeleeni tu kudanganywa, hii ni sinema part II baada ya ile ya Ballali.

Toka lini uliona hata mtu aliyekufa bado inaogopwa hata kutajwa hospitali alikofia?

Heri yetu wengine tulisema toka mwanzo kwamba hata ile sumu ya Dodoma ilikuwa ni janja tu ya kutokomea.

Watu wakaja na statements kali, kuna mafile na video, wameonyeshwa watu fulani, pumba tupu, wewe mpaka report ya EPA imevuja ndio iwe kanda za marehemu tena ambaye kawaachia watu wengi tu?

Malegesi hana lolote, kama amepewa sumu aende polisi, vinginevyo anataka tuanze kumtafuta mbaya wake wakati ubaya uko kwake mwenyewe.

Kuna watu wanafikiri wanaweza kudanganya Watanzania wote kwa kuvujisha habari nusu nusu.

Sitashangaa Malegesi akijiunga na fugitive mwenzake Ballali huko kwenye visiwa na kuendelea kufaido dola za Watanzania wajinga.

Ndugu zangu kwenye suala la Ballali hakukuwa na sumu ba si ajabu hata Malegesi hakuna sumu, ni usanii tu baada ya kufumaniwa wakiiba vya Watanzania bila kunawa, sasa wamegeuka wasanii wakisaidiwa na serikali ya JK.
Mtanzania,
Soma tena ile ripoti aliyoileta Mafuchila. Maregesi hajasema kuwa amekula sumu. Aliyesema hayo ni daktari. Au daktari huyo naye yumo kwenye conspiracy za akina Balali na Maregesi?
 
Malegesi ana siri nzito za Balali na serikali. Alikuwa ni kiungo kati ya Balali na serikali katika kukwapua fedha kwa ajili ya matumizi ya chama na interest binafsi za viongozi wakubwa. Malegesi ni kama custodian wa mali za Balali (baadhi hasa zile zilizotokana na EPA). Wakati Balali yuko nje kwa matibabu under ?????? ni Malegesi alisaidia kuuza baadhi ya properties za Balali (one in Oysterbay). Kuna baadhi ya mafisadi walimkalia Balali kooni ili arudishe some of the money, na mmojawapo ni Njake Enterprises ambayo through Malegesi walirejesha 1.4 billion to Japhet Lema (zilirudishwa tu last year October hivi) baada ya Malegesi kuruhusiwa kuchukua fedha hizo kwenye account yake maana alipouza property za Balali fedha aliweka ndani ya account yake). Kwa taarifa za uhakika ni kuwa serikali haitathubutu kumpeleka Malegesi mahakamani hata kidogo, vinginevyo itafute tu mbinu za kummaliza. Kesi nying za EPA zitakapoanza kusikilizwa Malegesi atatajwa sana katika mtiritiko mzima wa EPA.

Malegesi alishughulikia Kagoda kuanzia kuandaa documents na registration na anajua wamiliki halali na ndiyo aliandaa utambulisho wa kisheria wa kuondoa fedha za Kagoda benki maana akina Komuhendo na mwenzie wao walitumika tu katika mawasiliano na benki kuu na kuficha the real puppies wa Kagoda. Ile siri nzito ya Balali iliyomfanya apoteze uhai = Siri nzito ya Malegesi kwa Serikali. Ngowi wa TISS amemweka sana Malegesi karibu, eti anajidai are friends!!!! No way!!!! Kuna kazi amabayo anaifanya kama msalama!!!! Sijui kwa nini na yeye hayuko Kisutu i.e Ngowi???? Watasema yeye alikuwa planted kuchugnuza wizi wa EPA.?????

Kumpoteza Malegesi ni kuua ushahidi mwingi wa kesi za EPA.

On the other hand, kuumwa inawekuwa ni janza ya serikali na mwishowe anaweza kupewa passport maana ana haki ya kutibiwa na akiondoka tu hatarudi tena!!!!!!! Ataishia huko au atarudishwa mfu!!!! It is true age wise, Malegesi ni mdogo but ni mjanza na amenufaika sana na wizi wa system. Story zake wakati wote he talks of deals za billion tu!!!! Kazi kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Maane,
Malegesi hakuwa na si wakili wa marehemu Balali. Aliwahi kuwa wakili aliyeajiriwa kimkataba na BOT lakini si personal lawyer. Mali za Balali hazijauzwa. Angalia Tanzania Daima ya leo utaelewa ninachosema.
 
Back
Top Bottom