Ansbert Ngurumo: CHADEMA Kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”

Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.

“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.

Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.

“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.

Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).

Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”

Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.

“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
See translation
 
No reform no election ilianzishwa kipindi cha utawala wa mbowe kwanini lawama anapewa lisu Tanzania ni nchi ya ajabu kumbue ile no Reforms no election ilikuwa tu na lengo la kutingisha kiberiti haikuwa genuine
 
Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”

Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.

“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.

Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.

“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.

Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).

Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”

Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.

“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
See translation
Huyo Mhaya ni mjuaji na mnafiki sana. No reform No election ilikuwa ni slogan ya Makengeza kupiga hela ya CCM .
Pumbavu zake na Mbowe wake.
 
Ubongo wa nyumbu ni mdogo sana kuelewa haya.
 
Huyu bwana si mhandishi wa habari kama wengine? Ethics zinataka awe neutral. Anachofanya anafanya kwa maslahi yake au ya nani?
 
Huyo Mhaya ni mjuaji na mnafiki sana. No reform No election ilikuwa ni slogan ya Makengeza kupiga hela ya CCM .
Pumbavu zake na Mbowe wake.
Yaani mimi sielewi mtu anasema viongozi wa chadema hawafuati ushauri ila hali no reform no election imepitishwa na halmshauri kuu ya chama kipindi cha mbowe

Haya yote yana prove chadema walikuwa wanaanzisha project za kisiasa kwa lengo la kutingisha kiberiti ili wapandiwe dau
 
Chadema wamekuwa wang'wana sana kwa kuendelea kushiriki uchaguzi usiyokuwa na mwelekeo wa demokrasia bila matokeo chanya. Hivyo mimi nawashukuru sana kwa wao kukaa pembeni ili uchaguzi uendelee kwani yawezekana ushiriki wao ndiyo ilikuwa inakwamisha mchakato wa kidemokrasia.

Baada ya uchaguzi nina imani wengine watazidi kuchora mstari wa demokrasia kwenye chaguzi zetu. Kwasasa anaewalaumu chadema atakuwa ni mlafi wa uongozi anaependa kuona waTanzania wengi damu zao zikimwagwa kwasababu ya uchaguzi.
 
anaepigania chadema ni kichaa, unampigania mtu ambae anawaza mda wote kushinda uchaguzi badala ya matatizo ya nchi
 
Hoja dhaifu sana na sikuwahi kuwaza kuwa inaweza kuandikwa na Mwandishi mahiri na mbobevu kama huyu.
 
Mwandishi chupil chupul ametoa mifano ya kijinga jinga, andiko la kujipendekeza
 
Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”

Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.

“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.

Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.

“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.

Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).

Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”

Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.

“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
See translation
Sasa hivi wanajidanganya kuwa uchaguzi utaogezwa mbele ili Chadema waweze kugombea. Kuwa yote yanatokana na shinikizo la nchi za magharibi zinazoona kuwa bila Chadema kushiriki hamna uchaguzi.

Amandla...
 
Chadema wamekuwa wang'wana sana kwa kuendelea kushiriki uchaguzi usiyokuwa na mwelekeo wa demokrasia bila matokeo chanya. Hivyo mimi nawashukuru sana kwa wao kukaa pembeni ili uchaguzi uendelee kwani yawezekana ushiriki wao ndiyo ilikuwa inakwamisha mchakato wa kidemokrasia.

Baada ya uchaguzi nina imani wengine watazidi kuchora mstari wa demokrasia kwenye chaguzi zetu. Kwasasa anaewalaumu chadema atakuwa ni mlafi wa uongozi anaependa kuona waTanzania wengi damu zao zikimwagwa kwasababu ya uchaguzi.
Basi kibibi aapishwe maisha yaendelee kama Yanga jana
 
Back
Top Bottom