Tetesi: Ansbert Ngurumo: Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa CCM

Status
Not open for further replies.
Mmmh sidhani....yaani wanakikana chama??

Too much at stake....

Everyday is Saturday............😎
 
Inamaana wao hawajui kama kujitoa kwao kutafanya washughulikiwe? Endeleeni kujipa moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu P. unamsubili Polepole au Musiba? Polepole akijitokeza na barua ya tarehe 5/2 kuwafukuza hawa wazee uanachama ndiyo utaamini? Musiba akijitokeza tena akisema hawa waezee ni virus ndani ya chama utakubali?. Mungu ibari Tz, Mungu ibariki Afrika.

On a serious note, kama hawa wazee wako safi, na kazi yao imetukuka, matatizo ya nchi yetu yamesababishwa na nani?
Sio hao wawili tu, ila kuna hawa wanaojiita vigogo, wamechangia sana kuharibu nchi yetu kwa ubinafsi wao. Acha wasambaratishane. It might bring discipline and respect, when people holding public positions
 
Kina lowasa wako CCM au hujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za ccm za ajabu Sana! Leo dk slaa au waitara Ni bora Sana kuliko kinana!
 
Acha uongo
 

Reading between the lines ni wazi mleta mada umekuwa planted na kikundi cha Membe, Makamba, Kinana na like minds wenzao ambao wamepania kuhakikisha JPM anakuwa one term President - hilo ndilo lengo lao kuu!! Taarifa zinazo sambazwa kwenye Social media na wanao jihita "SAUTI KUBWA" habari hizo ni za kutunga tu, watu wachache wanajifungia kwenye chumba wanatunga hadithi za kufikirika tu ndio maana wanazuga wasomaji kwa kudai taarifa zao wanazipata kutoka kwa mjumbe wa kikao cha kuhoji akina Membe,Kinana na Makamba eti mjumbe huyo hataki jina lake lijulikane, mara sijui taarifa zimepatikana kutoka kwa Professa ambaye hana jina, taarifa nzima na ufafanuzi unaonekana ni wa kitoto kabisa.

Kundi hili linalo pania kumu - undermine JPM linakuwa driven na jeuri ya pesa hicho ndicho kinawafanya wajiamini sana na kujaribu ku-black mail Chama tawala, kama wanataka kujiondoka CCM waondoke zao - Uongozi wa CCM unapashwa kuwa imara na msimamo thabati, after all as I said CCM can afford to do without the trios. Serikali hisiruhusu wasaliti kutumia uwezo wao kifedha kueneza propaganda za kutunga tu kwa kutumia mbinu za misinformation and disinformation lengo likiwa ni kutaka kutoa impression ili CCM ionekana hiko mbioni kugawanyika vipande vipande kama ilivyo kuwa KANU ya Kenya, hicho ndicho wanacho lenga.

Narudia kisisitiza kwamba Genge hili halina nia njema na mstakabali wa Taifa letu hata kidogo, in other words si watu wa kuchukulia lightly na wanaonekana wako highly organised kutaka kuvuruga Chama,JPM na Taifa kwa ujumla.
 
Nani sio fisadi ccm
 
Wewe ccm sasa hivi kuna uongozi au vichekesho.
 
Lowasa alidhalilishwa na Magufuli mpaka akasalimu amri. Sasa ilikuwa zamu ya Makamba na Kinana, wao wameona isiwe tabu. Wamuivua nira ya ccm
 
Aya ya 4 na ya 11 zinakinzana flani hivi. Muda utanena.
 
Drama hizi za ccm sio za kuamini sana.. Kuna wakati hao wazee wakiwa madarakani walikuwa untouchables lakini pia wana tuhuma lukuki kama viongozi wengine wote wa ccm... Tusubiri yatokanayo

Jr[emoji769]

Mwambie Mbowe na Zitto wasiende kwa pupa...!!
Busara iwatangulie...
This time shughuli inaweza kuisha mapema kabisa!
 
Kuna mambo mengi ya kichama hayafahamiki.
 
Lowasa alidhalilishwa na Magufuli mpaka akasalimu amri. Sasa ilikuwa zamu ya Makamba na Kinana, wao wameona isiwe tabu. Wamuivua nira ya ccm

Lowassa was a very weak and soft soul to come to opposition politics!!
 
Utaamini tu pale utakapomuona Jiwe aking'oka na kurudi zake CHATLE kwa matusi na hofu kuu.

Sijui utakuwa ukimshadadia nani wakati huo!
Maanake wewe ndiye mpiga filimbi wa Stone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wazee na wengine wengine wapumzike wabakie washauri tu, kuendelea kuwa kwenye media mara kwa mara madhara yake ndio kama haya.
 
Makamba alitabiri ubatizo wa moto, umetimizwa kwake....Na sifa kuu ya nabii ni kile alichotabiri kutimia..
NABII MAKAMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…