Ansbert Gurumo ahoji kwa nini Lissu atumie kibwagizo cha CCM wakati akitangaza kugimbea uenyekiti "tuna imaniii.... na Lissu... Oyaa... "



Analysis ambayo ni rubbish. Yaani Lissu anaposema ukweli ulio wazinasema anafadhiliwa wa na CCM. Ni aibu sana kwa mtu kutumia MB zake kuandika utumbo huo.
 
Chawa wote wataibuka na vioja kila baada ya lisaa, tunaendelea kuwasoma tu! Kwamba hata hizi nyimbo za kitoto tulizoimba primary miaka ya 80's nazo zina hati miliki ya ccm? Kweli uchawi upo
 
Chawa wa Mbowe tulieni , Lissu kanyaga twende , hoja za kitoto hazina nafasi
 
Lisu tushamjua anatumika na CCM kuvuruga chama sijui kwanini kamati kuu inamvimilia
 
Huyo Gurumo kwa hojaji zake hizo anaonekana ni pro Mbowe moja kwa moja, yaani chaga dema.

Hilo ni tatizo, wanamageuzi kuanza kukojolea nia za mabadiliko mapema namna hii.
 
Lisu tushamjua anatumika na CCM kuvuruga chama sijui kwanini kamati kuu inamvimilia
Kamati kuu hiyo Mbuzi ,siko zote Msomi Lissu anatoka hadharani na anawasuta mcd na hakuna hata wa kuthubutu kuhoji ndani ya kamati kuu.Huyu ndio Msomi Tundu Lissu
 
Kumleta Shehe Ponda mkuu wa maulamaa ukumbini siyo jambo rahisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Taasisi ni Bakwata tu, hayo mengine hamna kitu, sijui ulamaa, hovyo tu
 
Kamati kuu hiyo Mbuzi ,siko zote Msomi Lissu anatoka hadharani na anawasuta mcd na hakuna hata wa kuthubutu kuhoji ndani ya kamati kuu.Huyu ndio Msomi Tundu Lissu
Sumu haionjwi nimefuatilia comments zako nyingi humu unamjaza upepo humu huyo mgonjwa wa akili.
 
Hivi mnamjua kiongozi wa chadema aliopokea pesa za Abdul? Lissu akiweka mambo adharani hichi chama kitakufa. Watu acheni mihemko na ili kwenda mbele tukubali mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…