Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hakuna kiongozi wa Chadema wa kupigiwa magoti na PhD .....Mpango
Lowassa hakupigiwa magoti itakuwa huyo diwani!
PhD za bongo nazo unaweza ukasimama mbele ya wanaume na kutamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kiongozi wa Chadema wa kupigiwa magoti na PhD .....Mpango
Lowassa hakupigiwa magoti itakuwa huyo diwani!
Wasalimie kajunjumele....usisahau kokoa ukija ufipa!Hujui kitu wewe masikini , kapuku usiye mfano , tumemrekodi jiwe akimbembeleza Mnyika kuhamia ccm na muda si mrefu tunaiachia hewani , liwalo na liwe ! utaficha wapi sura yako ?
Yule aliyepo rikizo chato yeye anahusika na uchumi wa china eee?Duh....!
Huu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?
Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"
Hakupigiwa magoti !!. Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. We endelea kutumikishwa. Uliona mapikezi yake ?!Hakuna kiongozi wa Chadema wa kupigiwa magoti na PhD .....Mpango
Lowassa hakupigiwa magoti itakuwa huyo diwani!
endelea kuropoka tukuwekee ukweli kudadeki !Wasalimie kajunjumele....usisahau kokoa ukija ufipa!
Hali ni mbaya chief mpaka kumbebea Lissu gobole sio mchezoHakuna kiongozi wa Chadema wa kupigiwa magoti na PhD .....Mpango
Lowassa hakupigiwa magoti itakuwa huyo diwani!
Weka......unatetemeka nini?!endelea kuropoka tukuwekee ukweli kudadeki !
Hata lugola alimtukana sana profesa asad pale bungeni lkn mwisho wasiku ukweli ukajulikanaBadala ya kuhudumia mmeo anayekufadhili huko Ulaya ,umekalia kutunga na kuvurumsha uzushi kwenye mitandao ya kijamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulivo mzowe lugola alivo mkashifu na kumtukana profesa asad pale bungeniUongo mtupu!! Huyo tumeshamzoea kwa uongo!
Asante mkuu kwa taarifa wananchi tunajua miradi inapelekwa kwenye majimbo kwa upendeleo uccmWaziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:
Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.
Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.
Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.
Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.
Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”
RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.
Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.
Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.
Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.
Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.
Ccm wanaweza hata kubong'oa ili waokoe teuzi zao hali ni ngumuYaaani hapo kwa RC na DC kupiga goti ndipo sijaelewa kabisa,yaaani kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dada kaweYaani katibu Mkuu aanze kuhangaika na meya ambaye October 2020 anaenda kubwagwa
Ila kweli,Labda mkuu kawambia kieleweke,sasa hofu yakushindwa kumshawishi inaweza pelekea kubong'oa kweli.Ccm wanaweza hata kubong'oa ili waokoe teuzi zao hali ni ngumu
Tumefikia kwenye siasa za kiimla ndani ya muongo mmoja tu.Ila kweli,Labda mkuu kawambia kieleweke,sasa hofu yakushindwa kumshawishi inaweza pelekea kubong'oa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app