Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Ndio zenu hizo hata Nondo 'ALIJITEKA'
 
hawa jamaa wameshapoteza kabisa yaani wamevulugwa... usishangae hata hii jazio langu hapa wanaweza kulihamisha.. subiri uone sasahivi atatokea shabikuna mmoja
 
Zitaje hizo nchi,lugha sio kikwazo acha uongo,kwani kuna lugha ya mabalozi,kuna mabalozi kibao wanaongea lugha za kwao tu
Lugha za kwao sawa, lakini kwa taarifa yako hakuna balozi hata mmoja anayeletwa hapa asijue kiingereza wakati sisi tuli kwisha declare kwamba official language yetu ni kiswahili pomoja na kiingereza. So kiingereza ni lugha ya muhimu.
 
Naona mnafarijiana, mlitegemea kutakuwa na tangazo la teuzi na tenguo eeh!
Na mnavyoongea hata kama rais alipanga kumtoa, sasa ndio katengua, hatoki. Makonda atakuwapo hapa mpaka mwisho, akitoka mjue kapanda cheo.
 
nasubiria hicho cheo nikione

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Balozi wa Canada simwelewi lakini huyo aliyekataliwa Sweden , ukiwa unataka habari zake unaweza kumtafuta Hashil kupitia Danish Human Rights kule ndiko anakofanya kazi na ni katika viongozi huko.
 
Haya tuyaache kama yalivyo mkuu. Asante...
 
Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Wanadiplomasia saidieni hili swali nadhani balozi ni kama dada wa kz kama ana hiatoria mbaya atokako mwajiri anahofu na maisha ya familia yake kumbuka hizi nchi zina maslahi kwetu wamewekeza huku, na kuna taratibu za kimataifa kuhusu sifa ya balozi sijui lakini mm ni mkulima wa mihogo haya ni mawazo yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…