Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hapana sijakukana. Ila usingesema ili babu Asprin asijue akaanza kunipa kazi za kumfundisha. Ujue mimi sipo vizuri kwenye kufundisha ndio maana sitaki usumbufu wa babu.Umenikana mara 7. Kweli kabisa unabisha sio wewe unaandikaga?.
Kwenye maswala ya nomino(mtendwa) na vitenzi ( mtendewa) inaonekana ulikuwa vizuri sana rafiki.Kwanini unahisi atakuwa amesahau alikupa ushauri gani? Inaonekana una uhakika sana kwamba amesahau.
Mtenda wema hasahau bali mtendewa.
Hongera kwa kuwa na huo moyo wa shukrani.
Unakumbukaga odds tu za mhindi 😛 😛Siku nyingine ukinitukana nitag manake sikumbuki
Unakumbukaga odds tu za mhindi 😛 😛
Yani kama Leo ni peupe hasa.Mtarajiwa bhana!😊
Odds za mhindi zenyewe nishaanza kuzisahau manake mechi zinaghairishwa kinyama
Yani kama Leo ni peupe hasa.
Tume simamishwa kazi kwa uchunguzi zaidi kwa muda usiojulikana.Hata kesho naona same
Siku nyingine ukinitukana nitag manake sikumbuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha kuna kitu idriss kapost huko insta mtu aka comment maneno yasiyoeleweka idriss akamtag akamwambia huwa nachukia mtu anitukane alafu achapie [emoji23][emoji23]
Siku nyingine ukinitukana nitag manake sikumbuki
Acha wivu sasa we mzee
Unataka nife na utamu wangu e?
Nakusubiri NYEKUNDU YA BIBI
This time naahidi kuuweka moyoni na katika kumbukumbu zangu huu ugomvi wetu mpya [emoji23][emoji23]
Mkuu Mbona unamlazimisha kusahau?
NotedKakitambo kidogo na nilifulia kiasi kwamba sikua na uwezo wakuilisha sim yangu nikauza vyote[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sifahamu hili. Nikajua nina shida.Mtenda wema hasahau bali mtendewa.
Popote alipo my dia Joanah nami nimo. Mgomvi wake ni mgomvi wangu. Mpaka kifo kitutenganishe,[emoji23][emoji23][emoji23]yupo babu yako mzee Asprin nauhakika ana connection na wakuu wataniwasha ban ongea na mzee wako asiingilie ugomvi
Sent using Jamii Forums mobile app