Hapa mheshimiwa raisi mtarajiwa umeongea point. Kuna muda huwa unafuka moshi sana.Yaani mimi sielewi mtu anasema viongozi wa chadema hawafuati ushauri ila hali no reform no election imepitishwa na halmshauri kuu ya chama kipindi cha mbowe
Haya yote yana prove chadema walikuwa wanaanzisha project za kisiasa kwa lengo la kutingisha kiberiti ili wapandiwe dau
Huyu kilaza njaa itamuuaView attachment 3395064
Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”
Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA @ChademaTZ2 inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.
“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.
Ngurumo Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.
“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.
Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).
Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”
Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.
“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
Ni vizuri akajibiwa hoja zake lakini. Tusikimbilie kumtuhumu kila mtu ni mamluki!!Mamuluki .!!.
CHADEMA ni chama Cha Wananchi !!
Shida ya Chadema ya sasa ndio hii,wanataka kila wanachosema watu waseme ndio,wanajiona wana akili kuliko yeyote.Ni madkIteta ambao wakiipata nafasi tutaomba pooNi vizuri akajibiwa hoja zake lakini. Tusikimbilie kumtuhumu kila mtu ni mamluki!!
Kuna changamoto kidogo kwenye suala zima la kupokea kukosolewa.Shida ya Chadema ya sasa ndio hii,wanataka kila wanachosema watu waseme ndio,wanajiona wana akili kuliko yeyote.Ni madkIteta ambao wakiipata nafasi tutaomba poo
NRNE. Tanzania hakuna uchaguzi hufanyika. Amwulize Mh: Nape. Kuna jibu gani tena unataka mkuu.Ni vizuri akajibiwa hoja zake lakini. Tusikimbilie kumtuhumu kila mtu ni mamluki!!
Shuka litakumbukwa kumeku
Shuka litakumbukwa kumekucha
Kwani nyie Wana ccm hata kwa kutumia akili ndogo ya kuvukia barabara mnaona mfumo wa uchaguzi upo huru kiasi cha kutohitaji mabadiliko!? Rais ateue kila mtu anayehusika na mustakabari wa uchaguzi alafu watu makini wakubali tu kienyeji!!! Labda akina Zitto kabwe wenye ajenda zao binafsi.Shuka litakumbukwa kumekucha
CHADEMA hawatakuja kujilaumu kwa sababu hawajakosea kabisa. Huo utabiri wa ngurumo hautakuja kuotokea, ndio maana alimkimbia Magu kwa kuandika vitu vya kufikirika ambavyo vilikuwa havisaidii nchi.View attachment 3395064
Mwandishi wa habari mwandamizi, Ansbert Ngurumo, ameibua mjadala mpana kuhusu mwenendo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akikitahadharisha dhidi ya kile alichokiita “ubinafsi wa kitaasisi” na “ukanushaji wa makosa ya wazi.”
Kupitia andiko lake linalosambaa mitandaoni, Ngurumo amesema kuwa CHADEMA @ChademaTZ2 inaelekea kutoonesha dalili za kuvumilia upungufu wa ndani na kushindwa kujisahihisha, hata pale ambapo ushahidi na hoja dhahiri zinawekwa mezani na umma au wanachama wake wenyewe.
“Chama kinafanya kila jitihada kukwepa lawama hata kwa mambo ambayo kimekosea hadharani kwa kauli au matendo. Hakiamini kwamba kinaweza kukosea,” ameandika.
Ngurumo Ngurumo ameeleza kuwa hali hiyo ya kukataa kukosolewa au kupotosha mitazamo ya wakosoaji ni hatari kwa ustawi wa chama chochote kinachotaka kuaminiwa na wananchi.
“Hata pale kinapokosolewa kwa mifano hai na ushahidi, kama katika hili la "kuzuia uchaguzi," ambayo ni kauli ya mwenyekiti, kinakana. Viongozi hawataki kukiri kuwa walikosea au wanakosea”, ameongeza.
Akiwa na mtazamo wa kisayansi na wa kitaasisi, Ngurumo amefafanua kwamba mwenendo huo unaashiria hali ya organizational narcissism (ubinafsi wa taasisi), institutional denial (ukanushaji), na institutional manipulation (udanganyifu wa kimfumo).
Katika maelezo yake, amesisitiza kuwa hali hiyo ni kiashiria cha mtafaruku wa kiuongozi au kiutawala, na kwamba mashabiki wa chama hicho wanajitahidi “kutafuta huruma ya jamii kwa kupotosha maoni ya wakosoaji wao.”
Ngurumo anaonya kuwa endapo hali hiyo itaachwa bila kushughulikiwa, inaweza kuigharimu taasisi hiyo kisiasa na kijamii. Ametahadharisha pia kuwa tayari baadhi ya watu wamejipanga kumshambulia binafsi kwa kutoa maoni hayo badala ya kutafakari hoja zenyewe.
“Nayasema sasa ili kesho wasije wakatokea watu wakasema tulitelekeza taasisi, tukaiacha ifanye makosa ya wazi, tukashindwa kuishauri. Kesho si mbali. Tutakumbushana maneno haya,” ameandika.
Chama cha wananchi ni CUFMamuluki .!!.
CHADEMA ni chama Cha Wananchi !!
Ansbert Ngurumo hana njaaHuyu kilaza njaa itamuua