Ansante sana baba @mshana jr

Ansante sana baba @mshana jr

Kwanini unahisi atakuwa amesahau alikupa ushauri gani? Inaonekana una uhakika sana kwamba amesahau.
Mtenda wema hasahau bali mtendewa.

Hongera kwa kuwa na huo moyo wa shukrani.
Kwenye maswala ya nomino(mtendwa) na vitenzi ( mtendewa) inaonekana ulikuwa vizuri sana rafiki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha kuna kitu idriss kapost huko insta mtu aka comment maneno yasiyoeleweka idriss akamtag akamwambia huwa nachukia mtu anitukane alafu achapie [emoji23][emoji23]
Siku nyingine ukinitukana nitag manake sikumbuki
 
Back
Top Bottom