Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Huyu Ngurumo ajengr nchi ipi. Lengo lake kubomoa sio kujenga. Ameshawishiwa aonekane mkimbizi na wengine wangefuata nyayo ila hawajajitokeza. Lissu nadhani anatafuta sababu naye awe mkimbizi pamoja na dereva wake. Mange naye yuko kwenye mpango. Watakuwa wanne je wataweza kushawishi ulimwengu kuwa TZ si salama eti inakimbiwa na wananchi wake kuhofia maisha yao? Leo anaongelea ya kufikirika kuhusu Making ujue nia yake nini ili kutimiza lengo kuifanya TZ iwe na watu wanaoitwa wakimhizi nchi geni?
Ndio zenu hizo hata Nondo 'ALIJITEKA'
 
Wala sishangai na ninakumbuka nilianzisha mada hapa JF na kutabiri kuwa anaweza hamishiwa nje ya nchi.

Ni bahati mbaya @moderotors mada yanga waliunganisha katika huu uzi hapa chini na mada hiyo sasa ni comment no.271 kwenye huu uzi hapa chini baada ya kuunganishwa.

Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!. - JamiiForums

Haya ndio madhara ya kuunganisha mada yanatuharibia mijadala yetu humu.
hawa jamaa wameshapoteza kabisa yaani wamevulugwa... usishangae hata hii jazio langu hapa wanaweza kulihamisha.. subiri uone sasahivi atatokea shabikuna mmoja
 
Zitaje hizo nchi,lugha sio kikwazo acha uongo,kwani kuna lugha ya mabalozi,kuna mabalozi kibao wanaongea lugha za kwao tu
Lugha za kwao sawa, lakini kwa taarifa yako hakuna balozi hata mmoja anayeletwa hapa asijue kiingereza wakati sisi tuli kwisha declare kwamba official language yetu ni kiswahili pomoja na kiingereza. So kiingereza ni lugha ya muhimu.
 
Alikua anaitwa nan
Tukumbushane.
IMG_20160311_202232.jpg
 
Naona mnafarijiana, mlitegemea kutakuwa na tangazo la teuzi na tenguo eeh!
Na mnavyoongea hata kama rais alipanga kumtoa, sasa ndio katengua, hatoki. Makonda atakuwapo hapa mpaka mwisho, akitoka mjue kapanda cheo.
 
nasubiria hicho cheo nikione

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ulisema hili tukio lilitokea enzi za utawala wa Mzee Mwinyi, ndio Maana nikahoji mwaka wa tukio na jina sahihi la huyo Balozi(Usalama wa Taifa mtesa watu) aliyekataliwa kwa shutuma za Utesaji.
Unamjua/kumfahamu Balozi wa Tanzania aliyemaliza muda wake hivi karibuni nchini Canada!? Naomba jibu tafadhali ili tuendelee.

Huyo Balozi wa Canada simwelewi lakini huyo aliyekataliwa Sweden , ukiwa unataka habari zake unaweza kumtafuta Hashil kupitia Danish Human Rights kule ndiko anakofanya kazi na ni katika viongozi huko.
 
Haya tuyaache kama yalivyo mkuu. Asante...
 
Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Wanadiplomasia saidieni hili swali nadhani balozi ni kama dada wa kz kama ana hiatoria mbaya atokako mwajiri anahofu na maisha ya familia yake kumbuka hizi nchi zina maslahi kwetu wamewekeza huku, na kuna taratibu za kimataifa kuhusu sifa ya balozi sijui lakini mm ni mkulima wa mihogo haya ni mawazo yangu
 
Back
Top Bottom