NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aiseee!Siku nyingine ukinitukana nitag manake sikumbuki
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana sana... Napokea kwa unyenyekevu mkuu na moyo wa shukraniNapenda kutanguliza shukrani za dhati sana kwa mwananzengo huyu Mshana Jr mungu akupe maisha marefu,
Japo ulinipa ushauri na namna nzuri yakufight katika harakati za hapa na pale lakini niseme wazi nilikua katika kipindi kigumu sana,
kila nilichoshika nilikua nakosea nilikua mtu mwenye hasira sana samahani Joanah nilikutukana kwa kauli mbovu sana nikiwa na stress nyingi mno,
Yote ni hasira za maisha najua mzee mshana utakua umesahau ulinipa ushauri gani ila sitaki kukumbusha ila naomba nikushukuru sana,
Uwe na moyo huo huo ulinipatia mpaka namba yako ya simu haunifahamu wala sikufahamu lakini uliniamini kiasi hicho tuliongea mengi japo umeshasahau
Niseme wazi tu umenijenga sana japo sijapita kwenye njia ile uliyonipa lakini nauona mwanga sasa naingia hata jf kama namiliki Suzuki za kikoloni
ANSANTEH ZA DHATI KWAKO MKUU ipo siku tutaonana siku moja uzuri contact zipo ipo siku ntalipa malipo ya ushauri na kunijenga kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine ukinitukana nitag manake sikumbuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa, mzima lakin?Sidhani asee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa, mzima lakin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulimtukana my dia mjukuu Joanah ujue ulinitukana na mimi... nadhani ushajua cha kufanya kabla sijagongesha kojoleo langu kwenye kichuguuNapenda kutanguliza shukrani za dhati sana kwa mwananzengo huyu Mshana Jr mungu akupe maisha marefu,
Japo ulinipa ushauri na namna nzuri yakufight katika harakati za hapa na pale lakini niseme wazi nilikua katika kipindi kigumu sana,
kila nilichoshika nilikua nakosea nilikua mtu mwenye hasira sana samahani Joanah nilikutukana kwa kauli mbovu sana nikiwa na stress nyingi mno,
Yote ni hasira za maisha najua mzee mshana utakua umesahau ulinipa ushauri gani ila sitaki kukumbusha ila naomba nikushukuru sana,
Uwe na moyo huo huo ulinipatia mpaka namba yako ya simu haunifahamu wala sikufahamu lakini uliniamini kiasi hicho tuliongea mengi japo umeshasahau
Niseme wazi tu umenijenga sana japo sijapita kwenye njia ile uliyonipa lakini nauona mwanga sasa naingia hata jf kama namiliki Suzuki za kikoloni
ANSANTEH ZA DHATI KWAKO MKUU ipo siku tutaonana siku moja uzuri contact zipo ipo siku ntalipa malipo ya ushauri na kunijenga kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa Mshana Jr ni mtu tofauti sana yaani kifupi ukimfuata Pm kumuomba ushauri wa jambo flani huwa hana zile habari za kitapeli wala kuomba atumiwe pesa eti ndo akushauri kama anavyofanyaga jamaa flani hivi wa kwenye ule uzi wa meditation.Napenda kutanguliza shukrani za dhati sana kwa mwananzengo huyu Mshana Jr mungu akupe maisha marefu,
Japo ulinipa ushauri na namna nzuri yakufight katika harakati za hapa na pale lakini niseme wazi nilikua katika kipindi kigumu sana,
kila nilichoshika nilikua nakosea nilikua mtu mwenye hasira sana samahani Joanah nilikutukana kwa kauli mbovu sana nikiwa na stress nyingi mno,
Yote ni hasira za maisha najua mzee mshana utakua umesahau ulinipa ushauri gani ila sitaki kukumbusha ila naomba nikushukuru sana,
Uwe na moyo huo huo ulinipatia mpaka namba yako ya simu haunifahamu wala sikufahamu lakini uliniamini kiasi hicho tuliongea mengi japo umeshasahau
Niseme wazi tu umenijenga sana japo sijapita kwenye njia ile uliyonipa lakini nauona mwanga sasa naingia hata jf kama namiliki Suzuki za kikoloni
ANSANTEH ZA DHATI KWAKO MKUU ipo siku tutaonana siku moja uzuri contact zipo ipo siku ntalipa malipo ya ushauri na kunijenga kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajuaga kiswahili. Leo umenipunguzia tatizo la kusoma post yako bila kutumia dikshenare. chaliifrancisco akipita hapa atapata baraka sanaKwanini unahisi atakuwa amesahau alikupa ushauri gani? Inaonekana una uhakika sana kwamba amesahau.
Mtenda wema hasahau bali mtendewa.
Hongera kwa kuwa na huo moyo wa shukrani.
Kwanini unahisi atakuwa amesahau alikupa ushauri gani? Inaonekana una uhakika sana kwamba amesahau.
Mtenda wema hasahau bali mtendewa.
Hongera kwa kuwa na huo moyo wa shukrani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naniliu yupi huyo embu nkumbushe aisee ....Mungu anasaidia Bonny
Hivi yule naniliu kajifichia wapi siku hizi?
Siku nyingine ukinitukana nitag manake sikumbuki
Ila usije ukakosea ukamkaribisha nyumbani... huyu mpare ni mkware balaa. Mtu pekee wa kike ambaye Mshana Jr hawezi kumgegeda ni mama yake mzaziHuyu jamaa Mshana Jr ni mtu tofauti sana yaani kifupi ukimfuata Pm kumuomba ushauri wa jambo flani huwa hana zile habari za kitapeli wala kuomba atumiwe pesa eti ndo akushauri kama anavyofanyaga jamaa flani hivi wa kwenye ule uzi wa meditation.
Mie binafsi kuna kitu kaka Mshana aliwahi kunishauri siku za nyuma kidogo sikufuatilia ila hivi karibuni nimegundua kulikuwa na maana kubwa sana kwenye maisha yangu mpaka natamani sana siku moja nionane naye live nimshukuru.
Ukweli Jf imejaa wapigaji wengi sana ambao huanzisha mada flani ambazo zikikugusa ukazama Pm ili upate maelekezo vizuri unaishia kuombwa hela
Ila kwa Mshana Jr yeye ni tofauti sana na wengine.
Mungu ambariki sana huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Asante sana sana... Napokea kwa unyenyekevu mkuu na moyo wa shukrani
Jr[emoji769]