Ansbert Ngurumo: CHADEMA Kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani

Yaani mimi sielewi mtu anasema viongozi wa chadema hawafuati ushauri ila hali no reform no election imepitishwa na halmshauri kuu ya chama kipindi cha mbowe

Haya yote yana prove chadema walikuwa wanaanzisha project za kisiasa kwa lengo la kutingisha kiberiti ili wapandiwe dau
Hapa mheshimiwa raisi mtarajiwa umeongea point. Kuna muda huwa unafuka moshi sana.
 
Alikimbia nchi wakati wa JPM Sasa anataka kurudi hivyo anatafuta mbeleko ya ccm.
 
Huyu pimba anataka kusema kwamba "NRNE" ni makosa. Mjinga sana huyu.

Nawapongeza sana Chadema kwa msimamo huu. CCM sio wa kuwachekea, ni kubanana nao. Ni kushika hapo hapo.
 
Sasa ndio nimeelewa kumbe magu alikua sahihi kumshughulikia huyu pimbi mpaka akakimbia nchi huyu ni sehemu ya waandishi malayamalaya Nyerere aliowasema
 
20250705_160428.jpg

Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”

Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA @ChademaTZ2 inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.

“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.

Ngurumo Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.

“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.

Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).

Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”

Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.

“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
 
View attachment 3395064

Huyu kilaza njaa itamuua
 
Huyu ngurumo aliandika makala kwenye mwanahalisi kuwa,

Watu walilipwa pesa nchi nzima kumlilia Magu Ili aonekane kwamba allipendwa.

Tangu siku hiyo nilimtilia mashtaka utimamu wake na msimamo wake binafsi Katika fikra huru.
 
Shida ya Chadema ya sasa ndio hii,wanataka kila wanachosema watu waseme ndio,wanajiona wana akili kuliko yeyote.Ni madkIteta ambao wakiipata nafasi tutaomba poo
Kuna changamoto kidogo kwenye suala zima la kupokea kukosolewa.
 
Shuka litakumbukwa kumeku
Shuka litakumbukwa kumekucha

Shuka litakumbukwa kumekucha
Kwani nyie Wana ccm hata kwa kutumia akili ndogo ya kuvukia barabara mnaona mfumo wa uchaguzi upo huru kiasi cha kutohitaji mabadiliko!? Rais ateue kila mtu anayehusika na mustakabari wa uchaguzi alafu watu makini wakubali tu kienyeji!!! Labda akina Zitto kabwe wenye ajenda zao binafsi.
 
View attachment 3395064

Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”

Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA @ChademaTZ2 inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.

“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.

Ngurumo Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.

“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.

Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).

Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”

Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.

“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
CHADEMA hawatakuja kujilaumu kwa sababu hawajakosea kabisa. Huo utabiri wa ngurumo hautakuja kuotokea, ndio maana alimkimbia Magu kwa kuandika vitu vya kufikirika ambavyo vilikuwa havisaidii nchi.
Move ya CHADEMA ya NRNE ni ya kisayansi sana ambayo hata CHADEMA wenyewe watakuja kujiogopa kwamba ilikuwaje wakafika katika level hiyo ya juu ya kufikiri na kuja na mpago huo.
 
Back
Top Bottom