Ansante sana baba @mshana jr

Ansante sana baba @mshana jr

Mkuu unachokizungumza ni sahihi pia uanzishwaji wa nyuzi hua unategemea muanzishaji yuko katika hali gani yakimawazo unakuta mwingine kujinyonga mwingine migegedo mwingine upigaji vyuma hatari
Huyu jamaa Mshana Jr ni mtu tofauti sana yaani kifupi ukimfuata Pm kumuomba ushauri wa jambo flani huwa hana zile habari za kitapeli wala kuomba atumiwe pesa eti ndo akushauri kama anavyofanyaga jamaa flani hivi wa kwenye ule uzi wa meditation.
Mie binafsi kuna kitu kaka Mshana aliwahi kunishauri siku za nyuma kidogo sikufuatilia ila hivi karibuni nimegundua kulikuwa na maana kubwa sana kwenye maisha yangu mpaka natamani sana siku moja nionane naye live nimshukuru.
Ukweli Jf imejaa wapigaji wengi sana ambao huanzisha mada flani ambazo zikikugusa ukazama Pm ili upate maelekezo vizuri unaishia kuombwa hela
Ila kwa Mshana Jr yeye ni tofauti sana na wengine.
Mungu ambariki sana huyu jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naniliu yupi huyo embu nkumbushe aisee ....
Halafu ukiacha huyu aliekutukana kuna mmoja anakupenda kufaa... naona una kismat cha corona itakua
Sent using Jamii Forums mobile app

Si yule wa kipindi kileee 😂😂

Huyo mmoja ni nani anayenipenda namna hiyo?
 
Si yule wa kipindi kileee [emoji23][emoji23]

Huyo mmoja ni nani anayenipenda namna hiyo?
Ha ha ha ha kumbe yule si nilishakwambia kifurush changu cha week tu tayar kimeisha....

Kuna mmoja jana nmepita sehem nmekutana nayo nkasema huyu mjukuu wa Asprin naona kaanza mwaka vizur...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa Mshana Jr ni mtu tofauti sana yaani kifupi ukimfuata Pm kumuomba ushauri wa jambo flani huwa hana zile habari za kitapeli wala kuomba atumiwe pesa eti ndo akushauri kama anavyofanyaga jamaa flani hivi wa kwenye ule uzi wa meditation.
Mie binafsi kuna kitu kaka Mshana aliwahi kunishauri siku za nyuma kidogo sikufuatilia ila hivi karibuni nimegundua kulikuwa na maana kubwa sana kwenye maisha yangu mpaka natamani sana siku moja nionane naye live nimshukuru.
Ukweli Jf imejaa wapigaji wengi sana ambao huanzisha mada flani ambazo zikikugusa ukazama Pm ili upate maelekezo vizuri unaishia kuombwa hela
Ila kwa Mshana Jr yeye ni tofauti sana na wengine.
Mungu ambariki sana huyu jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Ila usije ukakosea ukamkaribisha nyumbani... huyu mpare ni mkware balaa. Mtu pekee wa kike ambaye Mshana Jr hawezi kumgegeda ni mama yake mzazi
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji848][emoji30][emoji30]wee mchaga una laana sio bure[emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom