Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
No reform no election ilianzishwa kipindi cha utawala wa mbowe kwanini lawama anapewa lisu Tanzania ni nchi ya ajabu kumbue ile no Reforms no election ilikuwa tu na lengo la kutingisha kiberiti haikuwa genuineMwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”
Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.
“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.
Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.
“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.
Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).
Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”
Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.
“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
See translation
Huyo Mhaya ni mjuaji na mnafiki sana. No reform No election ilikuwa ni slogan ya Makengeza kupiga hela ya CCM .Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”
Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.
“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.
Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.
“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.
Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).
Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”
Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.
“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
See translation
Ubongo wa nyumbu ni mdogo sana kuelewa haya.Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”
Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.
“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.
Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.
“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.
Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).
Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”
Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.
“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
See translation
Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”
Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.
“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.
Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.
“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.
Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).
Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”
Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.
“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
See translation
Ni kauli ya mwenyekiti? Ukimaanisha nini? Unaonekana bado una maumivu ya kumpoteza mfadhili wako....(unamfahamu)."kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti,
Yaani mimi sielewi mtu anasema viongozi wa chadema hawafuati ushauri ila hali no reform no election imepitishwa na halmshauri kuu ya chama kipindi cha mboweHuyo Mhaya ni mjuaji na mnafiki sana. No reform No election ilikuwa ni slogan ya Makengeza kupiga hela ya CCM .
Pumbavu zake na Mbowe wake.
anaepigania chadema ni kichaa, unampigania mtu ambae anawaza mda wote kushinda uchaguzi badala ya matatizo ya nchiChadema wamekuwa wang'wana sana kwa kuendelea kushiriki uchaguzi usiyokuwa na mwelekeo wa demokrasia bila matokeo chanya. Hivyo mimi nawashukuru sana kwa wao kukaa pembeni ili uchaguzi uendelee kwani yawezekana ushiriki wao ndiyo ilikuwa inakwamisha mchakato wa kidemokrasia.
Baada ya uchaguzi nina imani wengine watazidi kuchora mstari wa demokrasia kwenye chaguzi zetu. Kwasasa anaewalaumu chadema atakuwa ni mlafi wa uongozi anaependa kuona waTanzania wengi damu zao zikimwagwa kwasababu ya uchaguzi.
Ngurumo uwa anatumika mpumbavu mpumbavuNgurumo sianzishe chama chake mbona hakinali kabisa kama God Father wake alishindwa na alikua na mambo ya hovyo na aibu
Si aende kwa wenzake Chaumma.N
Ngurumo uwa anatumika mpumbavu mpumbavu
Li Chumma lao limebuma. Ameshindwa kuwashauri anatafuta nini Chadema?Huyu bwana si mhandishi wa habari kama wengine? Ethics zinataka awe neutral. Anachofanya anafanya kwa maslahi yake au ya nani?
Sasa hivi wanajidanganya kuwa uchaguzi utaogezwa mbele ili Chadema waweze kugombea. Kuwa yote yanatokana na shinikizo la nchi za magharibi zinazoona kuwa bila Chadema kushiriki hamna uchaguzi.Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”
Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.
“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.
Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.
“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.
Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).
Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”
Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.
“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
See translation
Basi kibibi aapishwe maisha yaendelee kama Yanga janaChadema wamekuwa wang'wana sana kwa kuendelea kushiriki uchaguzi usiyokuwa na mwelekeo wa demokrasia bila matokeo chanya. Hivyo mimi nawashukuru sana kwa wao kukaa pembeni ili uchaguzi uendelee kwani yawezekana ushiriki wao ndiyo ilikuwa inakwamisha mchakato wa kidemokrasia.