Buku 7 zimerudi hongereniThis is tea,
Yaani mtu yuko huko kwenye korona lakini anasimulia mambo ya dodoma kama vile alikuwepo, tafuta manyumbu uwadanganye.
USIKUTE WEWE NDO MPANGO MAANA MKIANZISHAGA MAMBO YENU YA KIBWEGE HAMCHELEWI KUJA KUJIHAMI HUKUHuu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?
Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"
Anaweza kuhangaika na nini kwenye kuporomoka kwa uchumi wa Dunia?,Duh....!
Huu utakuwa uzushi Dr Mpango aache kuhangaika na uchumi unaoyumba dunia nzima aanze kumrubuni Meya ahamie CCM?
Hizi ni siasa za kiwango cha " SIFURI"
Unadhani kukubali kuunga juhudi ni kuwa na kitu au kutokuwa nacho? kwani wabunge walokubali kuunga juhudi unadhani hawana kitu? unadhani meya wa iringa alipokataa mil. 200 yeye ni tajiri sana? Ndugu ukikubali tamaa ikutawale hata uwe bilionea utanunuliwa kwa mil.hata 2, lakini kama unaijua thamani yako hununuliki hata kama umelala njaa na SI LAZIMA UELEWE SASA HIVIMeya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Angelisifia JHIWE nawe ungemjaza masifaa ila.........Badala ya kuhudumia mmeo anayekufadhili huko Ulaya ,umekalia kutunga na kuvurumsha uzushi kwenye mitandao ya kijamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:
Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.
Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.
Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.
Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.
Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”
RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.
Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.
Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.
Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.
Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.
Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Tumia vizuri akili yako Dada, hujiulizi ni kwanini meya wa Iringa baada ya kukataa ofa ya dau kutoka ccm ndo akaanza kukutana na figisu katika dakika hizi la lala salama??.Meya amebakiza siku ngapi asiwe Meya tena halafu namfahamu hana chochote cha maana wakati mwingine tumieni akili. Kwa nini CCM wasimtafute mapema waje wamtafute siku za lala salama??
Mkuu kama huelewi siasa za Bukoba bora ukae kimyaaliyeleta taarifa ndio Muhaya nshomile kabisa,
Katibu Mkuu wa Chama ndio akapige magoti
ukisikia mtu anaitwa mujunwa akili zake ni za kujisifu na kujiona bora stand tu mpaka mututangazie, mbona tetemeko na magonjwa kibao hamkujisifu, mnajisifia upuuzi wa udiwani eti kaombwa akashindane na Kagasheki, mara Rwakatare, acheni majigambo jengeni stand
Hajawahi kuongea uongoBadala ya kuhudumia mmeo anayekufadhili huko Ulaya ,umekalia kutunga na kuvurumsha uzushi kwenye mitandao ya kijamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna mtu ka hack account yako! Tumewazoea makamanda kwa kutumia matusi na kashfa sana katika kujenga hoja zao ila sikuwahi kuona popote na wewe ukitumia mfumo huu.. Ungetuwekea tu hiyo sauti ingeongea mengi na ya kutosha kuliko haya uliyoandika. Tunaomba tu huo ushahidi wa sauti isije kuwa unatudanganya maana siku za hivi karibuni umekuwa na habari za uongo uongo nyingi..Hujui kitu wewe masikini , kapuku usiye mfano , tumemrekodi jiwe akimbembeleza Mnyika kuhamia ccm na muda si mrefu tunaiachia hewani , liwalo na liwe ! utaficha wapi sura yako ?
watanzania tumekuwa kama nyanyaa, CCM wanatufanya kama serembua lani, wanafanaya biashara ya watu, hi CORONAWaziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:
Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.
Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.
Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.
Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.
Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”
RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.
Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.
Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.
Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.
Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.
Abafini bakulazage kileki?Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi:
Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda.
Kufika ofisi ya Waziri, akakutana na Mkuu wa Mkoa Kagera na Mkuu wa Wilaya Bukoba.
Wakaanza kumbembeleza kuwa ameitwa kupewa hela ya miradi ya Stendi mpya na Soko.
Walipoingia ndani wakamkuta Bashiru. Waziri Mpango akaanza. Tumetenga hela kwa ajili ya miradi muhimu ya Bukoba. Akamsifia Chifu jinsi alivyo mtu makini. Ndipo Bashiru akaanza kuwa Mh Rais ana imani kubwa na Chifu. Kwamba anamuomba akubali kuunga mkono juhudi.
Kwamba njia ya kuwa waziri ni nyeupe. Miradi hiyo mikubwa fedha tayari. Akiingia CCM, wote wanaotangaza nia watanyamazishwa mara moja. Balozi Khamisi Kagasheki atafukuzwa kwenye chama kwa sababu ni mpinzani. Chifu akadakia, sisi wapinzani hatumtambui kuwa ni mwenzetu. Bashiru akasema, “Balozi ni wa ACT.”
RC na DC wakapiga magoti mbele ya Chifu kumsihi aunge mkono juhudi. Bashiru akataka kupiga magoti Chifu akamzuia. Ndipo Chifu akawaambia kuwa hawezi kufanya hicho kitu. Akawaambia yeye ni mseminari na anaheshimu viapo. Akawapa ofa, kuwa yuko tayari aache siasa kuliko kuunga mkono juhudi.
Bashiru akasema Bukoba ni kwao na amehakikisha fedha inatengwa lakini sasa Chifu amewaangusha wana Bkb.
Mkutano ukavunjika. RC na DC wakachukia kweli.
Awali, katika maandalizi, walikuwa wameshirikisha wabunge weote wa CCM kutoka Kagera. Anna Tibaijuka wa Muleba Kusini na Diodorus Kamala wa Nkenge waligoma. Charles Mwijage wa Muleba Kaskazini hakuwepo Dodoma wakti Chifu anafika. Innocent Bashungwa wa Karagwe alishiriki mipangi lakini hakuhudhuria kikao cha Dodoma.
Msione watu wanajidai, msione wabunge na madiwani wa CHADEMA wanapukutika. Mipango inaanzia mbali.
Tena huyo Brig Gen, usimpe hadhi ambayo unaifikiria. Kuna mambo huwezi hata kuyafikiria kwake!