Tetesi: Ansbert Ngurumo: Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, wamejivua uanachama wa CCM

Status
Not open for further replies.
Duh!, kama ni kweli, hii ni kali ya mwaka, ila mimi ni mmoja katika kundi la kina Tomaso, siamini mpaka CCM wenyewe waseme!.
P
Tena ni kweli aloo!!
Hata Mkapa na JK wakirudisha kadi bado chama letu halitetereki.

JPM ni mwisho wa maarifa.
Anazo mbinu zaidi ya elfu moja za kuimarisha chama cha mapinduuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ishu ni serikali au chama?
 
Mkuu hujawahi sikia msemo unsema , "A week is a very long time in politics". Aya zote mbili zinaweza kuwa sahihi. Inaweza wiki moja alipanga na wiki iliyofuate akapangua
 
Mapimbi utawajua tu, kwani ccm ndiyo taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Propaganda at work
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una ushahidi wa wizi walioufanya?
 
Huyu Ansbert Ngurumo ni kanjanja tu ... hanna ukweli
 
Mtu mmoja aliwahi sema "Sometimes revolutions eat their own children"

Kama ni kweli, wapewe pole, hasa hasa aliyesema "tutabatizwa kwa moto"
 
Hakuwa weak..niseme alikuwa na tamaa. Tamaa yake iliizidi akili akashindwa kufanya maamuzi sahihi wakati alipotakiwa kufanya hivyo.

Ndo weaknesses zenyewe...
Hata 'aliposhinda' bado aliendelea kuwa very weak!
 
Tena ni kweli aloo!!
Hata Mkapa na JK wakirudisha kadi bado chama letu halitetereki.

JPM ni mwisho wa maarifa.
Anazo mbinu zaidi ya elfu moja za kuimarisha chama cha mapinduuzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo la JPM ni kuwa anaiuza nchi kwa Kagame...
Ajenda zote za Kagame dhidi ya TZ zinatekelezeka kirahisi rahisi tu...!!
 
Haohao unaowabeza ndio walio mbeba huyo mtuwako, kwenye 10 wanaandika 10000 ili mradi huyo apite kwa halali au kwa haramu!
 
Drama hizi za ccm sio za kuamini sana.. Kuna wakati hao wazee wakiwa madarakani walikuwa untouchables lakini pia wana tuhuma lukuki kama viongozi wengine wote wa ccm... Tusubiri yatokanayo

Jr[emoji769]
Alafu mzee mmoja mwizi wa twiga wetu hatujasahau file lake tunalo
 


Unachekesha wewe, Mwenyekiti wa CCM ni Raisi na Amiri Jeshi mkuu was JMTZ, na Raisi wa JMTZ ni Raisi mpaka pale Raisi mwingine atakapoapishwa, sasa huyo ni mtu kubagwa? Unaota.
 
Viongozi wote hata Uncle anatuhuma suala ni kubadli katiba ili baada awamu kuisha wasiwe na kinga ya kushitakiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…