Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

Kindole unaweza tusaidia kumuuliza Ngurumo, ni lini na mazingira yapi nchi itajikomboa kwa mbinu chafu?
 
M niliskia hii taarifa akiitoa kalumuna mwenyewe kwa baadhi ya watumishi wa manispaa juzi kati,sjui kuna ukweli ndani yake au vipi,halaf bahat mbaya kabisa ni kwamba ni kweli huyu jamaa ameshatangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la bukoba mjini na ana asimilia 99 kuchukua maana wahaya wao kwa wao wanachuki binafsi.Ikumbukwe kuwa huyu jamaa alianzia ccm akakatwa jina mwaka 2015 ndipo akahamia cdm
 
Duh....!

Huu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?

Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"
Fatuma, hii mipango watu huwa wanafanya mule ndani ya ofisi, siyo pale nje barabarani Lumumba st unaposhinda kutwa kuuza vikoi na kofia za njano na kijani!
 
This is tea,

Yaani mtu yuko huko kwenye korona lakini anasimulia mambo ya dodoma kama vile alikuwepo, tafuta manyumbu uwadanganye.
 
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Mwezi uliopita Majaliwa alipokuwa Tanga Waitara alimwambia mbunge wa Tanga mjini kwamba dirisha la usajili ccm halijafungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Kwa hiyo wewe mwenye Akili mbilikimo unadhani wanaounga juhudi kwa sasa wanaamua wenyewe au wanarubuniwa? CCM ilishakosa nguvu ya hoja imebaki mauzo na vitisho tu na bahati nzuri wananchi wameshabauni mchezo ndo maana uungaji wa juhudi siku hizi sio habari kama zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo rais huwa anabariki hayo maushenzi ?
 
Kwani fedha za miradi ya halmashauri au manispaa si huwa zinapelekwa kwa Mkurugenzi? Alafu baraza la madiwani ndio wanasimamia na kuhakikisha miradi iko sawa? Hii scenario ya waziri wa fedha kuwasiliana na Meya inanitia shaka.
 
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Mbona wa Dar na Iringa ni lala salama hiihii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
ana dushe panzi wewe...
 
Aisee mipango inaanzia mbali mno. Rc na DC ndio masharti wamepewa kutrkeleza kazi zao. Duhh naona Rwanda ya skina Lt Kato, Lt colnel, RPFs ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…