Ansante sana baba @mshana jr

[emoji44][emoji44][emoji44][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana sana... Napokea kwa unyenyekevu mkuu na moyo wa shukrani

Jr[emoji769]
 
Kama ulimtukana my dia mjukuu Joanah ujue ulinitukana na mimi... nadhani ushajua cha kufanya kabla sijagongesha kojoleo langu kwenye kichuguu
 
Huyu jamaa Mshana Jr ni mtu tofauti sana yaani kifupi ukimfuata Pm kumuomba ushauri wa jambo flani huwa hana zile habari za kitapeli wala kuomba atumiwe pesa eti ndo akushauri kama anavyofanyaga jamaa flani hivi wa kwenye ule uzi wa meditation.
Mie binafsi kuna kitu kaka Mshana aliwahi kunishauri siku za nyuma kidogo sikufuatilia ila hivi karibuni nimegundua kulikuwa na maana kubwa sana kwenye maisha yangu mpaka natamani sana siku moja nionane naye live nimshukuru.
Ukweli Jf imejaa wapigaji wengi sana ambao huanzisha mada flani ambazo zikikugusa ukazama Pm ili upate maelekezo vizuri unaishia kuombwa hela
Ila kwa Mshana Jr yeye ni tofauti sana na wengine.
Mungu ambariki sana huyu jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini unahisi atakuwa amesahau alikupa ushauri gani? Inaonekana una uhakika sana kwamba amesahau.
Mtenda wema hasahau bali mtendewa.

Hongera kwa kuwa na huo moyo wa shukrani.
Kumbe unajuaga kiswahili. Leo umenipunguzia tatizo la kusoma post yako bila kutumia dikshenare. chaliifrancisco akipita hapa atapata baraka sana
 
Ila usije ukakosea ukamkaribisha nyumbani... huyu mpare ni mkware balaa. Mtu pekee wa kike ambaye Mshana Jr hawezi kumgegeda ni mama yake mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…