Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

Hujui kitu wewe masikini , kapuku usiye mfano , tumemrekodi jiwe akimbembeleza Mnyika kuhamia ccm na muda si mrefu tunaiachia hewani , liwalo na liwe ! utaficha wapi sura yako ?
Wasalimie kajunjumele....usisahau kokoa ukija ufipa!
 
Duh....!

Huu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?

Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"
Yule aliyepo rikizo chato yeye anahusika na uchumi wa china eee?
 
Hakuna kiongozi wa Chadema wa kupigiwa magoti na PhD .....Mpango
Lowassa hakupigiwa magoti itakuwa huyo diwani!
Hakupigiwa magoti !!. Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. We endelea kutumikishwa. Uliona mapikezi yake ?!

Odhis *
 
Asante mkuu kwa taarifa wananchi tunajua miradi inapelekwa kwenye majimbo kwa upendeleo uccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili inchi iendelee inahitaji siasa safi, elimu bora na uongozi bora. Vyote hatuna. Watu waliweka matumaini kwa Magufuli. Kawaangusha vibaya. Sarakasi tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…